Na kuna nchi inaitwa Tanzania Bara?Mkuu Mbona Tanganyika haipo kwenye nyaraka zozote zaidi ya serikali inayoitwa ya Tanzania bara na Zanzibar?
Na vipi Yale wanayonufaika nayo Zanzibara Mbona huku
Tanganyika itakaposimama watauliulizwa walifanya nini kutetea masilahi yake kabla! Wanajulikana kwa majina na nyadhifa zao !Na unashamgaa kuna watu watanganyika wenye nyadhifa zao wapo kimya kama hawaoni. Inaumiza sana tena sana.
Mkuu hakuna mahali imetajwa serikali au Nchi ya Tanzania bara. Kama ipo Mkandara atueleze ni ipi inaongozwa na nani , kuchaguliwa na nani na kwa utaratibu upi.Na kuna nchi inaitwa Tanzania Bara?
Mkuu ,unlisoma Katiba ipi maana sikuelewi? Wakati wa Mwalimu Makamu wa kwanza wa rais ndiye alokuwa nafasi ya kushika wadhifa wa Urais ikiwa rais amesafiri, sio Makamu wa pili.Mkuu sikubaliana na la kusoma chuo cha siasa! Baada ya Uhuru Baraza kuu la TANU liliundwa na Wazee kwa asilimia 100, hawakusoma popote na wengine walikuwa madereva tu. Nyerere alianza na wasomi wachache akina Msekwa (miaka 28) alikuwa Katibu Mtendaji wa TANU kama sikukosea. Wote walifanya siasa kwa Imani na si shule
Mafunzo ya siasa Kivukoni yalianzishwa ili kukata makali ya Wasomi, ya JKT yalilenga kuwaanda vijana kwa kuondoa tofauti na matabaka.
Leo kuna watu wanaweza kufanya siasa kwa uadilifu wakawa Wabunge kwa Baiskeli. Kwa bahati mbaya siasa imeingiliwa na pesa. Kwamba unanua uongozi ili utengeneze utajiri
Kuondokana na hali hiyo, Wabunge waondolewe kufuru ya pesa. Mshahara wa Mbunge uwe sawa na Katibu Mkuu wa Wizara. Waondolewe shughuli za kamati za kuzunguka bila sababu kupata allowance au kwenda Dubai ili hali si wataalamu, wasilipwe allowance za kukaa kwenye viti, wapewe per diem kama Katibu Mkuu wa Wizara.
Tatu, Wananchi wapewe nguvu za kuwadhibiti Wabunge kama alivyopendekeza Warioba kuhusu ''recalll''.
Nne, Mbunge hataruhusiwa kurudi serikali kwa miaka 5 baada ya siku ya mwisho wa Ubunge.
Hii itadhibiti hongo za vyeo kutoka serikalini na kuwafanya wawe independent na kuwajibika kwa Umma
Tano, kuiweka Mahakama Huru kwa Bajeti na muundo wa kujiendesha ikiwa kama kupata viongozi bila serikali Kuweka ukomo wa Watumishi wa Majaji kwamba wakistaafu hawatateuliwa katika Taasisi za Umma na Ubunge kwa miaka 10
Utaratibu uliondolewa kwasababu ya matatizo. Kwa mfano, Makamu wa Pili wa Rais alipotoka Zanzibar, Rais akisafiri alishika nafasi. Swali likazuka, alichaguliwa na nani?
Hoja ya pili, unawezaje kuwa na makamu wa pili ukiwa na SMZ bila Watanganyika kuhoji ipo wapi ya kwao!
Kuna haja ya kupunguza madaraka ya Rais! Hivi RC, DC, RAS, DED wanafanya kazi gani?
Kumbuka wanamwakilisha. Kinachotakiwa ni Mkoa kuchagua RC wao atakaye manage mambo yote.
Pili, Rais asiteue viongozi wa mashirika! Taasisi zitengeneze taratibu. Kilichoharibu mashirika wakati wa Nyerere ni Siasa kutangulia Utaalam. Kama ni shirika litafute utaratibu wa kupata CEO na Bodi yake!
Hili litamwezesha Rais na serikali yake kuwawajibisha wanaohusika na uzembe na ufujaji
In other words Rais awe ''watch dog'' si participants katika uendeshaji wa mashirika na Taasisi
Sikubaliani na hili ! tunataka Mahakama na Majaji wawe huru wakisubiri mashtaka na miongozo ya kisheria..
