Tetesi: Mazungumzo yaanza Bakhressa kuinunua Channel Ten

kabudi sheria

New Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
1
Reaction score
14
Wadau, Katika Hali ya kutaka kuinusuru kampuni ya Africa Media Group ambayo ipo hoi kiuchumi. Mmiliki wa Azamtv na makampuni ya SSB, Salim Bakhera ameanza rasmi mazungumzo mazito na mmiliki wa Channel ten, Ndugu Rostam Azizi kwa lengo la kuinunua kampuni Hiyo.

Inadaiwa pia kwamba Reginald Mengi pia alikuwa akiimendea Channel ten. Mengi nitawajuza zaidi kadiri mazungumzo yanavyoendelea.


 
Bora aiuze tu,a ukiangalia chanel 10 unajua kabisa kuna kitu hakiko sawa,either wafanyakazi hawalipwi mishahara au haina wafanyakazi at all,unaweza kuwa unatazama habari,mtangazaji anasema "ngoja tuungane na mwandishi wetu alieko mahakamani kwa taarifa zaidi" lkn cha ajabu inakuja habari ya nzige kushambulia shamba la mahindi Rukwa,na hali hii huwa sio siku moja ila ni Kila siku
 
Hahaha
 
Ha ha ha ha eti habari ya nzige...!
 
Waongee vizuri na mkuu wa mkoa ata wasaidai

Kimsingi chanel ten imezidiwa.yaani huwa wanatoa taarifa zilizopitwa na wakati.habari za juzi unaziona leo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
aiseee"" so rostam na mihela Yke yote ile "" means ameshindwa kuiendesha hiyo kampuni""?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

RC ' Matege Misifa wa Kukurupuka ' ambaye ni ' Shabiki ' yao mkubwa Yeye hataki kuinunua? Na mbona kipindi hiki cha matatizo haungani nao?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…