Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Bado huna hoja sababu nawe umerusisha jino kwa jino.Ukikosa hoja unaanza matusi,mimi ni sawa na baba yako,au mpaka siku unikute chumbani na mama yako tumevaa mataulo
Hii ndio Taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa, ambapo baada ya lori hilo kubwa kupata ajali wananchi wa eneo hilo badala ya kuokoa majeruhi wamejisombea mifuko ya cement, huku wengine wakirejea tena na tena bila kipingamizi chochote.
Chanzo : Millard Ayo TV
MYTAKE : Hivi ndio vitu ambavyo Polisi wanapaswa kuvishughulikia badala ya kupambana kuzuia Jogging za BAWACHA
Tofautisha wizi na kuokota
Jiwe amebakiza fuvu tu!Vijana wa chadema hawa
USSR
Baada ya kutokea ajali ya gari la mizigo barabara ya Kilwa. Watu badala ya kumuokoa dereva na utingo wake wamekimbilia kuzoa sementi.
Hii ni dalili tosha kuwa watanzania kwa sasa wana hali ngumu ya maisha. Wakati tunajisifia kukuza uchumi wakati mifukoni tupo pyeeeeeee.
We muungwana sana ,haya bana yameisha mkuuBado huna hoja sababu nawe umerusisha jino kwa jino.
Lakini nikuombe msamaha sikudhamiria kukutukana bali ni makosa ya uandishi tu.
Afrika nzima hakuna sehemu roli likaanguka ns bidhaa watu wasiokote ,so kwa mila zetu huo sio wiziHuo ni wizi, acha ubishi mkuu.
Tumikia adhabu kwanzaWe muungwana sana ,haya bana yameisha mkuu
umeliona hilo gari au unaongea tu kisa ni haki yako kikatibaLori halina sehemu inayohifadhi petroli, dissel au mafuta ambapo ukijichanganya kuvuta sigara haliwezi kulipuka?
Au namuelezea Mtu asiyejielewa?
kufa kufaana bibi bombaWatu wanaweza kuwa wamejeruhiwa na wanahitaji msaada ila watu wako busy kuiba mzigo wa hiyo gari aisee ni tabia mbaya sana😒
Mi mdukuzi nitawapiga wao banTumikia adhabu kwanza
Hii ndio Taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa, ambapo baada ya lori hilo kubwa kupata ajali wananchi wa eneo hilo badala ya kuokoa majeruhi wamejisombea mifuko ya cement, huku wengine wakirejea tena na tena bila kipingamizi chochote.
Chanzo : Millard Ayo TV
MYTAKE : Hivi ndio vitu ambavyo Polisi wanapaswa kuvishughulikia badala ya kupambana kuzuia Jogging za BAWACHA
Afrika nzima hakuna sehemu roli likaanguka ns bidhaa watu wasiokote ,so kwa mila zetu huo sio wizi
[emoji1241][emoji119]Hii ndio Taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa, ambapo baada ya lori hilo kubwa kupata ajali wananchi wa eneo hilo badala ya kuokoa majeruhi wamejisombea mifuko ya cement, huku wengine wakirejea tena na tena bila kipingamizi chochote.