Mbabe Putin kuitembelea Iran July 19

PUT IN sio KAGAME na RUSSIA sio ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli Mkuu Refer Osama Bin Laden na mashambulizi ya World Trade Centre mwaka 2001. Angetaka angemwondoa hata George Bush (Rais wa Marekani wa Kipindi hicho), ilibidi Bush afichwe kwenye Handaki kwa muda.
Kuna watu bado munaamini kwamba seprtember 11 lilikua shambulio la bahati mbaya poleni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matumizi ya L na R yanawapashida sana vijana
Ila pole kwahayo madubwasha ulotutaipia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba mwamba Putin achome mafuta mpaka Kabul kuonana na wataleban halafu akitoka huko aende tena Mogadishu kwa akina alshababu
Inaweza kuwa bonge la move.
Unajua mziki wa Watalaban?
Unaujua mziki wa wasomali?
Namaanisha mziki wao kwa wamarekani.
Akitoka Afghanistan anatua Vietnam.
Unaujua mziki wa wavietnam nadhani.
Hawa watu watatu watalaban,wasomali na wavietnam wakimwagwa Ukraine NATO watahamia Afrika.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.
 
Nchi za ulaya zinaanza kushtukia makosa yao ya kusikiliza propaganda

Swiss authorities have refused a NATO request to admit military and civilians wounded in Ukraine for treatment, local media write
 
Mossad wanaofanya shughuli zao Iran wote watajipa likizo kinyume na hvyo watakula za kichwa bila huruma maana Kwa muda wazaidi ya wiki Russians watakuwa wapo tehran counter intelligence ni ya Russians tupu
kwani mkuu hujui kuwa KGB ipo chini ya Mossad?
 
Shauri yake lakini, yaani anavyowakera west halafu anajidai anazurura naye.
Hebu fikiria wazo langu la kijinga TU.
Kwa mfano USA wafanikiwe kulipua ndege aliyomo Putin.
Unadhani Russia wakitaka watashindwa kupiga moja kwa moja White house?
Au mahala popote alipo Rais wa USA?
Au unadhani wakiamua kupiga ikulu zote za NATO watashindwa?
 
Unazungumzia Israel kwa Urusi?
Naona Kuna kitu hukifahamu.
Urusi ndio imejaza majasusi wake ndani ya Israel.
Ila kwa kua hujui ngoja nikuache.
Israel na Urusi ni Baba na mtoto wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…