Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Nfimila kuwili, huwezi kumwaminiWalivyokuwa hawana maana watasimamisha tundu lisu .. kama wapinzani wanataka mgombea ambaye ataleta changamoto kidogo basi ni ZITO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nfimila kuwili, huwezi kumwaminiWalivyokuwa hawana maana watasimamisha tundu lisu .. kama wapinzani wanataka mgombea ambaye ataleta changamoto kidogo basi ni ZITO
Very wrong. Chama pekee kinachobebwa na nguvu ya umma (people’s power) ni CHADEMA. Ndio sababu serikali ya CCM awamu zote hawataki katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi. Wanajua uchaguzi huru na wa haki (bila mbeleko ya dola) ni kaburi la CCM.ni CCM pekee, right?🐒
Realty ni kwamba chama ulichokitaja hukataliwa na wanainchi kila chaguzi, muda usokua mrefu baadae mwaka huu serikali za mitaa kinakataliwa vibaya na kwa aibu sana 🐒Very wrong. Chama pekee kinachobebwa na nguvu ya umma (people’s power) ni CHADEMA. Ndio sababu serikali ya CCM awamu zote hawataki katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi. Wanajua uchaguzi huru na wa haki (bila mbeleko ya dola) ni kaburi la CCM.
Angalau Kikwete alijaribu kujitutumua kwenye suala la katiba lakini akashambuliwa kuwa anataka chama kimfie mikononi mwake. That’s the reality.
Jitoe ufahamu sasa....!CHADEMA wana takribani mwaka tongu wafunguliwe ila wametia harufu yao kila pembe ya nchi hii.CCM na Samia hawaamini na uliwaona walivyokata mauno kumpokea Msigwa....wanahisi ni msaada.....Serikali za mitaa CCM watachakazwa mno( mark my words)Realty ni kwamba chama ulichokitaja hukataliwa na wanainchi kila chaguzi, muda usokua mrefu baadae mwaka huu serikali za mitaa kinakataliwa vibaya na kwa aibu sana 🐒
na mwaka ujao Uchaguzi mkuu kinakataliwa kwa kishindo Zaidi 🐒
Haitakaa itokee Tanzania. Subiri tu mwaka ufike halafu uniambie hayo mazungumzo yamefikia wapi.Inasemekana CHAUMMA, CHADEMA, CUF, Sauti ya waTanzania na ADA-TADEA wameanza tayari mazungumzo ya awali yasiyo rasmi.
Mazungumzo rasmi ya kimkakati yanaeledea kuwekwa utaratibu mzuri na waleta pendekezo hilo, ambao ni miongoni mwa wanasiasa na wanaharakti wa ndani na nje ya nchi.
Unadhani chama gani kitaaminiwa na wengine na kupewa ridhaa na dhamana hiyo kubwa na nzito ya kupepreusha bendera ya urais, ikiwa agenda hii ikwafanikiwa kua rasmi?
Mgombea atakuwa nani?
Kumbuka kwa upande mwingine, kuna vyama vya siasa vya upinzani pia, havitasimamisha wagombea Urais, badala yake vitamuunga mkono mgombea Urais wa chama tawala 🐒
ni mark ramli na mihemko 🤣Jitoe ufahamu sasa....!CHADEMA wana takribani mwaka tongu wafunguliwe ila wametia harufu yao kila pembe ya nchi hii.CCM na Samia hawaamini na uliwaona walivyokata mauno kumpokea Msigwa....wanahisi ni msaada.....Serikali za mitaa CCM watachakazwa mno( mark my words)
Jifarijini mark ramli na mihemko 🤣
Hivyo hivyo vinakufanya ujione uko angani kumbe uko chini unatambaa kama konokono.ndiyo nini hivyo vitu?
si mnavijua ninyi wapiga vyombo tu,
Kwan had sisi tunahusika kujibust na mawisky ndio tunachangia mada 🐒
Inasemekana CHAUMMA, CHADEMA, CUF, Sauti ya waTanzania na ADA-TADEA wameanza tayari mazungumzo ya awali yasiyo rasmi.
Mazungumzo rasmi ya kimkakati yanaeledea kuwekwa utaratibu mzuri na waleta pendekezo hilo, ambao ni miongoni mwa wanasiasa na wanaharakti wa ndani na nje ya nchi.
Unadhani chama gani kitaaminiwa na wengine na kupewa ridhaa na dhamana hiyo kubwa na nzito ya kupepreusha bendera ya urais, ikiwa agenda hii ikwafanikiwa kua rasmi?
Mgombea atakuwa nani?
Kumbuka kwa upande mwingine, kuna vyama vya siasa vya upinzani pia, havitasimamisha wagombea Urais, badala yake vitamuunga mkono mgombea Urais wa chama tawala 🐒
Tangazo Tangazo!! 😂😂Huyu ni mgonjwa wetu, ametoroka mirembe asubuhi ya leo. Chochote anachokiandika hapa, bado hajapona na kakimbia matibabu. Mchukulieni hivyohivyo.
Dishi limeyumba wewe.Walivyokuwa hawana maana watasimamisha tundu lisu .. kama wapinzani wanataka mgombea ambaye ataleta changamoto kidogo basi ni ZITO