M'bananga chake hana kondo (If you spoil what is your own you have no quarrel)

Hili bandiko limehitimisha hoja! Sitazungumzia tena kuhusu Lissu ! Bandiko limemaliza hoja.
Nitaendelea na mfumo wa serikali, anayetaka ya Lissu arejee bandiko hili maana sina cha ziada

..kuna nakisi kubwa sana ya ubinadamu.

..kwa mfano, kuna mmoja aliropoka eti risasi tatu za watu wa serikali zingetosha kumuuwa Tundu Lissu.

..mimi nikajiuliza, je, yeye yuko tayari kupigwa risasi walau moja? Kama risasi alizopigwa Lissu si lolote si chochote?

..sasa Mkandara naye kaja na hoja kwamba Lissu kapigwa na wahuni. Kwa hiyo mtu akipigwa risasi na wahuni ndio hadhuriki, au hafi?

..hivi wote waliopigwa risasi na wahuni hawajafa? Na wote waliopigwa risasi na " professionals " wamekufa?

..Mwisho akaamua kufurumusha matusi kuwa kapigwa risasi ya " matako ". Hivi huo ni uungwana? Hivyo hiyo ni adabu ktk mijadala?

..Mjadala huu unifundisha kwamba UBINADAMU umepotea miongoni mwa Watanzania.
 
Swala la Serikali 2 nimeonyesha wazi kwamba Upande wa Bara sasa hivi unagharamia asilimia 98 ya gharama zote, na tukichukua Serikali 3, Bara itahudumia asilimia 198 ya gharama zote. Kigumu nini kunielewa?
Mkuu kwanza nikupongeze kwa kukubali ukweli kwamba Tanganyika inabeba muungano 98% sina uhakika hizo 2% zilizobaki ni eneo gani tukijua kwamba Zanzibar haina mchango wa kuendesha muungano.

Hili ndilo linazungumziwa na Watanganyika kwamba licha ya kubeba 98% tunabeba SMZ pia
Kwa maneno mengine tuna mambo ya Tanganyika, JMT na SMZ zote mgongoni mwa Mtanganyika

Pili, nimekuonyesha kwamba Taasisi zote za JMT zina mbadala Zanzibar. Maana yake ni kwamba hizi za JMT ni za Tanganyika. Uwepo wa Serikali 3 tayari kwasababu tumeshagawana Taasisi mpaka Jeshi.

Tatu, washirika wataamua aina na ukubwa wa serikali zao. Zanzibar tayari wana muundo wao
Bunge litamuliwa na Watanganyika liwe na Wabunge wangapi. Kumbuka tutakuwa tumeondoa Wabunge 100 wanaotoka Zanzibar na kulala Bungeni bila kazi yoyote! na wakiamka huhorojoa tu!

Nne, Serikali kuu itakuwa na mapato ya asilimia za kodi kutoka kwa Washirika. Hapo Canda kuna federal tax na provincial tax. Maana yake ni kuilinda serikali kuu kwa mapato.

Tano, Rais wa Serikali kuu atadhibiti vyombo vikuu vya usalama vikiwemo vya uchumi. Marekani kuna mambo ya Federal kama vile foreign policy na ni machache. Mengi yapo katika local level ambazo ni states, City na Municipal

Sasa kama Serikali 3 unaona ni tatizo, vipi kubaki na 2 ambazo tunabeba 98% kwa mujibu wako. Hapo fairness ipo wapi. Kwamba Uzanzibar ni Identity tu ya kupata Ajira, kufanya biashara, kupata ardhi lakini hakuna chochote!

Kama ni hivyo kwanini tusiishi kama majirani? Hivi tunawabeba kwa 98% kwa faida gani, hebu lieleze jamvi.
Kwamba una mzigo wa misumari mgongoni just for funny! please.

Kuna option mbili kwa Wazanzibar, wakubali 3 na kushiriki kuchangia! au tuishi kama majirani wakijua wazi kabisa Tanganyika haihitaji Zanzibar hata dakika moja.