Huwezi kushiriki kuunda Tume halafu ukasimamia kesi kati ya mtu na Tume. Kuna conflict of interest.
Tume iwe kama ya Ghana au Kenya, kwamba, ni independent na Gov au Mahakama.
Naurudia tena Majaji wasishiriki tena katika shughuli za Umma ili kuondoa ile dhana ya ''kuteuliwa''.
Sasa hivi Mahakama zetu ni politics tu kwasababu kuna Majaji wenye mategemeo ya aina mbili
1. Atumikie serikali akistaafu apewe Taasisi au shirika la Umma au Bodi n.k.
2. Wapo walio katika Kanzi data ''data base'' wakivizia teuzi na hivyo maamuzi yao yanalenga kuwafurahisha watawala. Na wengine wanasubiri promotion katika vitengo nao wanafanya kazi ya kufurahisha viongozi
Ni kwamba mtu akiteuliwa kuwa Jaji, baada ya kustaafu anapewa marupu rupu na pensheni zake.
Ataruhusiwa Siasa miaka 10 baada ya kustaafu ikimaanisha hata watawala hawatamhitaji wala hatawahitaji.
Utitiri wa vyama ni Siasa za CCM. Msajili alipaswa kuhakiki vyama hivyo kama vina Wanachama na Ofisi zinazofanya kazi. Kudhibiti hilo ni kufuata masharti tu.
Leo kuna mtu ana brief case eti naye anaalikwa mkutano wa TCD na Msajili ili kujaza idadi.
Hapa tatizo ni msajili kutozngatia masharti na sheria ya vyama bali kufurahisha CCM
Hakuna mwananchi anayelazimika au kukosa haki kwasababu ya kutokuwa mwanachama
Wariona aslisema kuwepo na mgombea huru
Chama kiruhusiwe kujiendesha kinavyoona inafaa. Kama Mwanachama haridhiki na Sera za Chama X aondoke kwenda Chama Z. Kama harihidhiki na kote apewe fursa ya Kuwa HURU au mgombe Huru
Hapo ndipo tatizo lilipo! Umasikini wetu ni failure ya Viongozi, hatuna viongozi wanaojua Management!
Nilimaanisha hivyo! hoja ni kwamba Makamu wa kwanza wa Rais hakuchaguliwa na Watanganyika angewezaje kushika wadhifa wa JMT? I mean Karume alichaguliwa na Wazanzibar! Ndio maana waliondoaMkuu ,unlisoma Katiba ipi maana sikuelewi? Wakati wa Mwalimu Makamu wa kwanza wa rais ndiye alokuwa nafasi ya kushika wadhifa wa Urais ikiwa rais amesafiri, sio Makamu wa pili.
Correct! Nyerere alishughulika na ya Serikali ya Muungano, Karume Makamu wa kwanza alishughulikia ya Zanzibar, na Kawawa alishughulikia ya Tanganyika. Hivi huoni kuna kilichofichwa tu lakini ni 'serikali 3'Nyerere alipokuwa rais wa Jamhuri Makamu wake alikuwa Karume na makamu wa Pili alikuwa Kawawa ambaye alishughulika na mambo ya Bara.
G55! walikuwa na tamaa gani! Shaaban Mloo, Ramadhan Faki , James Mapalala walikuwa na nyadhifa gani!Mzee Ruksa, Makamu wa kwanza alikuwa Mzee Malecela na Zanzibar Makamu wa pili Sheikh Idris Abdulwakil akishughulikia Mambo ya Zanzibar. Mzee Malecela alikuwa ndiye rais wa Bara (Tanganyika) akaja kulitimba akajichanganya mwenyewe kutaka Serikali 3 kama Mzee Jumbe . Hivyo kila alokuwa Makamu.wa rais alitaka Serikali yake.on both side nyakati tofauti. Imenipa sababu ya kusema Madai ya Serikali 3 ni madai ya Viongozi wenye Tamaa ya kuwa Rais wa NCHI yake
Waliomkataa kwanza ni Wazanzibar FYI, JK akatumia karata hiyo round iliyofuata!Mwalimu alivyokuwa na busara viongozi wote kutoka Zanzibar wenye SIFA hizo aliwaweka katika Serikali ya Muungano. Nadhani kama tungeendelea na mfumo ule bila Ubaguzi nina hakika Salim A. Salim angekuwa Rais wa Jamhuri kipindi kile cha Mkapa au JK. Tatizo letu sisi.Miafrika ni urithi alotuachia Muongereza - UBAGUZI.
