Mbali na kuwa Rais, Magufuli alikuwa nani katika nchi hii? Tumechoka sasa

Yaani bado tu hujatambua kuwa nchi hii Rais akiwa Muislamu ni shida?! Niambie Rais gani Muislam hakusemwa vibaya? Mzee Mwinyi kawatoa watu wanavaa viraka na mlo mmoja kwa siku akaweka miundombinu ya utafutaji na kufufua uchumi na watu maisha yakaboreka lakini alisemwa vibaya hadi kuchorwa vikatuni. Anasifiwa Nyerere aliyeua uchumi. Mzee wetu wa Msoga licha ya kuikuza sekta binafsi na kutoa ajira huku akipandisha mshahara kila mwaka alisemwa vibaya. JPM alikuwa na mapungufu kibao na mifano ipo mingi lakini anasifiwa hadi leo. Mama anafanya kazi nzuri lakini utendaji wake unakwamishwa na uharibifu mkubwa uliofanywa na Mwendazake na kundi lake.
 
Ulikuwa unampenda na kumkubali utendaji kazi wake akiwa hai lakini unaskia kichefuchefu baada ya kufa? Hii kali ya mwaka!😂
Ni kosa gani amelifanya akiwa ameshafariki? Au wewe ni mnufaika wa hizi teuzi mpya labda?!
Nimecheka sana,labda ana mimba na itakuwa mtoto wa kiume😂😂😂
 
Chagadema mkubwa wewe
 
Jendawazimu la chattle lile halikuwa na chochote zaidi ya umalaya na wizi na kuonea watu, ukabila etc. Ukiataka kuamini lilikua la hovyo angalia mkewe anavyonawiri sasa baada ya lenyewe kufa, mama wawatu kawa kijanaaaaaaa
 
Kabisa mkuu
 
Pale Magogoni hakuna Rais pale, kuna mvaa ushungi tu.
 
kwanza mimi ningekua ni Rais Samia, natengua baraza lote navunja hata na bunge tunaanza upya uchaguzi na mambo yangu ninayoyajua mimi
Kumbuka mama Samia nae alikua ktk serikali ya JPM na hao Watendaji alikua anafanya nao kazi hicho unachokitaka kisingewezekana
 
Kalemani amejitoa mwenyewe analeta swaga maelekezo kutoka juu zama hizi.
 
Mlatino Zeshalo
Issue ya demokrasia ni sawa JPM aliharibu, lakini kwenye mambo mengine JPM aliisimamisha nchi, nidhamu ilirudi makazini, sasa hivi doctor anamfumua mtu nyuzi kisa kakosa elf kumi?
 
Ulikuwa unampenda na kumkubali utendaji kazi wake akiwa hai lakini unaskia kichefuchefu baada ya kufa? Hii kali ya mwaka!😂
Ni kosa gani amelifanya akiwa ameshafariki? Au wewe ni mnufaika wa hizi teuzi mpya labda?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…