Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
mafuta ya nywele ya radiant na spray yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aoshe nywele na baking soda (magadi soda) ile inayotumiwa kupikia mikate ila tahadhari muhimu atumie baking soda na sio (baking powder ) ni vitu viwili tofauti .matumizi maji yaliyo changanywa na baking soda Lita 1 vijiko 3 au 4 vya chakula .baada ya SAA limoja anasuza nywele .atumie kila siku kwa siku 7 ingawa siku ya kwanza tuu zitakwisha .baking soda zipo karibu maduka yote box gram 100 shilingi 500 ,kwaheriJamn wana jamii ,naombeni ushauri wenu tafadhali,yaani nina mdgo wangu anasumbuliwa na mba sana kichwani,anasuka ,na kabla ya kusuka anaosha nywele na shampoo,anapaka mafuta,lakn wki haikatik anajikuna mba analalamka anawashwa sana,naomben ushaur mafuta gani yanaondoa mba,kashtumia sulphur, na diplozon,lakni bado
Inafaa kwa wanume pia? Ninatatizo la mbaa sana!!!mafuta ya nywele ya radiant na spray yake
ndio mafuta ya nywele hayana jinsia mkuuInafaa kwa wanume pia? Ninatatizo la mbaa sana!!!
Sitanii
Nashukuru sanandio mafuta ya nywele hayana jinsia mkuu
Morenja nafikiri utamchanganya.Aoshe nywele na baking soda (magadi soda) ile inayotumiwa kupikia mikate ila tahadhari muhimu atumie baking soda na sio (baking powder ) ni vitu viwili tofauti .matumizi maji yaliyo changanywa na baking soda Lita 1 vijiko 3 au 4 vya chakula .baada ya SAA limoja anasuza nywele .atumie kila siku kwa siku 7 ingawa siku ya kwanza tuu zitakwisha .baking soda zipo karibu maduka yote box gram 100 shilingi 500 ,kwaheri
Jamn wana jamii ,naombeni ushauri wenu tafadhali,yaani nina mdgo wangu anasumbuliwa na mba sana kichwani,anasuka ,na kabla ya kusuka anaosha nywele na shampoo,anapaka mafuta,lakn wki haikatik anajikuna mba analalamka anawashwa sana,naomben ushaur mafuta gani yanaondoa mba,kashtumia sulphur, na diplozon,lakni bado
Ha haa! Aliogopa labda yasije kuwa kama yale ya KY Jelly! Kafanya vizuri kuuliza apate uhakika!ndio mafuta ya nywele hayana jinsia mkuu
Jamn wana jamii ,naombeni ushauri wenu tafadhali,yaani nina mdgo wangu anasumbuliwa na mba sana kichwani,anasuka ,na kabla ya kusuka anaosha nywele na shampoo,anapaka mafuta,lakn wki haikatik anajikuna mba analalamka anawashwa sana,naomben ushaur mafuta gani yanaondoa mba,kashtumia sulphur, na diplozon,lakni bado