Nenda Kenya kaangalie muundo wa Gavana na mamlaka zake. Rudi Tanganyika, kabla ya Uhuru tulikuwa na province 4 kama sikosei hakukuwepo utitiri wa viongozi.Basi bora tuondoe nafasi hizo zisiwe katika Muundo wa Serikali. Ila nambie badala yao Nani atasimamia shughuli za Serkali mikoani? Rais hawezi kujigawa akawa kila Mkoa, kila Wilaya za Muungano, wala Serikali haiwezi kuwa Dodoma peke yake hata kama tukiwa na Serikali 3.
Tume ya Kenya haipo chini ya mhimili wowote! Ndivyo ilivyo Ghana na South Africa3. Swala.la.Tume, Tume lazima iwe chini ya Mhimili mmoja wapo. Tume haiwezi kuwa HURU pasipo kutambuliwa ndani ya Serikali (Dola) aidha iwe chini ya Rais, Bunge au Mahakama. Hivi sasa ipo chini ya Bunge lakini matokeo yake hamyakubali kwa sababu Kiongozi wa Tume anachaguliwa na rais. Mnataka.achaguliwe na nani?
Hii Tume ya leo ni independent?The only way OUT ni kuiweka TUME chini ya Uangalizi mkubwa (Check and Balance) wa Muhimili wa Mahakama ambayo itakuwa independent kupitia Separation of Power hapo watakuwa HURU lakini sio Independent.
Mkuu kwanza elewa kitu kimoja nilichosema toka mwanzo ya kwamba SISI tumeunda NCHI MOJA ya MUUNGANO (Unitary State) na ndivyo hata Uingereza walivyoungana, isipokiwa wao sasa wana nchi 4 badala ya 2 kama sisi. Lakini walianza na Uingereza na Scotland. Na Uingereza (England) haina Serikali yake kama zilivyo Scotland, Wales na IrelandNilimaanisha hivyo! hoja ni kwamba Makamu wa kwanza wa Rais hakuchaguliwa na Watanganyika angewezaje kushika wadhifa wa JMT? I mean Karume alichaguliwa na Wazanzibar! Ndio maana waliondoa
Correct! Nyerere alishughulika na ya Serikali ya Muungano, Karume Makamu wa kwanza alishughulikia ya Zanzibar, na Kawawa alishughulikia ya Tanganyika. Hivi huoni kuna kilichofichwa tu lakini ni 'serikali 3'
Hazitajwa rasmi na ndipo unapopata tatizo but in essense it is a 3 tire government system
By the same token we can borrow the old school structure and formalized it as '' Rais wa JMT (Nyerere by then), Waziri mkuu wa Tanganyika (Kawawa by then) na Waziri Mkuu wa Zanzibar (Karume)
Tell me hizo gharama za Serikali 3 zinazoongezeka ni zipi ikiwa tuna blue print iliyotumika na unaiamini!
Hata muundo wa sasa una reflect structure ya Serikali 3, kwamba Waziri Mkuu hatambuliwi Zanzibar anashughulikia mambo ya Tanganyika. Kama ilivyokuwa ''controversy' kwa Makamu wa Kwanza Karume kushika wadhifa Rais akiwa hayupo, kuna mkorogano pia leo
Katika line of succession, Waziri Mkuu ni namba 3 ingawa Zanzibar hatambuliki. Ni vurugu tupu!
Kuondoa udwanzi tuwe na Serikali 3 ili majukumu yajulikane na ranks zijulikane na si kwenda kibubusa.
Serikali 2 ni upuuzi mtupu! Hakuna anayeweza kutetea hilo hata Wazee waanzilishi akina Msekwa wanajua
kabla ya yote, referendum kwa Zanzibar ni muhimu! wakisema basi, hewala waende kwa amani tu!
G55! walikuwa na tamaa gani! Shaaban Mloo, Ramadhan Faki , James Mapalala walikuwa na nyadhifa gani!
Waliomkataa kwanza ni Wazanzibar FYI, JK akatumia karata hiyo round iliyofuata!
Nenda Kenya kaangalie muundo wa Gavana na mamlaka zake. Rudi Tanganyika, kabla ya Uhuru tulikuwa na province 4 kama sikosei hakukuwepo utitiri wa viongozi.
