Mbali na kuwa Rais, Magufuli alikuwa nani katika nchi hii? Tumechoka sasa

Yote kwa yote Mungu ashukuriwe kutuondolea yule Shetani.
 
Kakurwa, Polepole, Kalemani na Kabudi ndio watu wenye akili sana nchi hii?!
God have mercy on us!
 

hahahahaha hao ndio wenye uelewa..
 
Unachotakiwa kujua Rais Ni mtumishi namba moja wa Umma kwaio watu kusema ,kulalamika,kuongea ,kushauri Ni kwa sababu maamuzi anayoyafanya kwenye kile kitu yanawagusa moja kwa moja.Kwaio let them talk alafu yeye Kama Rais achukue Yale yenye tija yasiyo na tija aachane nayo.
 
Hizo kelele zao hazimkwamishi Samia, atapiga chini masalia yote ya magufuli, ndio wanaomkwamisha hao wasaliti
 
Kiukweli ni jpm alitufikisha mahala pasuri ila Sasa nchi imekuwa kavu mno
Dikteta aliharibu nchi, nna kijana wangu ilibidi wapande vyeo kitambo tangu waende kozi, hila kaja kuwapandisha vyeo Rais wasasa, yule mwendazake aliwabania,

Mama ataongoza Nchi Hadi achoke mwenyewe
 
Wachache wanamchukia mama sababu ya dini yake tu,yaani wao wanataka nchi iongozwe na wa upande wa Roma tu
 
Kuna watu wwngine wengi wa mwendazake ambao mama anawachinja siku sio nyingi, kuna mijitu haina impact yoyote na inaendelea kuwepo tu , ameona akicheka na kima atavuna mabua , sijui hata huyo kalemani aliyemwambia ambakishe kipindi kile anaunda serikali yake ni nani
 
Wajinga ka hawa ndio walimwaribu mwendazake kwa kumsifia sifa zisizo zake mwanadamu anawezaje kuwa mtakatifu?
Bora mama Samia hataki sifa za kijinga
 
Mbongo sifa yake kubwa ni roho mbaya akiona mtu anateseka yeye ndio furaha yake na mwendazake alikuwa ana roho mbaya ndio maana alipata mashabiki wengi.
 
P
Jendawazimu la chattle lile halikuwa na chochote zaidi ya umalaya na wizi na kuonea watu, ukabila etc. Ukiataka kuamini lilikua la hovyo angalia mkewe anavyonawiri sasa baada ya lenyewe kufa, mama wawatu kawa kijanaaaaaaa
Kampose
 
Legacy inajilinda yenyewe.


Mama anakazi ya kuhakikisha Kila kitu kiko poa kabisa. La sivyo ataendelea kulia.
 
Analekebisha nini? Toa mfano.

Utamuondoaje mtu ambae anachapa kazi na kunuweka mtu anaetuhumiwa kwa wizi wa ma bilioni ya pesa?

Serikali ya TOZO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…