The bottomline, lieleze jamvi kuna umuhimu gani wa kuendelea kubeba Muungano 98%, yaani kwa return gani!
 
..kuna nakisi kubwa sana ya ubinadamu.
Nakisi inaonekana hata leo wanaposema 'lets move on' bila kujali ya Oct 29 na kwamba waliozika nguo wanataka kumaliza kitu cha kumaliza misiba yao, halafu kuna wanaotaka maridhiano bila haki!
Just maridhiano na si kujali ubinadamu na kusikitikia yaliyotokea.
Nakisi hadi kwa Waandishi akina ''Ball lilee'' wanauza ubinadamu
..kwa mfano, kuna mmoja aliropoka eti risasi tatu za watu wa serikali zingetosha kumuuwa Tundu Lissu.
..mimi nikajiuliza, je, yeye yuko tayari kupigwa risasi walau moja? Kama risasi alizopigwa Lissu si lolote si chochote?
Ni moral corruption tu!
..sasa Mkandara naye kaja na hoja kwamba Lissu kapigwa na wahuni. Kwa hiyo mtu akipigwa risasi na wahuni ndio hadhuriki, au hafi?
Halafu wahuni wanaruhusiwa kupiga watu risasi tu! Rais yupo na serikali yake Wahuni akifanya yao!
..Mwisho akaamua kufurumusha matusi kuwa kapigwa risasi ya " matako ". Hivi huo ni uungwana? Hivyo hiyo ni adabu ktk mijadala?
Aisee!! kwamba risasi za matako ni halali haziui wala hazina madhara! sijui mkuu kaingiwa na nini.
Chuki imefuruta kiasi cha kupoteza Ubinadamu! Hivi Mkandara ungepata habari za ndugu kutandikwa risasi za Matako kama navyosema ungejisikiaje! just let it go kwasababu ni ya matako! wewe unaweza himili ya Tako
..Mjadala huu unifundisha kwamba UBINADAMU umepotea miongoni mwa Watanzania.
Ndio maana nikiona vijana wanashangilia misiba hasa ya viongozi na CCM inanipata tabu sana kuwakemea
Kama watu wazima ndio hawa wa '' serikali haipigi risasi tatu' na wengine ''risasi za Nnya hizo'' vijana wajifunze nini
 
..kuna nakisi kubwa sana ya ubinadamu.

..kwa mfano, kuna mmoja aliropoka eti risasi tatu za watu wa serikali zingetosha kumuuwa Tundu Lissu.

..mimi nikajiuliza, je, yeye yuko tayari kupigwa risasi walau moja? Kama risasi alizopigwa Lissu si lolote si chochote?

..sasa Mkandara naye kaja na hoja kwamba Lissu kapigwa na wahuni. Kwa hiyo mtu akipigwa risasi na wahuni ndio hadhuriki, au hafi?

..hivi wote waliopigwa risasi na wahuni hawajafa? Na wote waliopigwa risasi na " professionals " wamekufa?

..Mwisho akaamua kufurumusha matusi kuwa kapigwa risasi ya " matako ". Hivi huo ni uungwana? Hivyo hiyo ni adabu ktk mijadala?

..Mjadala huu unifundisha kwamba UBINADAMU umepotea miongoni mwa Watanzania.
Nilimwambia Nguruvi3 Wahuni na nikasherehesha nikisema kama unajua maana! Na hili neno tumelisikia sana Polepole akilitimia. Ahida kwao iko wapi mkuu wangu? Nashangaa mnabadilisha kauli zangu kwa tafsiri zenu wenyewe kupotosha maneno yangu. Kwa nini lakini?

Lile jaribio la kumuua Tunsu Lissu, hata bila kuwa mtaalam kuna vipengele vingi havikukaa sawa na ndio maana nikasema Ile ilikiwa mpango wa.Wahuni, Aumizwe Tundu Lissu lawana apewe Magufuli kwa sababu Kama Kweli Magufuli angetaka kuua mtu angekuwa mshindani wake Kisiasa na sio Lissu alokuwa Mbunge tu, akitafuta njia za kutoboa! Like I said Lissu ni Opportunist, Namjua vizuri, hakufika hapo kwa bahati mbaya. Kaumiza wengi sana pale Chadema hasa walokihama Chama. Anakugeuka hutaamini kama ndio Lissu ulokuwa ukimjua..He was the man behind the scene. Amini, Usiamini hilo shauri lenu.

