bulajunior
JF-Expert Member
- Oct 14, 2024
- 302
- 434
Umeongea point sana! Mimi perday nakimbia km5 na pushapu 100 kwahiyo nikikaa katika ya dimba anatamani akimbieNimeona nizungumzie hili wanaume wenzangu kama unahitaji mpenzi wako afurahie shughuli yako ya kitandani jitahidi kufanya mazoezi ili uwe mwepesi kuhakikisha unapumzi ya kutosha hivihvi jamani tutalaumiwa sana na tutapigiwa sana
hiyo ndo password ya mwanaume yaani km wewe ni Kula na kulala na kujifanya uko bize Sana huna muda wa kutoa jasho kazi unayoUmeongea point sana! Mimi perday nakimbia km5 na pushapu 100 kwahiyo nikikaa katika ya dimba anatamani akimbie
Ujainisha mkuu tufanye mazoez ya aina gani yanayo ongeza maniihiyo ndo password ya mwanaume yaani km wewe ni Kula na kulala na kujifanya uko bize Sana huna muda wa kutoa jasho kazi unayo
Bila pesa,utajichukulia sheria mkononi.
Ila nyie wanaume hamjui sisi tunataka nini nawaambia.
Fanya mazoezi yako ya nguvu ila ni lazima uwe na 'mguu wa mtoto'
Asikwambie mtu, mashine kubwa ina utamu na ladha yake ya kipekee.