Mbali na kuwa na washirika wengi wanaomuunga mkono Russia, kwa USA, Russia ni kama yuko peke yake!

Uzuri urusi ana utu,,,,,,angeamua kufanya kama Israel ilichofanya kule gaza hio nchi angekua kaimaliza mapema na ndo maana wanatakiwa wawepo superpower kama hawa kidogo wana utu, sio wale wazee wa taifa teule .....hizi vita 2 zimeonyesha nani anamtumikia Mungu na nani anamtumikia shetani
Angekua na utu asingeanzisha vita tangu mwanzo. Kwa taarifa yako Urusi amefanya unyama sana hapo Ukraine ila hapigiwi kelele kama Myahudi kwenye vita ya Gaza.
 
Kabla hajaanza aliwaonya na mrusi alichokozwa makusudi wakitegemea atapanic,,,,ila jamaa anawanyoosha ki godfather sio kama yule wa taifa teule kajambishwa kidogo akaamua kuhara kabisa
 
Yule wa taifa teule alivamiwa nchini kwake na kuuwawa kwa raia zaidi ya 1400 pamoja na wengine zaidi ya 300 kutekwa, na zaidi hamas walikua wanarusha makombora hadi 5000 kwa siku. Hapo ni kujambishwa kidogo?!
 
Russia tangu ameingia vita vya kijeshi na ka nchi kadogo kanakoingia mara 8 kwa Russia, ametafuta ushirika na mataifa mengi na makubwa yenye uwezo mbalimbali kijeshi mpaka kafika Africa akajipatia SA

Marafiki ambao wamekukubaliana kuweka ushirikiano pamoja ili kumdhibiti USA ni, China, Iran, Korea Kasikazini, Cuba, N.k

USA inaitizama tu Rassia jinsi inavyhangaika huku ikiendelea kupeleka kiasi cha siraha ndogo kule Ukraine na kumwacha Putin akilalama bila thubutu yoyote ya kuifanya USA

Hata hivyo, umasikini ni kitu kibaya sana, kinafedhehesha, kinakulazimisha ukajikombe kwa wenye uwezo, na hata hao unaowaona wanauwezo, kumbe nao wanaye mwenye uwezo kuwapita hata wakiunganika

USA ni uwezo, bila Uwezo angelikuwa keshapigwa na Putin kitambo kwa kitendo chake cha kuwasaidia Ukraine huku walikuwa wamepewa onyo kabla

Mbali na kuwa na washirika wengi sasa wanaomuunga mkono Russia, lakini hiyo haimpi imani ya kujitoshereza kwamba anao uwezo sasa wa kukabiliana na USA

USA ni dude kuubwa sana, kiasi kwamba linaweza kusimama lenyewe likayumbisha mataifa yote duniani
Ukraine inaingia mara 17 kwa Rusia
 
Uzuri urusi ana utu,,,,,,angeamua kufanya kama Israel ilichofanya kule gaza hio nchi angekua kaimaliza mapema na ndo maana wanatakiwa wawepo superpower kama hawa kidogo wana utu, sio wale wazee wa taifa teule .....hizi vita 2 zimeonyesha nani anamtumikia Mungu na nani anamtumikia shetani
Nchi ambazo viongozi wake wanamtumikia Mungu ni zile ambazo hazifikirii ama kuwaza kwamba siku moja watakuja kumwaga Damu za watu

Na ikitaka kutokea hukaa meza moja ili wayamalize kwa mazungumzo,
 
Russia pamoja na kuwa na raslimali lukuki kuishinda Marekani na kando ya ukweli kwamba ndio nchi ya kwanza duniani kwa kumiliki raslimali nyingi za asili lakini kwa bahati mbaya hazijaweza kumsaidia ili uchumi wake uwe wa kwanza kwa ukubwa duniani.

Hii inatokana na sababu za kihistoria. Russia toka vita vya kwanza vya dunia walipoanzisha mfumo wa uchumi wa kikomunisti ndipo walipojiloga rasmi.

