Israel amewai kuziangusha ndege za Russia katika vita na Egypt huko Sinai, Urusi hakufanya chochote (Nyakati za Golda Meir). Israel anabutua kila siku mizinga na silaha za Warusi wanazopewa Syria na hamfanyi chochote. Dege la Urusi liliangushwa na makombora ya Syria baada ya ndege vita za Israel kujificha nyuma ya ndege ya Urusi, Urusi hakufanya chochote. Putin kaomba msamaha kwa Israel kwa kadhia ya Lavrov. Israel sio Ukraine unaeangaika nae na kuua raia tu ueleweki lengo lako nini. Watoto wa Yakobo hawana maneno Mengi, ukiwatishia Nyuklia wao wenzio wameshahama huko kwenye hiyo Nyuklia, wanakubutulia na kukuyeyushia jiwe la sayari ndogo moja(asteroid), linadondosha jivu lenye moto (burning sulphur) juu ya mji wote wa Moscow, alafu unaulizwa kama umeipenda show au tuongeze. Kaa mbali na Watoto wa Yakobo, utawaonea wakiwa kwako au wakiwa nchi nyingine, lakini wakiwa pale Canaan (Jerusalem) ata mje 150, hamuwang'oi. Ndio maana waarabu wanajiungamanisha na Mkataba wa Abraham Accord ili waelewane na Israel, wanajua hawawawezi. Je wewe mmatumbi na Urusi yako mtajiungamanisha na nini au na ile michuma chuma inayofeli kule Ukraine?.