Hapo ulipo Waziri Mkuu anateua nani katika Province, City au Municipal.
Wanachi wa eneo husika ndio wanapaswa kumchagua kongozi wao asimamie shughuli za maendeleo.
Kazi ya central government inabaki katika policy kubwa kama Foreign Affairs, Homeland, Defense n.k.
Tume ya Kenya haipo chini ya mhimili wowote! Ndivyo ilivyo Ghana na South Africa
Hii Tume ya leo ni independe
Kama unafuatilia sakata la Bexit lilizua balaa. England ilitaka serikali yake kwamba maamuzi ya Great Britain yali iumiza, hawakuta Brexit. Maana yangu ni kwamba behind the scene kuna fukuto la kuidai EnglandMkuu kwanza elewa kitu kimoja nilichosema toka mwanzo ya kwamba SISI tumeunda NCHI MOJA ya MUUNGANO (Unitary State) na ndivyo hata Uingereza walivyoungana, isipokiwa wao sasa wana nchi 4 badala ya 2 kama sisi. Lakini walianza na Uingereza na Scotland. Na Uingereza (England) haina Serikali yake kama zilivyo Scotland, Wales na Ireland
Wazanzibar wanasema '' Kila Mzanzibar ni Mtanzania lakini si kila Mtanzania ni Mzanzibar''. Wapo sahihi kabisa kwasababu Tanzania inatokana na Nchi mbili. Ukiondoa Zanzibar kama walivyojiondoa huna Tanzania, unabaki na Tanganyika. Kumbuka Nchi zilizoungani ni ''The Republic of Tanganyika and Zanzibar''Kwani tukijiita Tanzania Bara kuna tatizo gani au hoja yenu ya msingi ni kutokuwa na Serikali?
Yes itatupunguzia mzigo sana. Kwasasa tunagharama za Muungano , gharama za Tanganyika na za ZanzibarOk, tukiwa na Serikali yetu itabadilisha kipi ambacho leo hatuna kama sio kuongeza idadi ya Viongozi ambao tutawalipa mifedha na Utajiri kwa kazi zile zile zile zinazofanyika ndani ya Serikali hii ya Muungano?
Tueleze jamvini, kama unajali gharama ni vipi Wabunge wa Zanzibar wanokuja kujadili mambo 3% wakae Dodoma miezi 3 hadi 6 wakijadili; 1. Mambo yasiyowashusu ? 2, Wabunge wanakuja kwa ajili ya Zanzibar kwanini wasilipwe na kodi za Wazanzibar? Kwanini mtu wa Kigoma au alimlipie mtu asiyemhusu? Hizi gharama kwanini huzioniKwa nini tuongeze gharama ilihali nchi yetu Maskini na Watawala watakuwa wale wale?
Bado unatushawishi sisi ni Unitary state! Bado unatushawishi hakuna ubaguzi! Tofauti wanayoitaka ni ya nini kama sisi ni Nchi moja! Bado unatushawishi hawa ni wenzetu halafu unashabikia wao kuonyesha utofautiNa ndio sababu Wazanzibar wamekuwa wakisema wanatoka Zanzibar badala ya Tanzania kuonyesha utofauti wetu
Makamu wa Rais Tanzania kama akina Mpango walifanya kampeni Tanganyika na ZanzibarKuhusu Karume Makamu wa rais kwamba hakuchaguliwa Bara? Labda nikuulize hivi - Nchimbi au Ndejembi walichaguliwa na nani? Je, hawawezi kumwakilisha rais kwa sababu hawakuchaguliwa na Wananchi?
Kwani kwa Zanzibar ipoje sasa hivi. We're not trying to reinvent the wheel dude! the blue print is there alreadyOk, mathaln tuna Serikali 3, Je Samia hawezi kugombea Urais Serikali ya Jamhuri au Bara? Sifa na Kigezo cha mgombea Urais Bara kitakuwaje? Lazima awe amezaliwa Tanganyika,. Kabila au asili gani? Na Mgombea Urais wa Jamhuri sifa na Kigezo kipi kitatumiwa?
Kwa maono yako kwasasa Wazanzibar ku practice ubaguzi dhidi ya Watanganyika linatuunganisha! Dude!Narudi kule kule kwenye mada zangu mbili nilouliza kule FB Mzanzibar ni Nani na Mtanganyika ni nani? Sijui kama mmewahi fikiria hili lakini nawaambia itakuja hoja ya kuhakiki Uzawa, Ukanda UKabila na asili ya kila mgombea pande zote mbili za Muungano na hii itatugawa zaidi - Mark my word. Nguruwe haramu lakini ukisha kula kiti moto (deep down your soul) umehalalisha tayari.
