UP TO DATE
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 740
- 903
Ndani ya dk tano mifuko 300 ya cement iliisha ๐๐๐๐๐mbagala oyeeeee
Wanahangaika kulitoa jioni hii hapa ni katikati ya misheni na msikitini kwenye ile kona kali jamaa akachochoraHalafu limeangukia maeneo mabaya sana yale, hapo ni kati ya stesheni hadi Mtoni Mtongani.
Maeneo mengine naweza nika guarantee mzigo ukawa salama ila sio hayo maeneo coz hata spare za gari zinaweza zikawa zinafunguliwa na kuondoka nazo.
Siyo polisi tuu bali system nzima yapaswa kubadilika. Ipokazi kubwa kuweza kuwabadili watu kuja kwenye imani na kuoneana huruma ikiwa serkali yenyewe haina imani na huruma kwa watu wakeHii ndio Taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa, ambapo baada ya lori hilo kubwa kupata ajali wananchi wa eneo hilo badala ya kuokoa majeruhi wamejisombea mifuko ya cement, huku wengine wakirejea tena na tena bila kipingamizi chochote.
Chanzo : Millard Ayo TV
MYTAKE : Hivi ndio vitu ambavyo Polisi wanapaswa kuvishughulikia badala ya kupambana kuzuia Jogging za BAWACHA
Habari ndio hiyoAiseee
acha kuhalalisha wizi,kuokota unajua maana yake?kuokota ni kuona kitu pahalii ambacho unajua wazi mwenyewe hayupo na ima amekisahau au kimemdondoka na hicho huruhusiwi kukichukua bali kukitangaza then umpelekee,leo mtu kapata majanga baada ya kumsaidia unamuibia halafu unasema kuokota?una akili?Tofautisha wizi na kuokota
Polisi ndiyo wanapenda hii kwasababu hiyo cement watakuja kuichukua wao kwa kisingizio cha msako huko inakokimbiziwa
Umeshatangaza vingapi ulivyookota mheshimiwaacha kuhalalisha wizi,kuokota unajua maana yake?kuokota ni kuona kitu pahalii ambacho unajua wazi mwenyewe hayupo na ima amekisahau au kimemdondoka na hicho huruhusiwi kukichukua bali kukitangaza then umpelekee,leo mtu kapata majanga baada ya kumsaidia unamuibia halafu unasema kuokota?una akili?