Mental slaveryIran jamaa wawe wa kabila 12 wamejipenyeza sana mle na wana mawakala wao ndani ya Iran, hivyo wakitaka kufanya yao ni sekunde tu Putin anasahaulika au hata kumpandikizia gonjwa litakalommaliza taratibu ili isionekane kaondoka tu kwa ugonjwa.
Anyway lakini huenda wayahudi hawanashida naye, japo babu wa USA juzi kafanya ziara huko hatujui yaliyopo sirini.
Naam naam [emoji419]Putin sio Kagame!
Unamzungumzia Putin mbabe wa vita wa dunia.
Sindio hapo [emoji38]Amsaidie mara ngapi???
Inferior MindMental slavery
Hawezi kuelewa Yuko Brain washedHii ishu ya WTC ilipangwa na haohao US ni long story kidogo.
Puttin kgb officer awaogope mossad unachekesha sana, mossad anawaonea waarabu hata operation zao nyingi wanafanyia Dubai, Jordan na nchi nyingine za kiarabu na Russians kuto kumuua zele sio kwasababu wanamuogopa Sheria haziruhusu ww unajua kwann viongozi wa ulaya wakiingia ukaine eneo wanalokuwepo huwezi kusikia limeshambuliwa tatizo mmeshaaminishwa Israel ndio Kila kituKatika Watu ambao duniani Putin anawaogopa ni hao MOSSAD, maana wapo mpaka Urusi kwenye Serikali yake. Kama ujui Russia ina jimbo (Oblast), inaitwa Jewish Oblast lipo mashariki mwa Russia karibu na Jiji la Vladivostok au karibu na mpaka na North Korea. Pia katika list ya Matajiri 10 wa Urusi, 4 ni Wayaudi kwa asili. Ndio maana Putin 1. Amuui Zelensiky wa Ukraine, maana ni myaudi anaogopa watamfeka pale pale Moscow, 2. Putin, Aliomba msamaha haraka pale Waziri wake Lavrov alipomlaumu Zelensiky wa Ukraine kwamba ana msimamo sana kama Hittler akiwafananisha Wayahudi na Hittler. Ogopa sana wayahudi, Wapo kila sehemu, ndio maana Iran wanaichezea watakavyo.
Ila Kuna watu akili Hawana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Katika Watu ambao duniani Putin anawaogopa ni hao MOSSAD, maana wapo mpaka Urusi kwenye Serikali yake. Kama ujui Russia ina jimbo (Oblast), inaitwa Jewish Oblast lipo mashariki mwa Russia karibu na Jiji la Vladivostok au karibu na mpaka na North Korea. Pia katika list ya Matajiri 10 wa Urusi, 4 ni Wayaudi kwa asili. Ndio maana Putin 1. Amuui Zelensiky wa Ukraine, maana ni myaudi anaogopa watamfeka pale pale Moscow, 2. Putin, Aliomba msamaha haraka pale Waziri wake Lavrov alipomlaumu Zelensiky wa Ukraine kwamba ana msimamo sana kama Hittler akiwafananisha Wayahudi na Hittler. Ogopa sana wayahudi, Wapo kila sehemu, ndio maana Iran wanaichezea watakavyo.
Dark MindedMental slavery
tumekupata vizuri sana jasusi la kiyukreni liliojificha kwenye keyboard mitaa ya buza kwa mpalange. wape salamu wenzio team rainbow [emoji304][emoji304]Iran jamaa wawe wa kabila 12 wamejipenyeza sana mle na wana mawakala wao ndani ya Iran, hivyo wakitaka kufanya yao ni sekunde tu Putin anasahaulika au hata kumpandikizia gonjwa litakalommaliza taratibu ili isionekane kaondoka tu kwa ugonjwa.
Anyway lakini huenda wayahudi hawanashida naye, japo babu wa USA juzi kafanya ziara huko hatujui yaliyopo sirini.
chambuzi la mchongo la siasa za kimataifa.Katika Watu ambao duniani Putin anawaogopa ni hao MOSSAD, maana wapo mpaka Urusi kwenye Serikali yake. Kama ujui Russia ina jimbo (Oblast), inaitwa Jewish Oblast lipo mashariki mwa Russia karibu na Jiji la Vladivostok au karibu na mpaka na North Korea. Pia katika list ya Matajiri 10 wa Urusi, 4 ni Wayaudi kwa asili. Ndio maana Putin 1. Amuui Zelensiky wa Ukraine, maana ni myaudi anaogopa watamfeka pale pale Moscow, 2. Putin, Aliomba msamaha haraka pale Waziri wake Lavrov alipomlaumu Zelensiky wa Ukraine kwamba ana msimamo sana kama Hittler akiwafananisha Wayahudi na Hittler. Ogopa sana wayahudi, Wapo kila sehemu, ndio maana Iran wanaichezea watakavyo.
Unasema wenzako ni wafungwa wa fikra halafu wewe yuleyule naona una support story za vijiweni za kufikirika eti issue ya WTC ilipangwa na USA wenyewe. MENTAL SLAVEHawezi kuelewa Yuko Brain washed
Yaani wapange ili waue raia zao na mali halafu wamkimbize Rais wao George Bush kwenye mahandaki kama El Chapo mwisho wamuue waliyepanga naye Bw. Osama Bin Laden. Samahani Mkuu naomba uniweke namba ya mwisho kwenye kuamini ulichosema.Hii ishu ya WTC ilipangwa na haohao US ni long story kidogo.