Maswala ya nchi kutaka kujitenga yapo kila mahala iwe Serikali 1, 2 au 3 na sababu kubwa mara zote hutokana na Wanasiasa wenyewe kutaka madaraka zaidi kuliko matakwa ya Wananchi.Kama unafuatilia sakata la Bexit lilizua balaa. England ilitaka serikali yake kwamba maamuzi ya Great Britain yali iumiza, hawakuta Brexit. Maana yangu ni kwamba behind the scene kuna fukuto la kuidai England
Wazanzibar wanasema '' Kila Mzanzibar ni Mtanzania lakini si kila Mtanzania ni Mzanzibar''. Wapo sahihi kabisa kwasababu Tanzania inatokana na Nchi mbili. Ukiondoa Zanzibar kama walivyojiondoa huna Tanzania, unabaki na Tanganyika. Kumbuka Nchi zilizoungani ni ''The Republic of Tanganyika and Zanzibar''
Je, Zanzibar wamejiondoa katika Muungano! Jibu ni ndio kwasababu kila Taasisi ya Muungano wana mbadala. Sasa hivi wanajenga Chuo cha Uhamiaji na Polisi baada ya kuwa na Jeshi lao kama JWTZ wakiliita vikosi maalum.
Wazanzibar watautumia Utanzania kwa masilahi. Mfano, wataingiza bidhaa na kuchukua kodi halafu wanavusha bara kwa kisingizio cha Nchi moja. Kodi wanazochukua hazivuki bahari na hazimsaidii Mtanganyika.
Pili, wanapotafuta nafasi za Masomo wanatumia Utanzania . Tatu Wazanzibar wakitaka ajira za Tanganyika wanatumia Utanzania kama wanavyotumia katika ardhi. Nje ya hapo wao ni Wazanzibar hawana habari na Utanz
Kuendelea kutumia jina Tanzania kunatoa Uhalali ule ule ndani ya Uharamu. Hutaweza kumwambia Mzanzibar hupaswi kuwa na abcd kwasababu ni Mtanzania na ana haki kwa jina, lakini hana haki
Wazanzibar wanajiita hivyo ili kuwabagua Watanganyika. Ili kuondoa mzizi wa Fitna tunataka Tanganyika ya 1961. Tanganyika itakayoshughulika na mambo yake bila kuyafanya ya Muungano
Kuna swali unalikwepa sana! kama unaamini katika Unitary state kwanini kuna Taasisi mbadala Zanzibar?
Yes itatupunguzia mzigo sana. Kwasasa tunagharama za Muungano , gharama za Tanganyika na za Zanzibar
Mkandara unaangalia idadi ya viongozi kama kigezo cha gharama na ku ignore mambo makubwa zaidi.
-Kwamba Zanzibar itawajibika katika Muungano kama mshirika na si kucheza msewe juu ya Mbleko
Mfano, mbona hufikirii gharama za Wabunge wa Zanzibar wanaotetea Zanzibar kulipwa na kodi za Mtanganyika
-Gharama za kufidia Bajeti ya Zanzibar kwa kitu kinachoitwa GBS
- Gharama za viongozi wa Zanzibar kuhudumiwa na pia Taasisi za Muungano kwa kodi za Watanganyika
- Gharama za watumishi wa Muungano na mafao ya kustaafu kugharamiwa na Watanganyika peke yao
- Gharama za 10% ya kodi na rasilimali za Watanganyika kupelekwa Zanzibar! unajua ni kiasi gani?
-Gharama za Elimu ya juu kwa kodi za Watanganyika
- Kwasasa hata simu ukipiga Mtwara-Ukerewe kuna per cent inapelekwa Zanzibar eti tuna shea 255! upuuzi tu
- Gharama za Taasisi kama IMO wakati kodi za Meli zinakusanywa Zanzibar peke yake
- Zanzibar itawajibika kuchangia Taasisi , kwa mfano, vyuo vya Uhamiaji na Polisi watavigharamiwa wenyewe
- Hapo sijakuwekea gharama za Wizara kubwa 4
Hoja yako ya ongezeko la viongozi haina mashiko kabisa ! soma gharama hizo hapo juu.
