Mbagala Maji Meusi (MATITU), mji wa kuogofya

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam,Shalom.

Leo nitarudia kuandika japo kidogo kuhusu mji huu maana niliwahi kujaribu kuandika miezi kadhaa iliyopita, thread ilifutika yenyewe.

Mbagala Saku, Maji MATITU, maji meusi ndipo Hasa kilipo KITI Cha enzi Cha muungu wa Nchi ya Nyikani, wanajua waliyoyafanya hao viongozi wa watu kuikabidhi Nyikani katika madhabahu ya Giza. Tafsiri ya maji ni watu, maji MATITU, maji meusi, ni watu wa Giza au center ya Giza, eneo Hilo limetawaliwa na Giza, uyaonayo juu ya ardhi ni matokeo ya milki na falme unaotawala eneo Hilo.

Nimewahi andika juu kuhusu Nyikani, ndio Hasa inaibeba Dunia katika Ulimwengu wa Roho, Usilolijua hata Uchumi wa Dunia nzima, unatoka katika madhabahu iliyoko hapo maji meusi.

Makaburi ya viongozi wote wa Dunia nzima wa wajenzi wale H,makafara ya watoto wachanga Dunia nzima ya watu hao, huzikwa hapo Mbagala kichawi, machief wote Dunia nzima huletwa na kuzikwa hapo Kwa kificho katika Ulimwengu wa Roho. Ndipo palipo na KITI Cha enzi Cha muungu wa Nyikani aitwaye maji MATITU (JOKA).

Makaburi yaliyoko chini ya mji huo ni kama containers zilizobebanishwa na kutapakaa umbali mkubwa katika eneo Hilo. Kiufupi, hayahesabiki, ni mengi kuliko wakazi waishio juu ya eneo Hilo. Imagine nyumba zote uzionazo mji huo zimejengwa juu ya makaburi, utaanzisha mradi au shughuli ipi kiuchumi, Kijamii, kisiasa, kielimu ISIFE?

Unabii huu uliotolewa zaidi ya miezi kumi sasa kuwa, Ili Nchi ya Nyikani ikombolewe, uchawi ulioifunga Nchi uondoke, Ujinga na uzubaifu wa watu uondoke, Umaskini wa fikra uondoke, ni LAZIMA muungu wa Nyikani auawe na kuondoshwa, na Ishara ya kuuawa Kwa muungu huyo, ni shart litokee tetemeko kuu litakalopasua eneo Hilo.

Na chini ya ardhi hiyo, baadae kidogo patatokea utajiri mkubwa wa madini mbalimbali yatakayoinufaisha Nchi sana Kwa kuwa, muungu huyo alificha Mali nyingi sana Mahali na mji huo.

Uonapo mambo hayo Kutokea juu ya nchi nzuri Nyikani, shangilia sana maana Ukombozi wa Nchi umewadia. Mungu ameikumbuka Nyikani, Mungu atainua KITI chake juu ya nchi na watu watastawi, na Nuru kuu itaonekana tena Afrika nzima Kutokea Nyikani.

Source: UNYAKUO TV - Mbagala mji wa wafu, Unabii umetolewa na mtumishi wa Mungu,Nabii Boniface Victor.

Karibuni🙏
 
Salaam,Shalom.

Leo nitarudia kuandika japo kidogo kuhusu mji huu maana niliwahi kujaribu kuandika miezi kadhaa iliyopita, thread ilifutika yenyewe.

Mbagala Sako, Maji MATITU, maji meusi ndipo Hasa kilipo KITI Cha enzi Cha muungu wa Nchi ya Nyikani, wanajua waliyoyafanya hao viongozi wa watu kuikabidhi Nyikani katika madhabahu ya Giza. Tafsiri ya maji ni watu, maji MATITU, maji meusi, ni watu wa Giza au center ya Giza, eneo Hilo limetawaliwa na Giza, uyaonayo juu ya ardhi ni matokeo ya milki na falme unaotawala eneo Hilo.

Nimewahi andika juu kuhusu Nyikani, ndio Hasa inaibeba Dunia katika Ulimwengu wa Roho, Usilolijua hata Uchumi wa Dunia nzima, unatoka katika madhabahu iliyoko hapo maji meusi.

Makaburi ya viongozi wote wa Dunia nzima wa wajenzi wale H, huzikwa hapo Mbagala kichawi, machief wote Dunia nzima huletwa na kuzikwa hapo Kwa kificho katika Ulimwengu wa Roho. Ndipo palipo na KITI Cha enzi Cha muungu wa Nyikani aitwaye maji MATITU (JOKA).

Tuthibitishie mzee
 
Asilimia tisini ya hawa "manabii wa kizazi kipya" hoja yao ni uchawi uchawi na uchawi tuu.
Hakuna cha Habari Niema tena.
 
Unaushahidi au evidence gani juu ya hayo uliyoandika?
 
