The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Swimming is the best exercise,halafu zinafuata Running,Pushups,Squats,Walking na mengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Museven ana wasaidiz zaid ya buku ktk shughul zake za kila siku lkn mim nakomaa mwenyew ktk kila jambo unadhan tunaweza fananaPushups 10 tu kiongozi, unazidiwa na Museveni, anapiga 30
Huyo jamaa ana aina fulani ya ukosoaji niite ni ya kishamba sana,yeye mara zote huwa hayupo tayari kukubaliana na mawazo ya mwenzake lazima afanye bullying.Bro mbona unamtoa akili ndugu huyu!!
Alikua anajaribu kutoa elimu pana ya huu mtazamo wa ndugu aliesema kuruka kamba ndio mazoezi best kulinganisha na mengine ndio amejaribu kudadavua mahitaji ya mazoezi kwa mhusika na amekusudia nini.
Pole sana.Binafsi naishi tu sifanyi zoezi la aina yeyote ile zaidi ya tatizo dogo la moyo ambalo ninalo toka nikiwa mtoto. Pamoja na kutambua umhuhimu wa mazoezi lakini naonaga kama nikianza mazoezi najitafutia matatizo.
Ili kupunguza kitambi, mazoezi lazima yaende sambamba na diet.Tupe aidia ya kufanya mazoez simpo tu ili kujiweka sawa kiafya ili kupunguza vitamb vya nyama choma na visungura
ExcitedMazoezi ni dhana pana sana, zipo aina nyingi za mazoezi na kila zoezi lina lengo lake.
Hilo unalolisema linaitwa skipping na lina angukia kwenye kundi la aerobic exercises, hivyo lina faida na hasara zake.
Lakini huwezi kusema hilo zoezi ni bora, kwasababu kila zoezi lina lengo lake, leo hii mwakinyo afanye zoezi hilo kwa ajili ya shughuli zake itakuwa si sahihi, lazima atafute muscle power na sio kwa kuruka kamba.
Pia kuna mazoezi tiba kwa ajili ya wagonjwa, huwezi kumrukisha kamba mgonjwa aliye serious lazima akufie, hivyo huwezi Kusema hilo zoezi ni bora kuliko yote.
Kwahiyo zoezi bora ni lile lenye lengo maalumu na lenye kukidhi mahitaji kutokana na uhitaji.
Mi napiga pushup 400Kukimbia boko lkn huwa natembea kutoka kibeberu mpaka nyangasa kila siku asubuh na pushups napiga kumi kila jion
Step10000 Kwa hatua za mtu mzima sawa na km ngap???Ili kupunguza kitambi, mazoezi lazima yaende sambamba na diet.
Mazoezi mengi yanajulikana, ila watu wanashindwa kufanya kutokana na uvivu tu. Lakini cha muhimu kuzingatia ni kufikia kile kiwango kinacho hitajika, na hii inaweza kupimwa kulingana na zoezi lenyewe.
Mfano kutembea, unaeweza kutumbia app mbalimbali zinaweza hesabu step, na kujiwekea lengo lako utembee step ngapi kwa siku. WHO wana suggest 10,000 steps kwa siku kwa mtu mzima.
Au kukimbia unaweza kuhesabu dakika, na kwa siku angalau dakika 30.
Lakini kwakuwa unataka urahisi nikushauri ufanye zoezi la kutembea, na hakikisha unavuka step 10,000 kwa siku jaribu kufikia steps 12,000, najua sio rahisi lakini inawezekana.(lakini kama huna tatizo la kiafya)
Lakini kumbuka kuzingatia usalama wako pindi ukitembea.
Pedometer.Step10000 Kwa hatua za mtu mzima sawa na km ngap???
Jina la app inayoweza hesabu hatua tafadhal
Naendaga kuogelea kwa mzungu pale njia panda segerea ukivuka reli, alooooo Mzee mzima kila nikiogelea nakunywa maji zaid ya lita kumi nikitoka pale kitumbo ndiiiiiSwimming is the best exercise,halafu zinafuata Running,Pushups,Squats,Walking na mengine.
Moyo haushtuki kwa mtindo huo. Kama unashida ya moyo kama Angina, BP nk haushauriwi kuanza mazoezi yoyote bila ushauri wa mtaalamu. Unaweza kuufanyisha kazi ambayo haiiwezi na mwisho kuingia matataniNilimsikia trainer mmoja anaitwa Denzel Alishauri namna bora ya kuruka kamba kwa style tofauti tofauti maana ukiruka kwa style moja ya miguu yote umeonyoka ni hatari kwenye kutingisha moyo ,akasema ukichanganya style ya kuruka it's safe.