Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Jamn wana jamii ,naombeni ushauri wenu tafadhali,yaani nina mdgo wangu anasumbuliwa na mba sana kichwani,anasuka ,na kabla ya kusuka anaosha nywele na shampoo,anapaka mafuta,lakn wki haikatik anajikuna mba analalamka anawashwa sana,naomben ushaur mafuta gani yanaondoa mba,kashtumia sulphur, na diplozon,lakni bado
Aoshe nywele na baking soda (magadi soda) ile inayotumiwa kupikia mikate ila tahadhari muhimu atumie baking soda na sio (baking powder ) ni vitu viwili tofauti .matumizi maji yaliyo changanywa na baking soda Lita 1 vijiko 3 au 4 vya chakula .baada ya SAA limoja anasuza nywele .atumie kila siku kwa siku 7 ingawa siku ya kwanza tuu zitakwisha .baking soda zipo karibu maduka yote box gram 100 shilingi 500 ,kwaheri
 
Atumie mafuta ya Radiant apake kwenye ngozi ya kichwa baada ya kusuka. Afanye kila siku
 
mwambie asifuge nywele anyoe kipara na awe anapaka mafuta ya nazi zaid aende hsptl kuna sindano za powerself atapigwa
 
Tatizo la mmba linaweza kuwa ni dalili ya matatizo ya immune system. Aende akapime vipimo vyote ndiyo hayo ya hapo juu fanyike kama CD4 hazijaanza kushuka.
 
Aoshe nywele na baking soda (magadi soda) ile inayotumiwa kupikia mikate ila tahadhari muhimu atumie baking soda na sio (baking powder ) ni vitu viwili tofauti .matumizi maji yaliyo changanywa na baking soda Lita 1 vijiko 3 au 4 vya chakula .baada ya SAA limoja anasuza nywele .atumie kila siku kwa siku 7 ingawa siku ya kwanza tuu zitakwisha .baking soda zipo karibu maduka yote box gram 100 shilingi 500 ,kwaheri
Morenja nafikiri utamchanganya.

Baking soda ni magadi per se. Ila baking powder ni mchanganyiko wa magadi soda na vitu vingine. Baking powder ndiyo hufanya maandazi yaumuke.

Magadi kama magadi ni jiwe kiasili.
 
Dawa ni kunyoa kipara, then ndio unapaka dawa/mafuta wanayokushauri hapo juu. Hakikisha chanuo na vitana vyote umesafisha au umetupa umenunua vipya.
 
Jamn wana jamii ,naombeni ushauri wenu tafadhali,yaani nina mdgo wangu anasumbuliwa na mba sana kichwani,anasuka ,na kabla ya kusuka anaosha nywele na shampoo,anapaka mafuta,lakn wki haikatik anajikuna mba analalamka anawashwa sana,naomben ushaur mafuta gani yanaondoa mba,kashtumia sulphur, na diplozon,lakni bado

Chukulia kuwa tatizo lako limekwisha, hii tiba yetu imewasaidia watoto na wakubwa wengi sana walio na matatizo ya mba na mengine mengi.

Kwa kuwa ni mtoto anasumbuliwa, njoo uchukuwe bure tiba yetu. Hautalipia hata senti moja na baada ya wiki mbili uje kuelezea hapa matokeo.

Tupigie 0769302206 au 0625249605
 
Jamn wana jamii ,naombeni ushauri wenu tafadhali,yaani nina mdgo wangu anasumbuliwa na mba sana kichwani,anasuka ,na kabla ya kusuka anaosha nywele na shampoo,anapaka mafuta,lakn wki haikatik anajikuna mba analalamka anawashwa sana,naomben ushaur mafuta gani yanaondoa mba,kashtumia sulphur, na diplozon,lakni bado

Maradhi ya Mba Hutokana na ngozi iliyokufa katika kichwa yaani dead cell.
dawa zilizopo ni :

Ndimu au limau: Kabla kwenda kukoga jisugue limau ndani ya kichwa na baadae yale maganda ya limau yatie katika maji ya kukoga yaani yawe maji ya Uvuguvugu halafu ukoshe kwa maji yale kwanza na baadae utumie maji yaliyo safi.

Fenugreek kwa kiswahili inaitwa (Uwatu) lakini imekaa kama rangi yake ni ya brown imekaa kama Vijiwe jiwe vidogodogo kama kuna Hii Uwatuunachukua vijiko 2 vya chai vya fenugreek unazirowesha katika maji usiku

mzima ili zipate kulainika, halafu unaziponda ponda na baadae unapakaa ndani ya kichwa na uwache kwa muda wa saa moja na baadae kuzikosha ikiwa utafanya hivi siku zote mbaa wataondoka Inshallah bila taabu yoyote.tumia moja ya hizo Dawa kisha uje hapa utupe Feedback.

707px-Fenugreek-methi-seeds.jpg

Fenugreek Uwatu.
 
Back
Top Bottom