Mbali na kuwa na washirika wengi wanaomuunga mkono Russia, kwa USA, Russia ni kama yuko peke yake!

Angekua na utu asingeanzisha vita tangu mwanzo. Kwa taarifa yako Urusi amefanya unyama sana hapo Ukraine ila hapigiwi kelele kama Myahudi kwenye vita ya Gaza.
 
Angekua na utu asingeanzisha vita tangu mwanzo. Kwa taarifa yako Urusi amefanya unyama sana hapo Ukraine ila hapigiwi kelele kama Myahudi kwenye vita ya Gaza.
Kabla hajaanza aliwaonya na mrusi alichokozwa makusudi wakitegemea atapanic,,,,ila jamaa anawanyoosha ki godfather sio kama yule wa taifa teule kajambishwa kidogo akaamua kuhara kabisa
 
Kabla hajaanza aliwaonya na mrusi alichokozwa makusudi wakitegemea atapanic,,,,ila jamaa anawanyoosha ki godfather sio kama yule wa taifa teule kajambishwa kidogo akaamua kuhara kabisa
Yule wa taifa teule alivamiwa nchini kwake na kuuwawa kwa raia zaidi ya 1400 pamoja na wengine zaidi ya 300 kutekwa, na zaidi hamas walikua wanarusha makombora hadi 5000 kwa siku. Hapo ni kujambishwa kidogo?!
 
Ukraine inaingia mara 17 kwa Rusia
 
Nchi ambazo viongozi wake wanamtumikia Mungu ni zile ambazo hazifikirii ama kuwaza kwamba siku moja watakuja kumwaga Damu za watu

Na ikitaka kutokea hukaa meza moja ili wayamalize kwa mazungumzo,
 
Huo ukomunisti mbona haujawazuia China tena hao China bado wanakumbatia fikra za kikomunisti komunisti mpaka leo.

Umeamua kujiongelea chochote kilicho kichwani.
 
Huo ukomunisti mbona haujawazuia China tena hao China bado wanakumbatia fikra za kikomunisti komunisti mpaka leo.

Umeamua kujiongelea chochote kilicho kichwani.
Hapa tunaongelea Russia na sio China. Russia unafikiri tatizo ni nini hadi uchumi wake uwe chini kiasi hicho pamoja na raslimali zote hizo.
 
Yule wa taifa teule alivamiwa nchini kwake na kuuwawa kwa raia zaidi ya 1400 pamoja na wengine zaidi ya 300 kutekwa, na zaidi hamas walikua wanarusha makombora hadi 5000 kwa siku. Hapo ni kujambishwa kidogo?!
Kidogo sana ,,mbona kule Ukraine walishaanza kuua raia walio na asili ya urusi na ndo chanzo cha yale majimbo kutaka kujitenga........mrusi hadi anaingia mapigano ndani ya ukraine yalishaanza sema raia wenye asili ya urusi walikua wanazidiwa na serikali
 
Hapa tunaongelea Russia na sio China. Russia unafikiri tatizo ni nini hadi uchumi wake uwe chini kiasi hicho pamoja na raslimali zote hizo.
Siasa zao za ndani.

Pamoja ya kwamba Russia uchumi wao sio wa chini sana ila haulingani na utajiri alionao.

Vita vya Ukraine vikiisha wanapaswa waanze kuzidhughulikia siasa zao za ndani na wajiepushe na migogoro ya nje isiyo na tija yoyote wafocus zaidi na masuala yao ya ndani hasa rasilimali na uchumi wao.

Wapambane na ufisadi na nguvu za matajiri na wanasiasa katika uchumi wa nchi.
 
Kumbe mwenzetu hapo ulipo USA isipotoa misaada unajifia zako? Wewe hautakuwa wa kiume, kwamba USA anatoa misaada dunia nzima? Ni lini alitoa misaada Korea kaskazini, Russia, Iran, Cuba n.k?
 
Raslimali peke yake hazitoshi
Biashara tu zinazofanyika duniani kwa pesa US zinamuingizia mmarekani zaidi ya dollar trillion .
Apo yeye ajafanya chochote
 
USA ni baba ya ulimwengu
 
Anazurula tu huko, hv kweli upo serious kutafuta uungwaji mkono na Vietnam?
 
Anazurula tu huko, hv kweli upo serious kutafuta uungwaji mkono na Vietnam?
Anatafuta washirika, vita si lelemama, pinch anaisikia. Wakati anaanza smo yake alikuwa akivamia eneo kwa msururu wa mavifaru si chini ya ishirini sasa hivi hafanyi. Alikuwa alirusha makombora mpaka 60,000/- kwa siku, sasa hivi hafanyi.
Alibugi kuivamia Ukraine.
 
wale jamaa walihama toka ukomunisti kwenda ubepari bila maandalizi, ni tofauti kabisa na china!
Russia kuna matajiri walijimilikisha kila kitu na wakawa juu ya serikali (hii ndio downfall yao)

hata hivyo Putin kasaidia sana kuirejesha urusi kwenye mstari, ndiye alierejesha mashirika mengi serikali (yale yaliyokua yamebinafsishwa), na kafanya matajiri kuanza kuiheshimu serikali......

naamini huu mgogoro wa ukraine umewapa funzo zito sana, miaka 10-15 ijayo watakua sehemu nzuri sana kama wakivuka miaka 2 ijayo vizuri
 
Russia anayo nafasi ya kuwa na economic dominance viwango cya akina us sasa sijuwi anakwama wapi.
Labda ni vile hawajakupatia nafasi ya kuonana na Putin ili umpatie huo ushauri wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…