Tueleze jamvini, kama unajali gharama ni vipi Wabunge wa Zanzibar wanokuja kujadili mambo 3% wakae Dodoma miezi 3 hadi 6 wakijadili; 1. Mambo yasiyowashusu ? 2, Wabunge wanakuja kwa ajili ya Zanzibar kwanini wasilipwe na kodi za Wazanzibar? Kwanini mtu wa Kigoma au alimlipie mtu asiyemhusu? Hizi gharama kwanini huzioni
Bado unatushawishi sisi ni Unitary state! Bado unatushawishi hakuna ubaguzi! Tofauti wanayoitaka ni ya nini kama sisi ni Nchi moja! Bado unatushawishi hawa ni wenzetu halafu unashabikia wao kuonyesha utofauti
Makamu wa Rais Tanzania kama akina Mpango walifanya kampeni Tanganyika na Zanzibar
Wakati wa Karume, alikuwa kiongozi wa Wazanzibar tu!
Ni kama Mwinyi leo awe Makamu! na ndio msingi wa Rais wa Zanzibar kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri
Kwani kwa Zanzibar ipoje sasa hivi. We're not trying to reinvent the wheel dude! the blue print is there already
Kwa maono yako kwasasa Wazanzibar ku practice ubaguzi dhidi ya Watanganyika linatuunganisha! Dude!
Muulize Saada Mkuya atakueleza Mzanzibar ni nani na Mtanganyika ni nani. Hivi ulisikia akimkemewa!
Saada Mkuya anajua ametumwa aseme nini ! UBAGUZI wa Saada ulitakiwa ulaaniwe, kinyume chake kalaaniwa Mbowe aliyetoa tahadhari! Hata Mkandara hakuwahi kumlaani Saada leo anatushawishi hakuna Ubaguzi! phew!
1. Tanganyika imevaa koti la Muungano huwa na maana gani? Navyojua mimi, hilo koti la Muungano ni Zanzibar, Tanganyika imeitumia Zanzibar (koti) kuitwa Tanzania (Muungano), na haibadilishi ukweli kwamba Tanzania hii ndio Tanganyika inajulikana kote duniani. Nimedodosa mifano kadhaa juu ya hili.Mkuu Mkandara
Ninatajitahidi kwenda kwa hoja na panapotakiwa ufafanuzi au majibu nasema hivyo. Sababu ya kunukuu mbandiko yako na kupitia hoja nikatika kuhakikisha nachangia hoja husika kwa uwazi na wasomaji wafuatilie
Nitarajea bandiko #189 kupitia hoja zako , lakini kama kawaida unakwepa hoja kwa kuingiza mengine
Labda niwe fair kwako, narudia hoja na maswali ambayo yatasaidia kujibu hoja za bandiko #189 kwa usahihi
1. Je, tunaposema Waasisi wa hoja ya Tanganyika kuvaa koti la Muunganoni Wazanzibar tunakosea wapi?
Waasisi wa hoja ya Tanganyika ni Wazanzibar ;
Karume- Jumbe- Wakili- Komandoo- Karume Amani- Seif na sasa OMO
Nimewataja hao si kwa nyadhifa bali uhusika wao katika kujenga hoja ya Tanganyika!
2. Kama unaamini sisi ni Watanzania na tuna Unitary state , kwanini kuna Taasisi mbadala kule Zanzibar?
3. Kama unaamini ni Watanzania , kitambulisho cha Mzanzibar kimelenga nini na kwanini?
4. Je, unaamini kwamba kila mtu ni Mtanzania lakini si kila Mtanzania ni Mzanzibar?
5. Kama sisi ni Nchi moja, kwanini nafasi zinazotolewa kwa upendeleo maalumu zikizingatia Uzanzibar.
6. Nitajie Mkoa mmoja tu wa Tanganyika unaopelekewa Bilioni tarkribani 200 kwa Mwezi!
7. Kama sisi ni Nchi moja ni mkoa gani wenye sera tofauti ya Afya kama ilivyo Zanzibar!
8. Kama ni Nchi moja, kwanini tuna mifumo tofauti ya kodi na matumizi yake
9. Nitajie mkoa mmoja tu wa Tanganyika ambao umesamehewa deni la zaidi ya Biioni 60 za wakazi wake
10. Nini mchango wa Zanzibar katika kuendesha Taasisi za Muungano
Ahsante
Kwahiyo hata Tanzania tusipokubaliana muundo wa Muungano ni fair kabisa kuachana kwa wema! ama sivyo!Swala la Brexit limethibitisha hata Muungano wa Jumuiya yatokea, hakuna sababu ati ni Serikali ngapi. Marekani Canada na Mexico, Muungano wa Mkataba wa Kibiashara nao matatani, sisi tulivunja EAC. Haya ukitazama nchi zilokuwa moja leo wamegawanyika nazi kibao. Na yote haya source ni Wanasiasa wakikosa Ukubwa hutafuta kwa njia za kutugawa.
