Mbagala: Lori lililobeba saruji laanguka, Wananchi wajibebea mifuko ya saruji

Mbagala: Lori lililobeba saruji laanguka, Wananchi wajibebea mifuko ya saruji

Unajiandikia tu utasema hapo ulipo umekalia “kipande cha nyama ngumu”
Jukwaa zima unakata kata viuno kuandika kila uzi habari za Chadema hata pasipohusika.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ndio Taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa, ambapo baada ya lori hilo kubwa kupata ajali wananchi wa eneo hilo badala ya kuokoa majeruhi wamejisombea mifuko ya cement, huku wengine wakirejea tena na tena bila kipingamizi chochote.

Chanzo : Millard Ayo TV

MYTAKE : Hivi ndio vitu ambavyo Polisi wanapaswa kuvishughulikia badala ya kupambana kuzuia Jogging za BAWACHA
Wote watakaoonekana kwenye video inapaswa wakamatwe
 
Back
Top Bottom