Pre GE2025 Mazungumzo ya Upinzani kusimamisha mgombea Urais wa pamoja 2025 yanukia

Pre GE2025 Mazungumzo ya Upinzani kusimamisha mgombea Urais wa pamoja 2025 yanukia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama ni kweli, ningekuwa chadema kaa kazi kubwa wakiyofanya nisingekubali kabisa. Wamefanya kazi kubwa sana na ndio wanaaoleweka sehemu kubwa ya Tz. Act wapo maeneo machache sana. Watched hivyo vikao, kila mmoja ashinde mechi zake. Labda wasema wanawau ga mkono chadema kwenye urais wkt wabunge @ akomae mwenyewe
muhimu zaidi katika siasa ni kuzungumza, kisha lile la maana na lenye manufaa kwa wote mnakubaliana namna ya kulifanya, msipokubaliana kila moja anaendelea na utaratibu wake...

very simple 🐒
 
Lissu anakubalika kote ila ZNz bado

..Lissu anakubalika mpaka Znz.

..tena wamempa jina la utani " ronaldo. "

..Waznz wanamkumbuka jinsi alivyoongoza mgomo na kususia hotuba ya Magufuli baada ya Maalim Seif kuporwa ushindi.

..Waznz pia wanamheshimu Lissu kwa kuwasemea ndugu zao waliopotezwa tangu enzi za Karume.

..Hakuna mpinzani wa Kitanganyika anayeheshimika Zanzibar zaidi ya Tundu Lissu.
 
Hujui mbowe na chadema walichomfanyia zito leo unategemea zito amuamini mbowe, huku msigwa na lissu wanalia kwa yale yale
haya ni mazungumzo ya vyama vya siasa, sio mazungumzo watu mahasimu wenye uhasama binafsi miongoni mwa vyama hivyo 🐒
 
soma vizuri uelewe, kisha uwe mstahimilivu na mwenye subra ili kubaini mbivu na mbichi kwa wakati muafaka 🐒

hii ni siasa, chochote chaweza kutokea wakati wowote popote 🐒
Nini ulichoandika ambacho sijakielewa. Chadema inaweza kufanya mazungumzo na vyama vingine lakini siyo hizo takataka ulizotaja hao siku zote wanalipwa na CCM kuilaani Chadema,halafu ni vyama vya mfukoni havina msaada wowote.
 
Walivyokuwa hawana maana watasimamisha tundu lisu .. kama wapinzani wanataka mgombea ambaye ataleta changamoto kidogo basi ni ZITO
Tunamtaka Tundu Lissu, ni mtu ambae hata kwenye campaign zake tulikuwa tunamwelewa. Tofauti na Lowassa ambae alipata watu wengi kwasababu watu walikata tamaa na ccm. Ila Lissu alipambana na Jiwe wakati Jiwe akiwa ni Rais. Tena Jiwe alikuwa na ushawishi mkubwa kwa watu.
 
..Lissu anakubalika mpaka Znz.

..tena wamempa jina la utani " ronaldo. "

..Waznz wanamkumbuka jinsi alivyoongoza mgomo na kususia hotuba ya Magufuli baada ya Maalim Seif kuporwa ushindi.

..Waznz pia wanamheshimu Lissu kwa kuwasemea ndugu zao waliopotezwa tangu enzi za Karume.

..Hakuna mpinzani wa Kitanganyika anayeheshimika Zanzibar zaidi ya Tundu Lissu.
so,
mazungumzo yana umuhimu au unaonaje?🐒
 
Tunamtaka Tundu Lissu, ni mtu ambae hata kwenye campaign zake tulikuwa tunamwelewa. Tofauti na Lowassa ambae alipata watu wengi kwasababu watu walikata tamaa na ccm. Ila Lissu alipambana na Jiwe wakati Jiwe akiwa ni Rais. Tena Jiwe alikuwa na ushawishi mkubwa kwa watu.
so mazungumzo yawepo au yasiwepo, na ikiwa Lisu na zito watamuendorse lipumba utajiskiaje🐒
 
