Mbali na kuwa na washirika wengi wanaomuunga mkono Russia, kwa USA, Russia ni kama yuko peke yake!

Mbali na kuwa na washirika wengi wanaomuunga mkono Russia, kwa USA, Russia ni kama yuko peke yake!

Naona viatu vinavyo pwaya.
Point yangu ilikuwa ni, Russia anayo mali asili nyingi kama si zote, Russia anazo rasilimali watu, yahani vichwa wanye uwezo wa ku transform hizo resources kwa chochote dunia inachokitaka alafu akaiuzia dunia na kujenga uchumi wake. Badala yake kawekeza kwenye ugonvi tu.
Nasikia ule ubalozi wa Russia pale bongo bado upo paleoale, mkiwapatia huu ushauri mtakuwa mmewasaidia sana.
 
Wanajitegemea kama taifa au hawajitegemei!?
Wananchi wanapata mahitaji ya msingi, elimu, afya, ajira!?
Ni ukweli ulio dhahiri kwamba huduma za kijamii zinazotolewa na serikali ya Russia haziachani sana na zile zinazotolewa na serikali nyingi katika nchi za dunia ya tatu kwani rasilimali nyingi za serikali ya Russia zinaelekezwa kwenye wizara ya ulinzi.
 
Huduma gani za kijamii ambazo zinatolewa kwenye nchi unazoziita za dunia ya kwanza lakini hazitolewi kwa wananchi wa Russia?
 
Huo ukomunisti mbona haujawazuia China tena hao China bado wanakumbatia fikra za kikomunisti komunisti mpaka leo.

Umeamua kujiongelea chochote kilicho kichwani.
Ukomunisti wao umebaki zaidi kwenye makaratasi sawa tu na ujamaa wa kitanzania.
 
Russia tangu ameingia vita vya kijeshi na ka nchi kadogo kanakoingia mara 8 kwa Russia, ametafuta ushirika na mataifa mengi na makubwa yenye uwezo mbalimbali kijeshi mpaka kafika Africa akajipatia SA

Marafiki ambao wamekukubaliana kuweka ushirikiano pamoja ili kumdhibiti USA ni, China, Iran, Korea Kasikazini, Cuba, N.k

USA inaitizama tu Rassia jinsi inavyhangaika huku ikiendelea kupeleka kiasi cha siraha ndogo kule Ukraine na kumwacha Putin akilalama bila thubutu yoyote ya kuifanya USA

Hata hivyo, umasikini ni kitu kibaya sana, kinafedhehesha, kinakulazimisha ukajikombe kwa wenye uwezo, na hata hao unaowaona wanauwezo, kumbe nao wanaye mwenye uwezo kuwapita hata wakiunganika

USA ni uwezo, bila Uwezo angelikuwa keshapigwa na Putin kitambo kwa kitendo chake cha kuwasaidia Ukraine huku walikuwa wamepewa onyo kabla

Mbali na kuwa na washirika wengi sasa wanaomuunga mkono Russia, lakini hiyo haimpi imani ya kujitoshereza kwamba anao uwezo sasa wa kukabiliana na USA

USA ni dude kuubwa sana, kiasi kwamba linaweza kusimama lenyewe likayumbisha mataifa yote duniani
Russia mikwala alisemaga atakayesaidia Ukraine atakutana na moto....tumeona misaada mbalimbali na Russia yupo
 
Ukweli mchungu,ni kwamba Urusi peke yake anapigana na Mataifa 40 na yameshindwa kumtingisha.
 
Huo ukomunisti mbona haujawazuia China tena hao China bado wanakumbatia fikra za kikomunisti komunisti mpaka leo.

Umeamua kujiongelea chochote kilicho kichwani.
Wachina walianza kuachana na Ukomunisti mapema miaka ya 1980 chini ya utawala wa Deng Xiaoping wakati Urusi ikiendelea kupuyanga na Ukomunisti wake, pia Warusi walipohamia katika mfumo wa soko huria walihamishia uchumi kwa watu wachache wanaoitwa "Oligarchs" ambao walikuwa ni wezi tu wa mali za umma na wote waliojikita kwenye biashara za rasilimali na malighafi tofauti na China ambayo ilifanya mabadiliko ya maana ya soko huria.
 