Na kuhusu Magufili kutokwenda Kenya, ni kwa sababu Magufuli alikuwa akimshabikia Laila Uahindi wazi kabisa kila mtu alijua, na hata Kenyatta aliposhinda yalifuatia mauaji makubwa ya Wananchi wafuasi wa Laila. Kuna wakili fulani alikimbilia Canada n.k yaani ilikuwa mbaya mbaya Kenya kilinuka..

Kwa Kenyatta ilikuwa kosa kubwa la Magufuli kumpigia debe Laila Odinga, hivyo Magufuli na Kenyatta picha hazikuenda kabisa kwa muda, Sijui kama unakumbuka jinsi tulivyoendeshana kwenye Biashara hasa mpakani Ilikuwa anza wewe mimi namaliza. Kutwa ni habari za Kenya vs Tanzania, umesahau mara?

Kwa hiyo unamkosea sana Magufuli unaposema hakwenda kwa sababu unazojua wewe labda, lakini binafsi yangu, isingependeza kabisa Maguduli kwenda Kenya kushuhudia Muuaji akiapishwa. Ikisha mkuu wangu mbona.mimi nakusoma na nakusikiliza unapomsema vinaya Magufuli lkn nyie hamtaki nimguse Tundu Lissu? Mnarudi wakali kunishusha miye yaani hoja zenu zinageuzwa kuwa Mkandara hivi au vile!

Anyway, let,'s move on! Kitendo cha Magu na Laila, i le ilikuwa dharau nyingine kwa Kenyatta na ndio maana akazuia Mahindi yetu yasiuzwe Kenya, mara vifaranga vikachomwa moto! Kuna sherehe nyingine alienda Paramagamba akawapiga msasa wa Kiswahili safi waache ujinga wa Ukabila na Chuki.

Nadhani baada ya Hapo mambo yakapoa kidogo Kenyatta na Laila wakafanya maridhiano ya kushiriliana, jambo ambalo Baashi Wakenya hawakupenda.

So, Kuhusu Tundu Lissu, nawaachia nyie ninkama Yesu alosurubiwa, akaamka siku ya 3, na kweli mimi siwezi kubali hata sindano ya tako! Acha risasi. Unachukia burw kuhsu mataki ilihali ndio kiungo alichopigwa risasi na moja mpaka leo imekwama pale. Tarizo nini hasa! Nilitakiwa kusema kiungi gani?

Nachokataa ni kujaribu kuniaminisba ule ulikuwa mpango wa rais! Nsio nasema kama ingekuwa Usalama, Tundu Lissu aaingesalimika! Unless unataka kulishusha jeshi leti kama ile habari ya ati kuna Wakenya ndio walokuna nchini kuandamana na kufanya vurugu za October 29! Ule ni Uongo haufai kabisa kudhalilisha Majeshi yetu kuhusoana na Usalama wa Nchi.

Nachoweza kusema Serikali na Usalama walijia fika kwamba Maandamano yatakuwwpo, ila sidhani kama Usalama walihusika na Mauaji ya Oct. 29. Very un professional ni Wahuni walopiga risasi watu migongoni wakikimbia. Walopiga risasi Wananchi wamekaa vijiweni!

Kosa kubwa alofanya rais Samia ni kujaribu kujenga hoja ya kuitetea Serikali katika Mauaji yale kama haikuwa mauaji katika kuzuia vurugu! Kwa kauli zile inamweka yeye pabaya zaidi kama ndiye alotoa amri mauaji yale yafanyike. Utabishaje ilihali katamka mwenyewe!

Basi wakuu wangu naomba tuoshie hapa, sitorudi tena kubiahana juu ya Tundu Lissu ambaye anasubiri hukumu yake ya Kunyongwa mpaka kifo!

