Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,209
- 4,769
Russia tangu ameingia vita vya kijeshi na ka nchi kadogo kanakoingia mara 8 kwa Russia, ametafuta ushirika na mataifa mengi na makubwa yenye uwezo mbalimbali kijeshi mpaka kafika Africa akajipatia SA
Marafiki ambao wamekukubaliana kuweka ushirikiano pamoja ili kumdhibiti USA ni, China, Iran, Korea Kasikazini, Cuba na sasa Vietnam. N.k
USA inaitizama tu Rassia jinsi inavyhangaika huku ikiendelea kupeleka kiasi cha siraha ndogo kule Ukraine na kumwacha Putin akilalama bila thubutu yoyote ya kuifanya USA
Hata hivyo, umasikini ni kitu kibaya sana, kinafedhehesha, kinakulazimisha ukajikombe kwa wenye uwezo, na hata hao unaowaona wanauwezo, kumbe nao wanaye mwenye uwezo kuwapita hata wakiunganika
USA ni uwezo, bila Uwezo angelikuwa keshapigwa na Putin kitambo kwa kitendo chake cha kuwasaidia Ukraine huku walikuwa wamepewa onyo kabla
Mbali na kuwa na washirika wengi sasa wanaomuunga mkono Russia, lakini hiyo haimpi imani ya kujitoshereza kwamba anao uwezo sasa wa kukabiliana na USA
USA ni dude kuubwa sana, kiasi kwamba linaweza kusimama lenyewe likayumbisha mataifa yote duniani