Mazungumzo ya Ndg. Polepole leo 31 Agosti 2025 na umma

Hakika ndugu Humphrey Polepole anazidi kutoa ufafanuzi wa ukweli wa chama dola kongwe tawala badala ya kuwa cha wafanyakazi na wakulima, sasa kimetekwa nyara na kundi la mwabwanyenye wachache.
 
hili la gas naungana nae, gas imekaa kama ushuzi pyuu imeisha elfu 60 imekwenda, ndo maana vijijini hawataki kusikia stori za gas, gas inachimbwa bure songosongo kwanini sie watuuzie ndoo ya gas elfu 60, na haichakatwi kama dhahabu
 
nilikuwa natamani sana kupata jimama hapa jf nipate kulibagaza huku niikilibananga tartiiiiibu. Kwa heshima na taadhima naomba kuwasogeza mbele yenu mwanasheria wangu Lamomy na hasimu wake dokta hensamu hazbandi matirio haszu waseme neno. makofi kwao tafadhaliiiiiiii
 

Ezekiel Kumwaga amenenepa. Yale mashavu ni dalili ya kupiga sana biriani
Na pilau, hata siku zisizo Jumaa. Amevimbiwa.

Tunataka mema ya nchi. Unafiki ukae kando. Na nchi yetu haina mmiliki. JK na.RA sio wamiliki wake
 
Aisee
Naisikitikia nchi yangu,
Hii nchi imejaa wapumbavu narudia imejaa mambulula haswa....
Yaani huyu kichwa pumbu polepole kweli alijua hii nchi ni ya wapumbavu,
Kwanza aweke hapa matokeo ya Maths kidato cha nne?
Huyu mpumbavu hajaleta uthibitisho wowote zaidi ya kutumia kitecno chake kuchakachua upupu...
Anaongelea exhange rate kama anaongelea bei za bidhaa soko la tandale, huyu kichwa pumbu
Na wanamuamini huyu fyongo ndio wanatia huruma......
 
we hanithi nini? cheti uliambiwa kaomba kujiunga JW? hoja ni kuuziwa gas yetu wenyewe, wametufanya kitimoto
 
Sidhani kama tunalengwa... Ila naona anapiga stori kuhusu Cuba ili kuonesha wapi alipata bei ya mitungi ya gesi.
Kuna Huyu mwandishi chawa anaitwa Ezekiel Kimwaga alimuandika kuwa Polepole anaongopa kuhusu bei ya mitumgi ya gesi huko Cuba kuwa ni rahisi ukifananisha na bei wanayouza Taifa gas ya Rostam Aziz!
Polepole ameonesha kwa kuthibitisha ki mahesabu openly kuwa sahihi kuwa bei anazotuuzia gesi Rostam ni za upigaji ; anawanyonya wananchi!
He calculated the prices of gas in Cuba using three exchange rates to substantiate his claim.
Where is Chooce Variable to defend her government?
 
Wewe ndio bwege Hujui kitu kwani exchange rate ni nini sio bei? Hujui kitu kaa kimya!
 
we hanithi nini? cheti uliambiwa kaomba kujiunga JW? hoja ni kuuziwa gas yetu wenyewe, wametufanya kitimoto
xummmaaaaaako, umeukalia saa hii, na wakati huo huo unawaza mb0r0 nyingine kwa kukwoti wanaume wengine...
 
Huyu anazidi kuchanganyikiwa na kukosa hoja, mara alete ya Cuba mara wapi. Mwahisheni hospitali ya wehu
Labda wewe ndiyo una dalali zote za kuchanganyikiwa, "kwa maana hata chizi umuone yule anayemtibia ndiye chizi."
 
xummmaaaaaako, umeukalia saa hii, na wakati huo huo unawaza mb0r0 nyingine kwa kukwoti wanaume wengine...
Acha ushamba...! sasa matusi ya nini?

Jibu hoja kama huna hoja, kuwa mpole sindano ikuingie.
 
Au mnataka mtudake wakuu! Hii link imekaa kimtego
Usifungue link inayowekwa humu Kuching. Ingia youtube maongezi ya pole pole yapo

Ni wakat sasa kuanza kuli expose na JESHI

JESHI LETU LINASHIRIKIANA NA CCM kuwaumiza raia . Mange amepost critical issue
 
hili la gas naungana nae, gas imekaa kama ushuzi pyuu imeisha elfu 60 imekwenda, ndo maana vijijini hawataki kusikia stori za gas, gas inachimbwa bure songosongo kwanini sie watuuzie ndoo ya gas elfu 60, na haichakatwi kama dhahabu
Nchi za nje huku gesi na umeme ni kama bure. Yaani sijawahi ku notice gharama ya hivo vitu
 
Asubuhi nimemwambia huyo Mwandishi ni bomu kabisa. Anatumia google kujibu hoja wakati ana simu na Anaweza kupata facts kutoka source? Si angeenda tu hata ubalozi wa Cuba kuuliza?

Tuna Waandishi wa habari vilaza kabisa.
Na mimi nlilisema kitu hicho hicho eti,mwandishi kibonge yule anaongea huku ana hema
Eti nime Google...una Google ndiyo unawaletea watu majibu
Alafu kawajaza watu mule na wanamsikiliza 😄

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…