Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Hii ni project ya kuua waislamu weusi wote Sudan ili wabaki waarabu.Bora asitishe maana inaweza kutokea bahati mbaya akatwanga na makombora magaidi ambao wapo na mateka na wote wakafa, sasa hapo atakuwa ameoata faida gani.
Janjaweed wameua watu takribani 700 Sudan, mbona mko kimya?
Wala sio Mbali Wala sio zamani, ni Jana! Janjaweed wameua wanawake, wazee na Watoto zaidi ya 700. Sijasikia mtanzania Mwenye kuwashwawashwa na mauwaji haya as if nothing happened! Nadhani hawa hawana damu, sio Ndugu zetu, sio wenzetu hawa ndio maana! Ila Sasa ingekua Ukraine au...