Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

nyoa kipara nywele zako na upakae mafuta ya nywele RADIANT.kila siku
hayo mafuta yana picha ya mdada na yana rangi ya kijani.mimi nshasumbuliwa sana na mba na kila week lazima ninyoe
 

Piga namba hii nikupe ufumbuzi wa tatizo lako halafu utakuja kutoa ushuhuda 0718 754694
 
Piga namba hii nikupe ufumbuzi wa tatizo lako halafu utakuja kutoa ushuhuda 0718 754694

Si umeona wahanga ni wengi mkuu? Ungeitoa tu hiyo dawa hapa maana watu wanakwambia wamepaka Sulphur mpaka wakanuka ila mba umo tu!
 
ingine ni castle bariidi na ndyofu moto.. kunywa moja moja baada ya kazi .
 
Paka mafuta ya vaida..kopo la kijani na maandishi meusi
 
Hiyo movt nimeitafuta madukani sijaipata hapa Iringa!

Jina lake la biashara ni RADIANT. Movt ni kampuni inayotengeneza hayo mafuta---jina la mafuta ni RADIANT, kampuni inayotengeneza mafuta hayo ipo Kampala, Uganda. Mafuta hayo ni very common, huwezi kuyakosa kwenye duka la vipodozi. Tangu nianze kuyatumia nimeona great improvement. Kama una tatizo kama langu, yatafute yatakusaidia sana. Bado muda kidogo nije kutoa ushuhuda hapa.
 
Si umeona wahanga ni wengi mkuu? Ungeitoa tu hiyo dawa hapa maana watu wanakwambia wamepaka Sulphur mpaka wakanuka ila mba umo tu!

Hata mimi sulphur nilipaka sana lakini ilidunda mkuu.
 
Pole sana ndugu yangu tumia diproson jipake kichwa kizima muda wa wiki tatu utanijulisha

Diproson nimepaka sana lakini imedunda, ila kuna wengine ambao wakiitumia mba huisha ila ukiacha kupaka baada ya muda dandruff hurudi pale pale!
 

Nashukuru kwa ushauri mkuu, itabdi ni-sterilize taulo ninalotumia kwenye maji ya moto au ninunue lingine kabisa.
 
Ukiona hyo dawa uliyoelekezwa nayo inadunda,tumia mafuta ya nazi yanayoitwa
'MINARA',yanapatikana ktk maduka ya kawaida,yamenisaidia sana na mimi nilikuwa kama wewe mkuu,sasa hv nikinyoa kichwa ni kisafiiii,yanauzwa buku tu

Asante sana mkuu, ila mafuta ya nazi nilipaka sana hadi yakadunda. Labda hizi dandruff za kwangu ni chronic sana. Nimeenda hadi kwa dr bingwa wa ngozi kule Hindu Mandal akanitengenezea dawa maabara, nikapaka weeeee, wapi!!!!!!!!!!!! Nimeanza kupaka RADIANT, naona maendeleo yanatia moyo. Ngoja niendelee na dozi hii tuone itamifikisha wapi. Nashukuru sana kwa ushauri mujarabu.
 

hawa mba ni wasumbufu sana, wanaondoa pozi la watu!
 
asanteni, leo nimeingia chaka kdg niliuliza movt nikapewa sabuni, kumbe ni mafuta...nitayatafuta

Ni mafuta mkuu, yanaitwa RADIANT...yanatengenezwa na kampuni inayoitwa MOVT. Usichanganye hayo majina.
 

Umeona eeh? Hata mie imenisaidia sana, tena sana. Nilikuwa najikuna kichwani hadi nalia kama mtoto lakini baada ya kuanza kutumia RADIANT, siku hizi naishi maisha ya kawaida bila kuwashwa kama ilivyokuwa zamani.
 

Poa Mkuu,pole sana,MUNGU atakuponya,kila la kheri
 
Wewe nenda kwenye madukA ya yavipodozi utayapata ni ya blue na yana picha ya msichAna badae kidogo nitakuwekea picha

Haya mafuta ya MOVT yamepitishwa na TFDA au ni kati ya haya yaliyopigwa marufuku? yasijekuwa na madhara ya muda mrefu.

Mimi binafsi kuna wakati nilikuwa na mba nikawa naosha nywele kwa sabuni kila siku tatizo likaisha!
 

sure mkuu ndio mafuta Yangu kwa sasa usiache kutumia kama nilivyokushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…