Sua zenu, tumuombee yaishe salama turudi kwenye Siasa za Majukwaani. 2030, Upunzani wanachukua NCHI kwa mujibu wa Utabiri wa Sheikh Yahya Hussein. Cross your fingers!
Yajayo yanafurahisha au sio?

Maasalaam
 
..Nashukuru kwa majibu yako.

..Na samahani kama ktk mawasilisho yangu nilipandisha munkari.

..Kitendo cha Magufuli na Polisi kushindwa kutoa maelezo ya kueleweka nani aliondoa ULINZI area D siku ya tukio ndio sababu kubwa ya wao kuhusishwa na jaribio la mauaji dhidi ya Tundu Lissu.

..Hapo hatujazungumzia tuhuma kwamba kulikuwa na CCTV Camera nyumbani kwa Medard Kalemani ambazo zilichukuliwa na Polisi na hawajatoa majibu ya nini kilionekana. Medard Kalemani alikuwa Waziri na Mbunge wa Chato kipindi hicho.

..Magufuli alikuwa Rais mzuri sana ktk suala la ujenzi wa miuondombinu, na kusimamia nidhamu ya watumishi wa umma. Lakini alikuwa na tabia mbaya sana ya UKATILI na ndiye aliyelikomaza genge la wauwaji linalotutesa mpaka leo hii.

..Kosa la Mama Samia ni kuendeleza mambo ya KIKATILI aliyotuachia Magufuli. Mama alipaswa kuachana na ukatili na kurejesha siasa za HAKI.
 
..kuna mambo fulani nashauri uyarekebishe ktk michango yako.

..sio sawa kuchangia halafu ukakejeli DINI / IMANI za watu wengine.

..nimeona umekuwa ukichangia huku ukimtaja YESU kama mfano wa kukejeli mawazo na mitizamo ya wengine.

..hivi haiwezekani kabisa kutokubaliana na jinsi Lissu alivyosalimika bila kutaja jina la YESU tena kwa kejeli?

..sidhani kama ungejisikia sawasawa kama wachangiaji wengine wangekejeli IMANI yako.

Cc Nguruvi3
 
Nadhani inafikia 90%. Mzee Wasira aliyejinasibisha kama mtetezi wa Muungano anapohoji, ujue kuna jambo
Siyo siri tena hata CCM wa Bara hawakubaliani na hali ilivyo

Tangu wakati wa Nyerere muundo ni kama serikali 3 . Mfano, Waziri mkuu wa Tanzania anakuwaje wa upande mmoja? TAMISEMI inakuwa chini yake lakini Waziri na Watendaji wanaweza kuwa Wazanzibar!

Hoja hapa ni mambo yawekwe wazi, Tanganyika isimamie mambo yake kama ilivyo Zanzibar
Muundo wa ''makande'' kwamba mahindi, maharage, nazi n.k. vinachanganywa haufai na ni mfu

Kama haliwezekani watu wapasue jahazi wagawane mbao! sio wa kwanza zipo nchi zilifanya hivyo

Hata sasa hivi Tanganyika inababe mzigo wa Muungano! Kwa mujibu wa Gavana wa BoT marehemu Ndulu Zanzibar iliacha kuchangia Muungano miaka 40 na sasa ni zaidi ya 50. Mzigo wote kaubeba Mtanganyika

Kasome Bajeti ya Zanzibar unionyeshe haya
1. Fungu kutoka Zanzibar linalopelekwa katika shughuli za Muungano
2. Mapato kutoka Zanzibar yanayoletwa Hazina Dar au Dodoma
3. Bajeti ya Wizara ya Ulinzi
4. Bajeti ya Wizara ya mambo ya ndani
5. Bajeti ya Wizara ya mambo ya nje
6. Bajeti ya Wizara ya Muungano
7. Bajeti ya kuleta Wabunge 80 kulala Dodoma kwa mambo 3%

Kwa uchache tu wa kutaja

Halafu rudi kwenye Bajeti ya SMZ usome kitu kinaitwa General Budget support ambacho ni pesa za Tanganyika zinazotolewa Hazina Tanganyika kwenda kusaidia Bajeti ya SMZ

Usisahau kwamba Zanzibar inapewa 10% ya Makusanyo ya Tanganyika kwa mwezi. Yaani TRA wakikusanya zaidi Zanzibar wanapata zaidi. Wakati huo huo mapato ya TRA Zanzibar hayavuki bahari.