Nmekupa model iliyokuwepo ya Nyerere, Karume na Kawawa. Nikakuuliza kwa muundo ule tukiuita Serikali 3 gharama zitaongezeka vipi? Mfano wa pili, leo Taasisi zote za JMT tuliziita za Tanganyika , kule Zanzibar wana zao, gharama inaongezeka wapi? Hivi ukiita TBS Tanganyika burea standard na ile ya Zanzibar ikabaki kama ilivyo kuna gharama gani!Nimetumia neno Viongozi kwa sababu ongezeko la Serikali ni kwa faida yao wao. Unapoongeza Serikali itakuwa na Viongozi na watumishi wapya! Taasisi mpya yaani badala ya kuwa na Serikali ndogo tutakuwa na Serikali kubwa ( Vyeo na watumishi wengi).
Faida na mchango wao katika muungano ni less than 1% na haina impact katika Uchumi wa TanzaniaInfact Zanzibar imemezwa na Bara kwa sababu Uchaguzi wao less than 1% hauna impact matokeo ya Kitaifa.
Na Tanganyika imebeba 100% ya gharama za muungano! This has to changeTuseme leo Wazanzibat wote 100% Wamchague Tundu Lissu (Chadema au Othman Masoud (ACT), lakini huku Bara ikamchagua Nchimbi kwa asilimia 52 tu, basi huyu ndie atakuwa Rais wa Jamhuri. Kwa hiyo, mgombea Urais kutoka Zanzibar hawezi kuwa Rais wa Jamhuri ila kwa hisani kama Mwalimu alivyomweka Mzee ruksa na Samia kupitia mgongo wa Magufuli. This has change! Tunahitaji sote kuwa kitu kimoja laa tunakaribisha Uhasama mkubwa baadae kupitia Wanasiasa.
Kama vile Mzanzibar kugombea Ubunge Tanganyika ruksa, Mtanganyika marufuku kule ZanzibarKinachotakiwa ni kuondoa huu ubaguzi wa Kisiasa uloingizwa nchini.
Kwanini wajione katika vyeo na HAWAONEKANI katika kugharamia muunganoTena ni vizuri sana Samia anachofanya kuongeza Viongozi wa Zanzibar katika Serikali ya Jamhuri ili uwezo wa majukumu na kazi zao ufahamike kwa Wananchi wote na wao wajione ni sehemu ya Muungano.
No, kuna nafasi za Muungano na zisizo! lakini pia jiulize kwanini unazungumzia nafasi huzungumzii gharama za nafasi hizo? Mchango wa Zanzibar katika kugharamia Muungano ni upi? Tuoneshe wapi kuna senti inayotoka Zanzibar kuja katika JMT! Wao wakae mezani kudai keki hawajui moto jikoni! phweLakini ugonvi mkubwa wa Wadanganyika ni kuona nafasi za Uongozi wanapewa watu kutoka upande ule as if sio Watanzania.
Ndio maana tunasema upendeleo kutokana na Uzanzibar unaharibu Taifa. Tumefika mahaki hakuna meritocracy kinachoangaliwa ni Uzanzibar. Kijana anapata pesa za HESLB kwasababu kuna fungu la Zanzibar japo wana ZHESL. Halafu katika Learning Institutions kuna '' grade'' za Wazanzibar, wakimaliza wana 21% ya ajira kwa Uzanzibar.Nchi za Magharibi Iloungana marais wao wanatika sehemu tofauti na hakuna mtu yeyote anayetazama kama mgombea ni kutoka jimbo gani, state gani kabila gani bali sifa zake ndio hutawala Uchaguzi, na wote wajikiona wao ni Wamoja. Mmarekani tajiita Mmarekani kwanza sio mimi ni Muingereza mzawa wa New York.
