Tetesi: Mazungumzo yaanza Bakhressa kuinunua Channel Ten

Tetesi: Mazungumzo yaanza Bakhressa kuinunua Channel Ten

Lipo tatizo la msingi kwa serikali kuacha kutoa matamko na upendeleo makusudi kuhujumu sector binafsi.Kuna hali mbaya kuanzia wakandarasi majengo,usafiri wasanifu,mahotel,Media radio,tv,magazeti nk.
Mifano michache

Media: Matangazo yamepunguzwa sana sector binafsi na kupelekwa media za chama tawala na serikali yasiyo na tija kubwa.

Shule binafsi: Matamko na miongozo kuingilia ufanisi lengo kutaka kuleta usawa bila kuangalia facts.

Mahotel: Zuio la vikao na semina kwamba wafanyie hata chini ya mti ikibidi

Viwanda: Bado kama taifa tunakosa dira matamko wakuu kutoa amri taasis na mashirika ya umma kujenga viwanda vya sukari nk, tusitarajie mwekezaji mpya binafsi serious (mkubwa) risk ni kubwa siasa kutumika.

Usafiri: Mbolea usambazaji nchini yanatumika magari ya jeshi.

Wakandarasi: TBA wanapewa kazi mezani kwa upendeleo wa wazi.
 
Akiinunua chanel ten atakula shavu,maana inaruka kwa satelite ya dstv pia.
 
Afadhali sasa biashara ifanyike ili Watangazaji na Waandishi wao waache kuja ' Kugongea ' chai, chakula na maji ya kunywa huku katika Vibanda vyetu vya Mama Ntilie ambako ' Walalahoi ' wengi akiwemo GENTAMYCINE ndiyo viwanja vyetu vya kujidai. Na kuna Mtangazaji wao mmoja ( jina kapuni ) ukimkaribisha tu Kula usidhani labda ataonja kidogo na ' Kuuchuna ' bali mtaenda nae sawa hadi Sahani inakuwa nyeupe na mnanawa pamoja maji na kuanza kuangaliana huku ' minyoo ' ya kutokushiba ikianza kuchanja mbuga matumboni mwenu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] aisee!
 
Nadhani sababu ziko wazi sana kwa sasa, nitajaribu kuziweka hapa.
1/Umiliki wa chombo cha habari kwa sasa ni jambo la hatari kimaisha na kibiashara kwa mmiliki mwenyewe.
(Watawala wanaweza kumuandama mmiliki katika maisha yake yake ya kila siku kutokana tu na habari wasioipenda kurushwa katika kituo chake. Mzee Mengi analijua sana hili).

2/Biashara ya matangazo imedorora sana kwenye vituo vingi.
(Makampuni mengi makubwa ya kibiashara yamedorora sana kwa sasa, hayaoni tena umuhimu wa kuendelea kutumia pesa nyingi kufanya promotion za biashara zao kwao nguvu ya manunuzi kwa watanzania umeshuka kwa zaidi ya 50% ukilinganisha na hapo kabla).

3/Hakuna tena uwezekano wa chombo cha habari kwa sasa kuweza kutengeneza Brand yenye nguvu kupitia habari na mijadala huru ili kujenga Huge Capital Bundle width viewer ili uwe ndio mlango wa kuvuta matangazo ya biashara yenye pesa nyingi.

4/Gharama za uendeshaji ni kubwa mno kwa sasa kwa vyombo vya habari. (Kodi imekuwa msumari wa moto, makato ya TCRA nk vinawaumiza wamiliki).

5/Vyombo vya habari vimekuwa vingi mno, na watazamaji wamepungua sana, wako busy na mitandao zaidi.
Very true.
 
Yule si alimfadhili mamvi akasubiri gawiwo pale mh atakaposhinda urais...ungekuta leo amebinafsishiwa hata mbuga ya serengeti ili kufidia pesa alizotumia!!!.
Acha utoto, huyo mjinga mwenzio alivokwambia ni ya Rostam nawe ukaamini?
 
Wadau, Katika Hali ya kutaka kuinusuru kampuni ya Africa Media Group ambayo ipo hoi kiuchumi. Mmiliki wa Azamtv na makampuni ya SSB, Salim Bakhera ameanza rasmi mazungumzo mazito na mmiliki wa Channel ten, Ndugu Rostam Azizi kwa lengo la kuinunua kampuni Hiyo.

Inadaiwa pia kwamba Reginald Mengi pia alikuwa akiimendea Channel ten. Mengi nitawajuza zaidi kadiri mazungumzo yanavyoendelea.
Ili waendelee kujazana Muslims hatari kwel?
 
DTV ndio ilishajifia kabisa? Maana hata kwenye list za channels za king'amuzi haipo. Mara ya mwisho kuitazama ilikuwa 2014.

Vv
 
Mzee afanye fasta akachukue hako ka kituo ili watuletee English Premier League. Itaongeza hadhi ya king'amuzi changu
 
Back
Top Bottom