Labda tu nikupe mfano wa AFCON, gharama zote zinabebwa na kodi za Tanganyika si SMZ

Mfano wa pili, viongozi wastaafu wa Zanzibar wanalipwa na kodi za Tanganyika

Kodi za visa zinazotozwa Zanzibar haziingii Wizara ya mambo ya ndani lakini watumishi wa Uhamiaji Zanzibar wanalipwa na Wizara ya mambo ya ndani ambayo inaendeshwa kwa kodi za Mtanganyika.

Leo Zanzibar ina maafisa uhamiaji 800 kutoka 8 wakati wa Mapinduzi. Hao 800 wanafanya kazi Bara na kulipwa na Tanganyika ingawa mapato ya Uhamiaji Zanzibar ni kwa ajili ya Zanzibar.

Mwisho hivi unajua madeni na mikopo ya Zanzibar inakuja kwa jina la Tanzania na mlipaji ni Hazina Tanganyika!
Yaani ukiona miradi kule Zanzibar ni pesa za madini Geita, Gas Mtwara, Mahindi Sumbawanga n.k.

Bado unaamini Zanzibar inachangia muungano leo! yaani kwa dhati kabisa unaamini ni mshirika na siyo mbeleko
Du kama ni hivi hizi pesa si zingetujengea reli na sisi Mtwara.
 
..kuna mambo fulani nashauri uyarekebishe ktk michango yako.

..sio sawa kuchangia halafu ukakejeli DINI / IMANI za watu wengine.

..nimeona umekuwa ukichangia huku ukimtaja YESU kama mfano wa kukejeli mawazo na mitizamo ya wengine.

..hivi haiwezekani kabisa kutokubaliana na jinsi Lissu alivyosalimika bila kutaja jina la YESU tena kwa kejeli?

..sidhani kama ungejisikia sawasawa kama wachangiaji wengine wangekejeli IMANI yako.

Cc Nguruvi3
JokaKuu, Mkuu wangu nadhani sasa hivi umeishiwa hoja kiasi kwamba unaendelea kutafsiri maneno yangu kunishusha katika hoja mtambuka.

Nimemtaja YESU kama mfano wa Waumini kwa kuzingatia kwamba Tundu Lissu ana Wafuasi wake ambao ni Waumini hawatakubali kusikia lolote tofauti na wanavyoamini.

Nimeeleza mabaya mengi ya Tundu Lissu ambayo hakuna mtu aloyakana, lakini mnatafuta eneo la kubadilisha mjadala usiwe Jinsi gani huyu jamaa yenu anavyoharibu Chama chenu na Taifa kwa maslahi yake.

Amekanyaga migogo ya watu wengi sana kufikia hapo alipo (Mgombea Urais na Mwenyekiti wa Chama). Na nilisema simuamini kabisa huyu jamaa mkabadilisha maneno kuwa nina Chuki na Tundu Lissu. Nimchukie kwa.lipi alonitendea? Hiyo Chuki Binafsi inatoka wapi.

Still nilivumilia nikaendelea kukosoa mattukio yanayomhusu, lengo ni kuonyesha Ubaya wake kama Kiongozi lakini nikagundua kumbe wafuasi wake wanamuabudu kwa ukuu wa Mungu - The savior.

Naamini katika Uongozi bora huunganisha watu sio kugawa Watu. Kuna sifa mbili za Uongozi zikisema haya. Good Leadership make RIGHT THINGS, while Good Managers make THINGS RIGHT.
Sifa hizi HANA.
 
