Mida hii mtaa ya Mbagala watu wanaiba sementi baada ya gari lililokuwa limebeba mzigo huo kuacha njia na kugonga watu na nyumba.
Bado haijafahamika idadi ya watu waliofikwa na mauti au majeruhi zoezi limetatizwa na idadi ya vijana waliojazana badala ya kuokoa wanaiba sementi.
Mida hii ndio polisi wa doria wanafika
Hii tabia ya wizi kwenye ajari na bado hatujakoma tu, nImekumbuka siku gari lililosheheni vileo lilipoanguka na wanakijiji wakaanza kula ulabu polisi waliofika wakakuta mtaa mzima watu wamelewa.
USSR