Mbagala Dar es Salaam ni chafu sana, inanuka

Nimesema Rangitatu na nikatoa tahadhari usiende mvua ikinyesha sasa Rangitatu nyingine ya Mbagala iko wapi! Kila mara zingatia simama, soma, tafakari kisha chukua hatua.
Vipi soko la buguruni na mabibo mvua zikinyesha?
 
Mabibo soko la ndizi?
Kuna siku nilipita mabibo jamani mahakama ya ndizi daa tope mpaka magotini uwii utazani shamba la mpunga halafu watu wapo comfortable kabisa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kuna Demu nilipanga Kumtongoza na anaishi huko ila kwa huu Uzi natangaza Kusitisha rasmi hiyo azma ( nia ) na Asante sana kwa Taarifa Mkuu.

Ngoja nibakie tu Kutongoza wa Tabata japo nao hunipa mno Adhabu ya Kukariri Dawa za Magonjwa ya Zinaa ( Gonorrhea na Syphilis ) za Cipro, Flagyil na Doxy kutokana na Magonjwa haya kupendana Kunakotukuka nami.
 
Kuna siku nilipita mabibo jamani mahakama ya ndizi daa tope mpaka magotini uwii utazani shamba la mpunga halafu watu wapo comfortable kabisa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Serikali ilitaka wahamisha kipindi cha marehemu, watu wakapiga kelele na yeye akasema waachwe
 
Mleta mada hujakosea mbagala (ofcoz na maeneo mengi tu ndani ya dar) ni machafu sana eg. Vngunguti, gongolamboto, mbagala, mabibo sokoni, tandika stereo, etc ni mengi sana
 
Naomba unisaidie ya kupata GB za bure za Vodacom Tigo na Airtel
 
Huyo demu wa kumtongoza labda ukamchukue Kinondoni uje umtongozee Mbagala, huku kuna ukame wa mademu wa pisikali.
 
Kwahiyo buguruni, mwananyamala, manzese na msasani hazitii dafu?
 
Sehemu kubwa ya Dar ni chafu haswa zile sehemu zenye mikusanyiko ya kibiashara...tazama Tegeta, Mbezi Mwisho, Manzese, Kkoo haswa mitaa ya Gerezani hadi Shaurimoyo, GongolaMboto, Mabibo, Ilala Boma/Karume, Buguruni, Vingunguti...
 
Sawa, ila Mbagala kunanuka kwani nafaka zinazumwagika kwenye maduka zikilowa zinatoa harufu kali, pamoja na mikojo ya wamachinga na bodaboda na takataka za vyakula vinavyouzwa kwenye magenge.
 
Utatulipia gharama za kuja kufanya utalii huko rangi tano,au japo tupiamo tupicha picha twa hapo rangi tano,tuliopo huku kazuramimba tukuelewemoo🥱
 
Utatulipia gharama za kuja kufanya utalii huko rangi tano,au japo tupiamo tupicha picha twa hapo rangi tano,tuliopo huku kazuramimba tukuelewemoo🥱
Niko safarini ila nikiona sehemu chafu kama ya Mbagala nitaipiga picha nikutumie, ukiishi kwa kuamini picha shauri yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…