Mkuu amini basi tufunge mjadalaYaani wapange ili waue raia zao na mali halafu wamkimbize Rais wao George Bush kwenye mahandaki kama El Chapo mwisho wamuue waliyepanga naye Bw. Osama Bin Laden. Samahani Mkuu naomba uniweke namba ya mwisho kwenye kuamini ulichosema.
Kama Urusi Ana nguvu, 1. Angeshamaliza kila kitu Ukraine, unajua mpaka sasa anaangaika tu. 2. Kama kamshindwa Ukraine, atamueza Israel alievamiwa na mataifa 7 zaidi ya mara 2, wakashindwa? Tena Siraha za hayo mataifa 7 zilipewa na USSR zikiwa pia ndege zenye marubani wa Kirusi ambapo Israel alizibutua zote. 3. Ukiona nchi inafanya urafiki na Syria, Iran, Afghanistan, Korea ya Kasikazini, Libya, Mali, Africa ya Kati, Myanmar, Silylanka, mataifa ambayo yameshaferi yanachofanya tu ni hasira za kuikomoa dunia ujue Urusi nae tayari ni Feria State ( Pariar State). Urusi ameshaferi jombaa, yaani Mrusi aende akafanye maisha Afghanistan, si upumbavu huo.Ila Kuna watu akili Hawana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Soma Alana za nyakati wewee,umelala,amka!Putin maji yamezid unga, usione ajabu alitoka huko akaenda Afghanistan ili mladi apate uungwaji mkono.
Israel amewai kuziangusha ndege za Russia katika vita na Egypt huko Sinai, Urusi hakufanya chochote (Nyakati za Golda Meir). Israel anabutua kila siku mizinga na silaha za Warusi wanazopewa Syria na hamfanyi chochote. Dege la Urusi liliangushwa na makombora ya Syria baada ya ndege vita za Israel kujificha nyuma ya ndege ya Urusi, Urusi hakufanya chochote. Putin kaomba msamaha kwa Israel kwa kadhia ya Lavrov. Israel sio Ukraine unaeangaika nae na kuua raia tu ueleweki lengo lako nini. Watoto wa Yakobo hawana maneno Mengi, ukiwatishia Nyuklia wao wenzio wameshahama huko kwenye hiyo Nyuklia, wanakubutulia na kukuyeyushia jiwe la sayari ndogo moja(asteroid), linadondosha jivu lenye moto (burning sulphur) juu ya mji wote wa Moscow, alafu unaulizwa kama umeipenda show au tuongeze. Kaa mbali na Watoto wa Yakobo, utawaonea wakiwa kwako au wakiwa nchi nyingine, lakini wakiwa pale Canaan (Jerusalem) ata mje 150, hamuwang'oi. Ndio maana waarabu wanajiungamanisha na Mkataba wa Abraham Accord ili waelewane na Israel, wanajua hawawawezi. Je wewe mmatumbi na Urusi yako mtajiungamanisha na nini au na ile michuma chuma inayofeli kule Ukraine?.Puttin kgb officer awaogope mossad unachekesha sana, mossad anawaonea waarabu hata operation zao nyingi wanafanyia Dubai, Jordan na nchi nyingine za kiarabu na Russians kuto kumuua zele sio kwasababu wanamuogopa Sheria haziruhusu ww unajua kwann viongozi wa ulaya wakiingia ukaine eneo wanalokuwepo huwezi kusikia limeshambuliwa tatizo mmeshaaminishwa Israel ndio Kila kitu
Yaani wapange ili waue raia zao na mali halafu wamkimbize Rais wao George Bush kwenye mahandaki kama El Chapo mwisho wamuue waliyepanga naye Bw. Osama Bin Laden. Samahani Mkuu naomba uniweke namba ya mwisho kwenye kuamini ulichosema.
Kama Urusi Ana nguvu, 1. Angeshamaliza kila kitu Ukraine, unajua mpaka sasa anaangaika tu. 2. Kama kamshindwa Ukraine, atamueza Israel alievamiwa na mataifa 7 zaidi ya mara 2, wakashindwa? Tena Siraha za hayo mataifa 7 zilipewa na USSR zikiwa pia ndege zenye marubani wa Kirusi ambapo Israel alizibutua zote. 3. Ukiona nchi inafanya urafiki na Syria, Iran, Afghanistan, Korea ya Kasikazini, Libya, Mali, Africa ya Kati, Myanmar, Silylanka, mataifa ambayo yameshaferi yanachofanya tu ni hasira za kuikomoa dunia ujue Urusi nae tayari ni Feria State ( Pariar State). Urusi ameshaferi jombaa, yaani Mrusi aende akafanye maisha Afghanistan, si upumbavu huo.
Asante kwa yote Mkuu. Mungu akubariki sana.Kwa akili uliyonayo huwezi ukanielewa. Endelea kuelewa unachoamini