..sidhani kama na sisi tungekuwa tunafanya kejeli tukitumia mifano toka imani yako ungeona ni sawasawa.

..wewe umeshasema Tundu Lissu ni mtu wa hovyo, sasa kwanini umtaje ktk sentensi moja na Manabii toka ktk imani za wengine?

..Mimi nadhani ulichofanya sio sawasawa. Kuna mifano mingi sana ya jinsi, wafuasi, na mashabiki, wa Tundu Lissu wanavyoenenda, ambayo ungeweza kuitumia bila kwenda kwenye kejeli za kiimani.

..Tujisahihishe.

..Tubadilike.
 
..Nashukuru kwa majibu yako.

..Na samahani kama ktk mawasilisho yangu nilipandisha munkari.

..Kitendo cha Magufuli na Polisi kushindwa kutoa maelezo ya kueleweka nani aliondoa ULINZI area D siku ya tukio ndio sababu kubwa ya wao kuhusishwa na jaribio la mauaji dhidi ya Tundu Lissu.

..Hapo hatujazungumzia tuhuma kwamba kulikuwa na CCTV Camera nyumbani kwa Medard Kalemani ambazo zilichukuliwa na Polisi na hawajatoa majibu ya nini kilionekana. Medard Kalemani alikuwa Waziri na Mbunge wa Chato kipindi hicho.

..Magufuli alikuwa Rais mzuri sana ktk suala la ujenzi wa miuondombinu, na kusimamia nidhamu ya watumishi wa umma. Lakini alikuwa na tabia mbaya sana ya UKATILI na ndiye aliyelikomaza genge la wauwaji linalotutesa mpaka leo hii.

..Kosa la Mama Samia ni kuendeleza mambo ya KIKATILI aliyotuachia Magufuli. Mama alipaswa kuachana na ukatili na kurejesha siasa za HAKI.
Siwezonchoka kurudia majibu uale uale niloyasema toka mwanzo. Eneno lile ni la Bunge wanakaa viongozi wakunwa wa Mhimili wa Bunge wakiwemo Mawaziri kwa sababu ni WABUNGE. Yaani kama sii Mbunge huruhusiwi kupewa nyumba eneo hilo unless kuna mchezo umefanyika.

Jukumu la kuondoa Walinzi nintaarifa nilosikia mitandaoni lkn nachijua Vuongozi wana walinzi wao, akienda Bungeni anaondoka na walinzi wake hawalindi nyumba, wanamlinda Kiongozi.

Kwa wale wa getini sijui kama ni Private au jeshi la Polisi siwezi tolea maelezo ndio nikasema Tundu Lissu alijiamininkasi gani kuingia sehemu ambayo haina Ulinzi, tena wakifuatwa nyuma toka Bungeni? Iweje siku hiyo, Tundu Lissu peke yake ndio alorudi kule, Wabunge na Viongozi wote wamebakia! Basi hata Mbowe au hata rafiki kumkaribisha akale chakula cha nyumbani kwake maana tayari alishahofia maisha yake! Kweli, Mungu akisha panga lake, binadamu hachomoi.

Magufuli kama rais alikuwa aki deal na Acacia na Makampuni ya nje ya madini wakati ule, yaani aache kushughulika na Mabeberu ashughulike na Tundu Lissu msemaji wa Chadema. Lissu hatungi maneno yake Bungeni, anachaguliwa na wenzake kuwakilisha hoja ya Chama kuhusiana na swala fulani nanlitaingia kwenye kumbukumbu. Ndivyo, hoja ya Kitaifa zinavyojadiliwa Bungeni kama mtazamo wa Chama sio wa Tundu Lissu.

Kweli Vyombo vya Ulinzi vilizembea na sababu zilotolewa sii za msingi, lakini Lini tumeshuhudia Kukamatwa kwa Wahalifu wa high profile cases za mauaji ya Viongozi? Toka kina Kolimba, nikatoa mifano ya walolishwa sumu kina Mwakyembe mpaka Magufuli mwenyewe!