Nini ulichoandika ambacho sijakielewa. Chadema inaweza kufanya mazungumzo na vyama vingine lakini siyo hizo takataka ulizotaja hao siku zote wanalipwa na CCM kuilaani Chadema,halafu ni vyama vya mfukoni havina msaada wowote.
Tuliza mihemko na munkari sasa,

Ikitokea zitoe, lisu, rungwe na vyama vingine wameamua kumuendoserse Ibrahim Haruna Lipumba kugombea urais, utapokeaje uamuzi huu? 🐒
 
wanakutana kuzungumza kwa maslahi ya vyama vyao sio mazungumzo ya watu binafsi 🐒
Kwa maslahi ya vyama vyao kwa uchaguzi gani kwa mfano? Huo uchaguzi ambao mgombea wa ccm na genge lake linalojiita system ndio wanaoamua nani atangazwe mshindi?
 
Nitateseka iwapo nitaendelea kushiriki kwenye chaguzi za kishenzi.
si ndio kama hivi sasa,
hujashiriki uchaguzi lakini unateseka sana kwa mihemko na ghadhab ambazo hazikusaidii chochote 🐒
 
Inasemekana CHAUMMA, CHADEMA, CUF, Sauti ya waTanzania na ADA-TADEA wameanza tayari mazungumzo ya awali yasiyo rasmi.

Mazungumzo rasmi ya kimkakati yanaeledea kuwekwa utaratibu mzuri na waleta pendekezo hilo, ambao ni miongoni mwa wanasiasa na wanaharakti wa ndani na nje ya nchi.

Unadhani chama gani kitaaminiwa na wengine na kupewa ridhaa na dhamana hiyo kubwa na nzito ya kupepreusha bendera ya urais, ikiwa agenda hii ikwafanikiwa kua rasmi?

Mgombea atakuwa nani?

Kumbuka kwa upande mwingine, kuna vyama vya siasa vya upinzani pia, havitasimamisha wagombea Urais, badala yake vitamuunga mkono mgombea Urais wa chama tawala 🐒
Panya.100 wakiungana AKIJA nyau watasambaratika wote!
Inatatskiwa wote wawe nyau au wawe panya!
Hapo mkiungana safi!
 
Kwa maslahi ya vyama vyao kwa uchaguzi gani kwa mfano? Huo uchaguzi ambao mgombea wa ccm na genge lake linalojiita system ndio wanaoamua nani atangazwe mshindi?
vyama shiriki kwenye mazungumzo vitaamua ni uchaguzi upi na ngazi ipi washiriki, tuvute subra na tuwe wastahimilivu, yatakapokua rasmi 🐒
 
wanakutana kuzungumza kwa maslahi ya vyama vyao sio mazungumzo ya watu binafsi 🐒
Vyama ni chombo na jina tu ila kimsingi vyama vinawakilisha wishes za wanachama ni ngumu mtu yoyote mwenye akili timamu kuwaamini watu wa chadema , hawana hoja zaidi ya kuhangaika na kiki , hawana chochote cha kumsaidia mtanzania leo wanahangaika na mtu aliyechoma picha ya raisi especially mawakili wao ,hivi wana akilo timamu kweli zaidi ya kutafuta cheap popularity? Leo ndio tuwape uongozi wa nchi?
 
vyama shiriki kwenye mazungumzo vitaamua ni uchaguzi upi na ngazi ipi washiriki, tuvute subra na tuwe wastahimilivu, yatakapokua rasmi 🐒
Vyama vinaweza kushiriki, lakini hakuna wapiga wa kuendelea tena kupoteza muda kwenye chaguzi za kishenzi.
 
Huko CCM kila anayeamka na hang'over anajizushia tu. Vyama uchwara hivyo amba kila Chadema inapokuwa na jambo lake vinakusanywa na CCM na kushonewa suti za kwenda kuitishia press conference ya kuilaani Chadema ndiyo leo hii ikakae navyo kupanga mikakati. Jitahidini basi hata kama ni uongo ufanane kidogo na ukweli.
Sure
 
Back
Top Bottom