Mazungumzo ya Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyoyafanya na UTV

Host wa kipindi ni Tido Muhando, naona anaanza kumhoji kwa maswali mepesimepesi kabla ya kumuuliza yale tarajali
Sasa naona kaanza kumuuliza Yale magumu kamuuliza kwanini ulikuwa hauna mahusiano mazuri na jpm
 
hapa kati ripoti ya kutoka ubalozi wa cuba kupitia kimwaga imeishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…