Mbagala: Lori lililobeba saruji laanguka, Wananchi wajibebea mifuko ya saruji

Ukikosa hoja unaanza matusi,mimi ni sawa na baba yako,au mpaka siku unikute chumbani na mama yako tumevaa mataulo
Bado huna hoja sababu nawe umerusisha jino kwa jino.

Lakini nikuombe msamaha sikudhamiria kukutukana bali ni makosa ya uandishi tu.
 
Hii ndio Taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa, ambapo baada ya lori hilo kubwa kupata ajali wananchi wa eneo hilo badala ya kuokoa majeruhi wamejisombea mifuko ya cement, huku wengine wakirejea tena na tena bila kipingamizi chochote.

Chanzo : Millard Ayo TV

MYTAKE : Hivi ndio vitu ambavyo Polisi wanapaswa kuvishughulikia badala ya kupambana kuzuia Jogging za BAWACHA

Hata wakipambana watasemwa tuuu,, binadamu ndivo tulivyoo.
 
Baada ya kutokea ajali ya gari la mizigo barabara ya Kilwa. Watu badala ya kumuokoa dereva na utingo wake wamekimbilia kuzoa sementi.

Hii ni dalili tosha kuwa watanzania kwa sasa wana hali ngumu ya maisha. Wakati tunajisifia kukuza uchumi wakati mifukoni tupo pyeeeeeee.

Co tu hali ngumu ya maisha,,,waafrika kwa ujumla co watu waaminifu since kitambo, but siyo wote.
 
Duh hatujifunzi kutokana na makosa ya Morogoro, kiukweli ile ilinipa funzo hata lianguke gari la chocolates ntakimbia vibaya🤫
 
Lori halina sehemu inayohifadhi petroli, dissel au mafuta ambapo ukijichanganya kuvuta sigara haliwezi kulipuka?

Au namuelezea Mtu asiyejielewa?
umeliona hilo gari au unaongea tu kisa ni haki yako kikatiba
 
Mambo yamehadilika sanaa
Zamani watu walikuwa waangalia hali ya mtu na jinsi ya kumsaidia.
Lakin siku hizi kila mtu apambane mwenywe .
Watu wanaondoka na saruji bila hata kujua hali ya mtu (dreva wa lori?)
Kweli maisha yanabadilika kwa speed sanaaa
 
Hii ndio Taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa, ambapo baada ya lori hilo kubwa kupata ajali wananchi wa eneo hilo badala ya kuokoa majeruhi wamejisombea mifuko ya cement, huku wengine wakirejea tena na tena bila kipingamizi chochote.

Chanzo : Millard Ayo TV

MYTAKE : Hivi ndio vitu ambavyo Polisi wanapaswa kuvishughulikia badala ya kupambana kuzuia Jogging za BAWACHA
 
Hii ndio Taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa, ambapo baada ya lori hilo kubwa kupata ajali wananchi wa eneo hilo badala ya kuokoa majeruhi wamejisombea mifuko ya cement, huku wengine wakirejea tena na tena bila kipingamizi chochote.

Chanzo : Millard Ayo TV

MYTAKE : Hivi ndio vitu ambavyo Polisi wanapaswa kuvishughulikia badala ya kupambana kuzuia Jogging za BAWACHA
[emoji1241][emoji119]
 
Polisi walinda CCM iendelee kutawala si walinda mali za watu.

Kwani?

IMG_20210930_170832_807.jpg

Si kuwa wako naye kama ilivyo kwa Ben na Azory?
 
Back
Top Bottom