Ni hivi Zanzibar lazima itambue nafasi yake katika Muungano! hilo nalisema kila siku. Ni lazima itambue nafasi na kuiheshimu pia. Huwezi kuwa na 1.8M ukalinganisha na 60M kwa eneo mara 100 na Uchumi mara 100.Na tukiunda Serikali 3, nakuhakikishia tutahalalaisha hakuna Mzanzibar ataweza kugombea wala.kushinda Uchaguzi wowote wa Bara wala Mbara kugombea Zanzibar iwe hata kwa asili au Mkazi. Sasa hivi, tunaona Upande mmoja tu wa Zanzibar lakini tukiunda Serikali 3, tutahalalisha Ubaguzi huu badala ya kuudhubiti mapema.
Kwahiyo unataka usawa! kati ya Wazanzibar 1.8 almost IM wanaishi Tangayika! please think about thatLaa, Tutabaguana zaidi hata kama sifa za wagombea wa Urais wa Jamhuri zitawekwa sawa, bado Bara tutakuwa na maamuzi ya Rais wa Jamhuri na rais wa Bara na tayari tutakuwa tumevunja Muungano.
Nashukuru, kuna hoja umesahau kuzipitia nazirudia hapa chiniMkuu Mkandara
Ninatajitahidi kwenda kwa hoja na panapotakiwa ufafanuzi au majibu nasema hivyo. Sababu ya kunukuu mbandiko yako na kupitia hoja nikatika kuhakikisha nachangia hoja husika kwa uwazi na wasomaji wafuatilie
5. Kama sisi ni Nchi moja, kwanini nafasi zinazotolewa kwa upendeleo maalumu zikizingatia Uzanzibar.
6. Nitajie Mkoa mmoja tu wa Tanganyika unaopelekewa Bilioni tarkribani 200 kwa Mwezi!
9. Nitajie mkoa mmoja tu wa Tanganyika ambao umesamehewa deni la zaidi ya Biioni 60 za wakazi wake
Siwezi kuendelea kujadili vitu ambavyo nimevitolea maelezo toka mwanzo, wanizungusha kama pia siwezi endelea.Kwahiyo hata Tanzania tusipokubaliana muundo wa Muungano ni fair kabisa kuachana kwa wema! ama sivyo!
Kwanini unawaona ''wahalifu' wale wanaosema kama haiwezekani ''tuvunje jahazi tugawane mbao'' kama zipo!!
Nmekupa model iliyokuwepo ya Nyerere, Karume na Kawawa. Nikakuuliza kwa muundo ule tukiuita Serikali 3 gharama zitaongezeka vipi? Mfano wa pili, leo Taasisi zote za JMT tuliziita za Tanganyika , kule Zanzibar wana zao, gharama inaongezeka wapi? Hivi ukiita TBS Tanganyika burea standard na ile ya Zanzibar ikabaki kama ilivyo kuna gharama gani!
Warioba alisema mambo 7 tu ambayo Muungano utakuwa nayo
1. Katiba- gharama zinatoka wapi? kwasababu hadi sasa tuna Ikulu 3, Dodoma, Dar na Kizimkazi
Hebu nieleze ile Ofisi ya Makamu wa Rais kule Zanzibar ina kazi gani? Ofisi ya Waziri mkuu kule Zanzibar ni ya nini!
2. Vyama vya siasa na usajili: Hadi leo tuna Ofisi Dar es Salaama na Zanzibar. Gharama zinaongezeka wapi!
3. Fedha : Tuna BoT moja na ina Ofisi Tanganyika na Zanzibar. Gharama zinaongezeka wapi
4. Mambo ya ndani: Tuna Ofisi Tanganyika na Zanzibar , gharama zinaongezeka wapi
5. Jeshi na ulinzi ; Tuna ofisi Tanganyika na Zanzibar , gharama zinaongezeka wapi
6. Mambo ya nje : Tuna wizara moja na balozi za nje. Gharama zinaongezeka wapi?
Mkandara; hivi kwanini huoni gharama za kuwa na Taasisi mbadala kwa sasa! Pili, kwanini huoni kwamba itasadidia Zanzibar kuwajibika katika muungano na kupunguza mzigo wa utegemezi.
Mkuu ninakuuliza hili swali kila siku unakimbia, narudia tena. Wabunge 80+ kutoka Zanzibar kwanini wasilipiwe na SMZ? Na kwanini wakae Dodoma miezi 6 kwa mambo 3 tu ya Muungano!
Je, umewahi kutazama gharama zao!