Mnaolaumu voda hizo mb hamzitumii kwenye kazi.. Ni kwa ajiri ya insta, fb, whatsapp na kudownload movies.. Kama zingekuwa productive na zinaingiza chochote huwezi lalamika na best option inabaki kuwa voda.
Hapa mimi nina line za mitandao yote ila hakuna unaoifikia voda, kuanzia speed, stability na coverage, kuna siku saa 6 usiku voda internet ilikata nikasema ngoja niunge halotel, lile bundle hata browser halikuweza kufungua.. Sasa ndo hizo bundle za bei nafuu mnazozitaka..
Kifupi gharama za voda ni kubwa kwa mtu wa kipato cha kuunga unga, mimi natumia kasi internet ya 50k napata 30gb mchana na 30gb usiku.. Kwa kazi zangu natoboa mwezi vizuri tu na movies/series nadownload vizuri tu.