Kama Urusi Ana nguvu, 1. Angeshamaliza kila kitu Ukraine, unajua mpaka sasa anaangaika tu. 2. Kama kamshindwa Ukraine, atamueza Israel alievamiwa na mataifa 7 zaidi ya mara 2, wakashindwa? Tena Siraha za hayo mataifa 7 zilipewa na USSR zikiwa pia ndege zenye marubani wa Kirusi ambapo Israel alizibutua zote. 3. Ukiona nchi inafanya urafiki na Syria, Iran, Afghanistan, Korea ya Kasikazini, Libya, Mali, Africa ya Kati, Myanmar, Silylanka, mataifa ambayo yameshaferi yanachofanya tu ni hasira za kuikomoa dunia ujue Urusi nae tayari ni Feria State ( Pariar State). Urusi ameshaferi jombaa, yaani Mrusi aende akafanye maisha Afghanistan, si upumbavu huo.