Russia anayo nafasi ya kuwa na economic dominance viwango cya akina us sasa sijuwi anakwama wapi.
Kuna mambo mengi sana
1.Russia ili mtu afanikiwe sana anahitaji connection na kujuana zaidi kuliko uwezo wake au kipaji chake binafsi. US kuna ile hali ya kwamba ni land of equal opportunity, kwamba kila mtu anakuwa na fursa sawa na mwingine bila kujali sana background yake, msimamo wa siasa, kujuana au connections.

2. Sera nzuri za uchumi zinazotoa uhuru kwa watu na kuheshimu property rights.

3.Mfumo bora wa kisiasa na kisheria unaoheshimu due process kupitia mahakama huru.

4. Utulivu wa kisiasa

5. Kuruhusu mchanganyiko wa watu mbalimbali kutoka sehemu zote duniani. Utashangaa kuna Warusi na Wachina wengi sana wamehamia US tangu miaka ya 1850 kutafuta maisha.
 
L
Russia tangu ameingia vita vya kijeshi na ka nchi kadogo kanakoingia mara 8 kwa Russia, ametafuta ushirika na mataifa mengi na makubwa yenye uwezo mbalimbali kijeshi mpaka kafika Africa akajipatia SA

Marafiki ambao wamekukubaliana kuweka ushirikiano pamoja ili kumdhibiti USA ni, China, Iran, Korea Kasikazini, Cuba, N.k

USA inaitizama tu Rassia jinsi inavyhangaika huku ikiendelea kupeleka kiasi cha siraha ndogo kule Ukraine na kumwacha Putin akilalama bila thubutu yoyote ya kuifanya USA

Hata hivyo, umasikini ni kitu kibaya sana, kinafedhehesha, kinakulazimisha ukajikombe kwa wenye uwezo, na hata hao unaowaona wanauwezo, kumbe nao wanaye mwenye uwezo kuwapita hata wakiunganika

USA ni uwezo, bila Uwezo angelikuwa keshapigwa na Putin kitambo kwa kitendo chake cha kuwasaidia Ukraine huku walikuwa wamepewa onyo kabla

Mbali na kuwa na washirika wengi sasa wanaomuunga mkono Russia, lakini hiyo haimpi imani ya kujitoshereza kwamba anao uwezo sasa wa kukabiliana na USA

USA ni dude kuubwa sana, kiasi kwamba linaweza kusimama lenyewe likayumbisha mataifa yote duniani
LGBTQ
 
Huduma gani za kijamii ambazo zinatolewa kwenye nchi unazoziita za dunia ya kwanza lakini hazitolewi kwa wananchi wa Russia?
Huduma zinapatikana lakini ubora katika maeneo mengine ya Russia huwezi kabisa ukalinganisha na zilivyo katika nchi zingine zilizoendelea.
 
Huduma zinapatikana lakini ubora katika maeneo mengine ya Russia huwezi kabisa ukalinganisha na zilivyo katika nchi zingine zilizoendelea.
Ebu ngoja kwanza mkongwe, kwani Russia ni nchi ya ngapi kwa ukubwa wa kiuchumi duniani!?
 
Russia pamoja na kuwa na raslimali lukuki kuishinda Marekani na kando ya ukweli kwamba ndio nchi ya kwanza duniani kwa kumiliki raslimali nyingi za asili lakini kwa bahati mbaya hazijaweza kumsaidia ili uchumi wake uwe wa kwanza kwa ukubwa duniani.

Hii inatokana na sababu za kihistoria. Russia toka vita vya kwanza vya dunia walipoanzisha mfumo wa uchumi wa kikomunisti ndipo walipojiloga rasmi.

Baada ya njia zote za kiuchumi kumilikiwa na serikali katili ya kikomunisti wananchi walibaki kuwa watazamaji huku wananchi wakiwa hawajui kabisa maswala ya biashara na watu walibaki kuwa wakulima wadogo wadogo au waajiriwa wa serikali na mashirika yake.

Matokeo yake ndio tunaona leo Russia hamna makampuni makubwa makubwa yanayoweza kuajiri watu wengi na kulipa kodi serikalini, Russia imebaki tu kuwa Banana Republic.
Russia hamna makampuni makubwa yanayoweza kuajiri.nimesoma hapa nikajua wewe hujui kitu.
 
Back
Top Bottom