Pre GE2025 Mazungumzo ya Upinzani kusimamisha mgombea Urais wa pamoja 2025 yanukia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ishu siyo kuweka mgombea mmoja Kwa hivyo vyama,bali ni kanuni zinazosimamia uchaguzi ndiyo kikwazo.
 
Huyu ni mgonjwa wetu, ametoroka mirembe asubuhi ya leo. Chochote anachokiandika hapa, bado hajapona na kakimbia matibabu. Mchukulieni hivyohivyo.
kumbe ni miongoni Bibi?πŸ’

sikujua,
nilijua ulishaponaga kumbe bado mihemko na ghadabu zisizo na maana zinasumbia mutima wako? aise pole sana πŸ’

usife moya yataisha tu πŸ’
 
kwahiyo kila anae amka anakutana na mihemko na ghadhab za nguvu, right?πŸ’

kwahiyo Chadema watakataa mazungumzo hayo ikiwa yatakua rasmi? siitagawanyika sasa?πŸ’
 
Moderator mnazo namba ya Mwenyekiti na Makamu wake, lakini mmepiga kimya kuruhusu JF kuwa kiwanda cha uongo.
Mbaya zaidi hakuna asiyejua mleta mada ni jitu ongo wakati wote
wanachama lialia kindakindaki mmeanza kuyagomea mazungumzo kabla hata hayajawa rasmi, hatari sana hii πŸ’
 
Hakuna uchaguzi hapa Tanzania, kuna maigizo ya kupotezeana muda. Mazombie tu ndio watajitokeza kushiriki chaguzi hizi za kipuuzi.
 
Bila ya act wanapoteza muda wao tu
 
Ishu siyo kuweka mgombea mmoja Kwa hivyo vyama,bali ni kanuni zinazosimamia uchaguzi ndiyo kikwazo.
uchaguzi ulopita ACT wazalendo walimtosa mgombea urais wao Hayati Bernard Membe, na kumsapoti mgombea urasi wa chama kingine katika ya kampeni, waliwezaje? πŸ’

ni kujipanga tu my friend πŸ’
 
Hakuna uchaguzi hapa Tanzania, kuna maigizo ya kupotezeana muda. Mazombie tu ndio watajitokeza kushiriki chaguzi hizi za kipuuzi.
wewe kaa nyumbani uliyowataja watakuchagulia kiongozi, ili uje kulia lia vizuri sana πŸ’
 
Walivyokuwa hawana maana watasimamisha tundu lisu .. kama wapinzani wanataka mgombea ambaye ataleta changamoto kidogo basi ni ZITO
Wewe utakuwa ni njiwa kweli, mti wenye matunda ndio urushiwa mawe.
 
Jitahidi uongo wako ufanane na ukweli.
kua na subra na ustahimilivu...
mambo yakiwa rasmi mbivu na mbichi zitabainika, mchecheto wa nini gentleman, This is politics πŸ’
 
Ni kweli, maana hata nikienda bado nachaguliwa kiongozi na system ya majizi.
halafu matokeo yake mihemko na ghadhabu vinakuja kukutesa zaidi moyoni, dah haya maisha bana πŸ’
 
Wewe ndiye una mchecheto kuleta habari za uzushi
soma vizuri uelewe, kisha uwe mstahimilivu na mwenye subra ili kubaini mbivu na mbichi kwa wakati muafaka πŸ’

hii ni siasa, chochote chaweza kutokea wakati wowote popote πŸ’
 
Kama ni kweli, ningekuwa chadema kaa kazi kubwa wakiyofanya nisingekubali kabisa. Wamefanya kazi kubwa sana na ndio wanaaoleweka sehemu kubwa ya Tz. Act wapo maeneo machache sana. Watched hivyo vikao, kila mmoja ashinde mechi zake. Labda wasema wanawau ga mkono chadema kwenye urais wkt wabunge @ akomae mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…