Baada ya njia zote za kiuchumi kumilikiwa na serikali katili ya kikomunisti wananchi walibaki kuwa watazamaji huku wananchi wakiwa hawajui kabisa maswala ya biashara na watu walibaki kuwa wakulima wadogo wadogo au waajiriwa wa serikali na mashirika yake.

Matokeo yake ndio tunaona leo Russia hamna makampuni makubwa makubwa yanayoweza kuajiri watu wengi na kulipa kodi serikalini, Russia imebaki tu kuwa Banana Republic.
Huo ukomunisti mbona haujawazuia China tena hao China bado wanakumbatia fikra za kikomunisti komunisti mpaka leo.

Umeamua kujiongelea chochote kilicho kichwani.
 
Hapa tunaongelea Russia na sio China. Russia unafikiri tatizo ni nini hadi uchumi wake uwe chini kiasi hicho pamoja na raslimali zote hizo.
 
Yule wa taifa teule alivamiwa nchini kwake na kuuwawa kwa raia zaidi ya 1400 pamoja na wengine zaidi ya 300 kutekwa, na zaidi hamas walikua wanarusha makombora hadi 5000 kwa siku. Hapo ni kujambishwa kidogo?!
Kidogo sana ,,mbona kule Ukraine walishaanza kuua raia walio na asili ya urusi na ndo chanzo cha yale majimbo kutaka kujitenga........mrusi hadi anaingia mapigano ndani ya ukraine yalishaanza sema raia wenye asili ya urusi walikua wanazidiwa na serikali
 
Hapa tunaongelea Russia na sio China. Russia unafikiri tatizo ni nini hadi uchumi wake uwe chini kiasi hicho pamoja na raslimali zote hizo.
Siasa zao za ndani.

Pamoja ya kwamba Russia uchumi wao sio wa chini sana ila haulingani na utajiri alionao.

Vita vya Ukraine vikiisha wanapaswa waanze kuzidhughulikia siasa zao za ndani na wajiepushe na migogoro ya nje isiyo na tija yoyote wafocus zaidi na masuala yao ya ndani hasa rasilimali na uchumi wao.

Wapambane na ufisadi na nguvu za matajiri na wanasiasa katika uchumi wa nchi.
 
Nauliza, Putin hapigwi na Nato?

Sasa yeye ajaribu tu kurusha hato puto kwa NATO aone
Screenshot_20230906-221830.png
 
Nadhani Rassia hesabu zake kazikosea, ila China ina mpango mahususi

Unapotaka kumshusha USA jijenge kwanza kwa kila nyanja na uwe na uchumi kiasi cha kumzidi yeye theni ukianzisha fujo, unauhakika wa kutembea na mmarekani hata miaka 20

Kushindana na kutaka kkuishusha Marekani inayotoa misaada karibu Dunia nzima

Umewahi kujiuliza, USA akaacha tu kutoa misaada ya aina yoyote, Baada ya miaka 10 Dunia itakuweje
Kumbe mwenzetu hapo ulipo USA isipotoa misaada unajifia zako? Wewe hautakuwa wa kiume, kwamba USA anatoa misaada dunia nzima? Ni lini alitoa misaada Korea kaskazini, Russia, Iran, Cuba n.k?
 
Russia pamoja na kuwa na raslimali lukuki kuishinda Marekani na kando ya ukweli kwamba ndio nchi ya kwanza duniani kwa kumiliki raslimali nyingi za asili lakini kwa bahati mbaya hazijaweza kumsaidia ili uchumi wake uwe wa kwanza kwa ukubwa duniani.

Hii inatokana na sababu za kihistoria. Russia toka vita vya kwanza vya dunia walipoanzisha mfumo wa uchumi wa kikomunisti ndipo walipojiloga rasmi.

Baada ya njia zote za kiuchumi kumilikiwa na serikali katili ya kikomunisti wananchi walibaki kuwa watazamaji huku wananchi wakiwa hawajui kabisa maswala ya biashara na watu walibaki kuwa wakulima wadogo wadogo au waajiriwa wa serikali na mashirika yake.

