Mazungumzo ya Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyoyafanya na UTV

Hata anachoongea hakieleweki, yaani hana hoja kabisa
 
lakini kipindi sio live, mahojiano yanaendeshwa na nguli wa habari nchini, Tido Mhando🥺🥺🥺
 
Wameona wasiweke live ili akiharibu waweze ku edit.
 
Rostam anang’aa kama almasi Ila pesa bhn 😂😂 ukiwa na kisokolokwinyo na roho za kichawi tulizobeba waTZ wengi huwezi fikia viwango Vya huyu jamaa.
Sisi waswahili tunang'aa kwa tuliyonayo hatuna shida na mtu hata kwa ugali tembele

Ila yeye kwa tabia zake za asili ya kupora kwa ulaini wa neno la ulaini la kibiashara 'kisekula' ni jambanoko mlafi


Ka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…