Tetesi: Mazungumzo yaanza Bakhressa kuinunua Channel Ten

Lipo tatizo la msingi kwa serikali kuacha kutoa matamko na upendeleo makusudi kuhujumu sector binafsi.Kuna hali mbaya kuanzia wakandarasi majengo,usafiri wasanifu,mahotel,Media radio,tv,magazeti nk.
Mifano michache

Media: Matangazo yamepunguzwa sana sector binafsi na kupelekwa media za chama tawala na serikali yasiyo na tija kubwa.

Shule binafsi: Matamko na miongozo kuingilia ufanisi lengo kutaka kuleta usawa bila kuangalia facts.

Mahotel: Zuio la vikao na semina kwamba wafanyie hata chini ya mti ikibidi

Viwanda: Bado kama taifa tunakosa dira matamko wakuu kutoa amri taasis na mashirika ya umma kujenga viwanda vya sukari nk, tusitarajie mwekezaji mpya binafsi serious (mkubwa) risk ni kubwa siasa kutumika.

Usafiri: Mbolea usambazaji nchini yanatumika magari ya jeshi.

Wakandarasi: TBA wanapewa kazi mezani kwa upendeleo wa wazi.
 
Akiinunua chanel ten atakula shavu,maana inaruka kwa satelite ya dstv pia.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] aisee!
 
Very true.
 
Very true.
 
Yule si alimfadhili mamvi akasubiri gawiwo pale mh atakaposhinda urais...ungekuta leo amebinafsishiwa hata mbuga ya serengeti ili kufidia pesa alizotumia!!!.
Acha utoto, huyo mjinga mwenzio alivokwambia ni ya Rostam nawe ukaamini?
 
Ili waendelee kujazana Muslims hatari kwel?
 
DTV ndio ilishajifia kabisa? Maana hata kwenye list za channels za king'amuzi haipo. Mara ya mwisho kuitazama ilikuwa 2014.

Vv
 
Mzee afanye fasta akachukue hako ka kituo ili watuletee English Premier League. Itaongeza hadhi ya king'amuzi changu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…