Hiyo mbagala ni Kijiji Cha uchawi.

Bibi alinambia makao makuu ya uchawi na wanga afrika ni Oyoro Kawashiraki, jimbo la Kanu huko Nigeria. Ikulu ndogo na anapoishi mkuu msaidizi panaitwa Gambosi, Bariadi Tanzania!

Nkasi Rukwa anapatikana mkuu wa ujasusi uchawini na mratibu wa anga aka Mzee wa rada anapatikana Ujiji.

Unapajua Bujora ya Kisesa Mwanza? Ndipo barozi wa jumuiya ya ulaya kuwasilisha majuba afrika anapatikana.

Lubumbashi, bunyoro, konakre na Ouagadougou ni maeneo mengine ya kimkakati.

Chuo kikuu kipo burknabe
 
Ongezea nyama zaidi boss
 
As a member of Public health management we apologize to all JF members that, The person who posted this thread Rabbon is one of our patient who escaped from our institution of mental problems.

We assure you that, we will do whatever it takes to get him back to the institution.
 
M
Salaam,Shalom.

Leo nitarudia kuandika japo kidogo kuhusu mji huu maana niliwahi kujaribu kuandika miezi kadhaa iliyopita, thread ilifutika yenyewe.

Mbagala Sako, Maji MATITU, maji meusi ndipo Hasa kilipo KITI Cha enzi Cha muungu wa Nchi ya Nyikani, wanajua waliyoyafanya hao viongozi wa watu kuikabidhi Nyikani katika madhabahu ya Giza. Tafsiri ya maji ni watu, maji MATITU, maji meusi, ni watu wa Giza au center ya Giza, eneo Hilo limetawaliwa na Giza, uyaonayo juu ya ardhi ni matokeo ya milki na falme unaotawala eneo Hilo.

Nimewahi andika juu kuhusu Nyikani, ndio Hasa inaibeba Dunia katika Ulimwengu wa Roho, Usilolijua hata Uchumi wa Dunia nzima, unatoka katika madhabahu iliyoko hapo maji meusi.

Makaburi ya viongozi wote wa Dunia nzima wa wajenzi wale H, huzikwa hapo Mbagala kichawi, machief wote Dunia nzima huletwa na kuzikwa hapo Kwa kificho katika Ulimwengu wa Roho. Ndipo palipo na KITI Cha enzi Cha muungu wa Nyikani aitwaye maji MATITU (JOKA).

Makaburi yaliyoko chini ya mji huo ni kama containers zilizobebanishwa na kutapakaa umbali mkubwa katika eneo Hilo. Kiufupi, hayahesabiki, ni mengi kuliko wakazi waishio juu ya eneo Hilo. Imagine nyumba zote uzionazo mji huo zimejengwa juu ya makaburi, utaanzisha mradi au shughuli ipi kiuchumi, Kijamii, kisiasa, kielimu ISIFE?

Unabii huu uliotolewa zaidi ya miezi kumi sasa kuwa, Ili Nchi ya Nyikani ikombolewe, uchawi ulioifunga Nchi uondoke, Ujinga na uzubaifu wa watu uondoke, Umaskini wa fikra uondoke, ni LAZIMA muungu wa Nyikani auawe na kuondoshwa, na Ishara ya kuuawa Kwa muungu huyo, ni shart litokee tetemeko kuu litakalopasua eneo Hilo.

Na chini ya ardhi hiyo, baadae kidogo patatokea utajiri mkubwa wa madini mbalimbali yatakayoinufaisha Nchi sana Kwa kuwa, muungu huyo alificha Mali nyingi sana Mahali na mji huo.

Uonapo mambo hayo Kutokea juu ya nchi nzuri Nyikani, shangilia sana maana Ukombozi wa Nchi umewadia. Mungu ameikumbuka Nyikani, Mungu atainua KITI chake juu ya nchi na watu watastawi, na Nuru kuu itaonekana tena Afrika nzima Kutokea Nyikani.

Source: UNYAKUO TV - Mbagala mji wa wafu, Unabii umetolewa na mtumishi wa Mungu,Nabii Boniface Victor.

Karibuni🙏
Mbona mapicha picha tu,mdukuzi mzee wa codes na D mbili tufafanulie,au mchungi wa kondoo wa maji meusi dishi limeyumba🤪
 
Tuthibitishie mzee
Pata macho ya Rohoni uthibitishe mwenyewe.

Kitu pekee ni achokuambia Kwa sasa,

Ni dhahiri, Nchi yetu itapitia mabadiliko makubwa sana kiuchumi, kisiasa, Kijamii ,kiimani.

Nyikani, katika ardhi uliyoikanyaga, itaongoza Africa na Dunia katika mengi.

Nakuombea uhai uone Kwa macho, matokeo ya kilichotokea Saku, maji meusi.
 
Back
Top Bottom