Matokeo yake ndio tunaona leo Russia hamna makampuni makubwa makubwa yanayoweza kuajiri watu wengi na kulipa kodi serikalini, Russia imebaki tu kuwa Banana Republic.
Raslimali peke yake hazitoshi
Biashara tu zinazofanyika duniani kwa pesa US zinamuingizia mmarekani zaidi ya dollar trillion .
Apo yeye ajafanya chochote
 
Russia tangu ameingia vita vya kijeshi na ka nchi kadogo kanakoingia mara 8 kwa Russia, ametafuta ushirika na mataifa mengi na makubwa yenye uwezo mbalimbali kijeshi mpaka kafika Africa akajipatia SA

Marafiki ambao wamekukubaliana kuweka ushirikiano pamoja ili kumdhibiti USA ni, China, Iran, Korea Kasikazini, Cuba, N.k

USA inaitizama tu Rassia jinsi inavyhangaika huku ikiendelea kupeleka kiasi cha siraha ndogo kule Ukraine na kumwacha Putin akilalama bila thubutu yoyote ya kuifanya USA

Hata hivyo, umasikini ni kitu kibaya sana, kinafedhehesha, kinakulazimisha ukajikombe kwa wenye uwezo, na hata hao unaowaona wanauwezo, kumbe nao wanaye mwenye uwezo kuwapita hata wakiunganika

USA ni uwezo, bila Uwezo angelikuwa keshapigwa na Putin kitambo kwa kitendo chake cha kuwasaidia Ukraine huku walikuwa wamepewa onyo kabla

Mbali na kuwa na washirika wengi sasa wanaomuunga mkono Russia, lakini hiyo haimpi imani ya kujitoshereza kwamba anao uwezo sasa wa kukabiliana na USA

USA ni dude kuubwa sana, kiasi kwamba linaweza kusimama lenyewe likayumbisha mataifa yote duniani
USA ni baba ya ulimwengu
 
Wataalamu nguli - tena toka inner circle ya US - wanakiri wazi kuwa Putin alijipanga vilivyo, US naye alijipanga ila alipigwa chenga 2014.
Dunia ya sasa imechangamka, inachezwa michezo ya watu wazima na ya kibabe - zaidi ya zama za vita baridi.
Washirika wa US wanajulikana long time, ila Russia anacheza michezo matata na bila makelele mengi. Je unahisi kituo kinachofuata baada ya Vietnam ni kipi?
Anazurula tu huko, hv kweli upo serious kutafuta uungwaji mkono na Vietnam?
 
Anatafuta washirika, vita si lelemama, pinch anaisikia. Wakati anaanza smo yake alikuwa akivamia eneo kwa msururu wa mavifaru si chini ya ishirini sasa hivi hafanyi. Alikuwa alirusha makombora mpaka 60,000/- kwa siku, sasa hivi hafanyi.
Alibugi kuivamia Ukraine.
 
Siasa zao za ndani.

Pamoja ya kwamba Russia uchumi wao sio wa chini sana ila haulingani na utajiri alionao.

Vita vya Ukraine vikiisha wanapaswa waanze kuzidhughulikia siasa zao za ndani na wajiepushe na migogoro ya nje isiyo na tija yoyote wafocus zaidi na masuala yao ya ndani hasa rasilimali na uchumi wao.

Wapambane na ufisadi na nguvu za matajiri na wanasiasa katika uchumi wa nchi.
wale jamaa walihama toka ukomunisti kwenda ubepari bila maandalizi, ni tofauti kabisa na china!
Russia kuna matajiri walijimilikisha kila kitu na wakawa juu ya serikali (hii ndio downfall yao)

hata hivyo Putin kasaidia sana kuirejesha urusi kwenye mstari, ndiye alierejesha mashirika mengi serikali (yale yaliyokua yamebinafsishwa), na kafanya matajiri kuanza kuiheshimu serikali......

naamini huu mgogoro wa ukraine umewapa funzo zito sana, miaka 10-15 ijayo watakua sehemu nzuri sana kama wakivuka miaka 2 ijayo vizuri
 
Russia anayo nafasi ya kuwa na economic dominance viwango cya akina us sasa sijuwi anakwama wapi.
Labda ni vile hawajakupatia nafasi ya kuonana na Putin ili umpatie huo ushauri wako.
 
Back
Top Bottom