Mazungumzo ya amani vita vya Ukraine yanaonyesha jinsi gani dunia imejaa unafiki sana

Mazungumzo ya amani vita vya Ukraine yanaonyesha jinsi gani dunia imejaa unafiki sana

Kituko cha kwanza mazungumzo yanafanyika pasipo wahusika wakuu Ukraine kuwepo katika hayo mazungumzo! Yani ni sawa na umemkamata mgoni anamtafuna mke wako ukazua ugomvi halafu wapatanishi wanakuja wanamchukua mgoni wako wanaenda kukaa naye kikao peke yao wanamuuliza anataka nini kumaliza kesi huku wakiwa hawataki kusikia chochote unachosema!

Kituko kingine ni hiki cha kusema uchaguzi mkuu huru na haki ufanyike Ukraine kama sehemu ya mpango wa amani. Anayepatanisha Saudi Arabia hana hata msamiati wa uchaguzi kwenye kamusi yake, Urusi yenyewe imetawaliwa na mtu mmoja kwa miaka 25 iliyopita wakati Ukraine imebadilisha marais mara tano.
Huu ni wendawazimu!
View attachment 3242089
Trump analipa fadhila kwa Putin kwa kumsaidia uchaguzi
 
Trump yupo sahihi sana, hawa wazungu wa ulaya walikaa kikao maarufu Berlin Conference kuigawa Afrika bila ya wawakilishi wa Afrika
 
Ooh ukraine anapigana pekee yake hasaidiwi sijui nini urusi katepeta pumbaavuuu pro NATO wa majimatitu na ikungulyabashashi wanapita humu kimyaaa
 
Unashangaa nini wakati walianzisha Ukraine.
Mkutano wa kwanza wa kumaliza vita uliitishwa na Ukraine nchini Swithland bila ya kumualika Russia so unachoona cha ajabu ni nini
Trump ametoa sqbabu za kutowaalika Ukrain wala Urope ni kwamba wangeweza kumaliza vita hata kabla havijaanza kwa mazungumzo lakini wao walichagua vita na pia wamekutana mara ngap and what was the outcome
Yule babu anakili kumbe. Anatumia msamiati wa ubaya ubwela
 
Russia amesaini mikataba na marekani kuondoka vikosi vyote vya marekani kwenye nchi zilizojiunga na NATO baada ya 1990 na marekani amekubali.
 
Nyie msiobadili viongozi mnawashinda nini hao waingereza kama hata vyoo vya shule tu mnashindwa kujenga..😛😛😛
W
😀😀😀, siku hizi wanajenga! Choo kikikamilika utaona misafara ya mawaziri kwa ajili ya uzinduzi!!!
 
Back
Top Bottom