Tetesi: Mazungumzo yaanza Bakhressa kuinunua Channel Ten

Hahahaaa
 
Kweli kabisa
 
hakika msaga aumu umepinda...hahaaahaa
 
Bora bakheresa anunue aisee tupumzike na matapeli wa kikiristo .....wale manabii feke ndo palikuwa kimbio lao
Akili finyu sana ambazo zimesababisha mpaka leo maeneo waliopo wengi wenye imani kama yako umasikini ukithiri sana.
 
rangi ya channel ten mara nyingi no RED MAJANTA
 
utashangaa mfanya kazi wa channel ten anakuja anasema "ukiskia snitch mzuri mzuri ndo huyu".
 
Hahahahaha umenichekesha sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…