Msemo wa JK, akiswma "YA KUAMBUWA CHANGANYA NA ZAKO."
Hivi kweli unaamini Magufuli alikufa kwa ugonjwa wa Moyo au Covid? Mbona sijawasikia mkihoji au kwa sababu asante Mungu kumuondoa Dikteta.
 
..sidhani kama na sisi tungekuwa tunafanya kejeli tukitumia mifano toka imani yako ungeona ni sawasawa.

..wewe umeshasema Tundu Lissu ni mtu wa hovyo, sasa kwanini umtaje ktk sentensi moja na Manabii toka ktk imani za wengine?

..Mimi nadhani ulichofanya sio sawasawa. Kuna mifano mingi sana ya jinsi, wafuasi, na mashabiki, wa Tundu Lissu wanavyoenenda, ambayo ungeweza kuitumia bila kwenda kwenye kejeli za kiimani.

..Tujisahihishe.

..Tubadilike.
Imani yangu inaruhusu kukosoana, tena SUNNI ndio tumegawanyika kutokana na Imani juu ya Ukuu wa Mohammad. Kuna watu hawamini katika Maulidi kumtukuza mtume na hao huwambii kitu juu ya hilo.

Kwa hiyo, ni ruhsa kwetu kubishana juu ya Utukufu maadam unaweka points zako hata iwe kupinga maadam walengwa ni Wafuasi wa imani hiyo. Na sidhani kama ni kufuru kubishana juu ya Utufuku wa Mitume wa Mungu isipokuwa ni kufuru kudhalilisha VITABU VITAKATIFU.
 
Hivi kweli unaamini Magufuli alikuwa kwa ugonjwa wa Moyo au Covid? Mbona sijawasikia mkihoji au kwa sababu asante Mungu kumuondoa Dikteta..

..Magufuli alikuwa na maradhi ya moyo ya muda mrefu.

..wakati akisoma Masters chuo kikuu cha Dar Es Salaam alichangiwa na wanachuo kwenda Uingereza kupatiwa matibabu.

..tangazo la kuitisha mchango kwa ajili yake wakati yuko chuo kikuu liliwahi kuletwa hapa Jamii forums.

..Pia inasemekana Magufuli alikuwa muoga wa kusafiri kwa ndege kutokana na matatizo yake ya moyo na pace maker aliyokuwa amewekewa.

..Kwa hiyo suala la kuwa na maradhi ya moyo nadhani hatupaswi kulibishania.

..Kuhusu COVID hoja yake inaanzia na tukio la kwenda kukaa Chato kwa muda mrefu baada ya ugonjwa huo kushika kasi.

..Sasa hapo inabidi tujiulize kwanini alikimbilia Chato? Je, Madaktari wake waliamini yuko hatarini dhidi ya COVID kuzidi wengine hivyo inabidi kumtenga?

..Je, Magufuli alifanya makosa kurudi Dsm na kuchanganyikana na watu huku ugonjwa wa COVID ukingali upo?
 
Imani yangu inaruhusu kukosoana, tena SUNNI ndio tumegawanyika kutokana na Imani juu ya Ukuu wa Mohammad. Kuna watu hawamini katika Maulidi kumtukuza mtume na hao huwambii kitu juu ya hilo.

Kwa hiyo, ni ruhsa kwetu kubishana juu ya Utukufu maadam unaweka points zako hata iwe kupinga maadam walengwa ni Wafuasi wa imani hiyo. Na sidhani kama ni kufuru kubishana juu ya Utufuku wa Mitume wa Mungu isipokuwa ni kufuru kudhalilisha VITABU VITAKATIFU.

..mimi nadhani sio sawa kumtaja YESU wakati unamkejeli Tundu Lissu.
 
..Magufuli alikuwa na maradhi ya moyo ya muda mrefu.

..wakati akisoma Masters chuo kikuu cha Dar Es Salaam alichangiwa na wanachuo kwenda Uingereza kupatiwa matibabu.

..tangazo la kuitisha mchango kwa ajili yake wakati yuko chuo kikuu liliwahi kuletwa hapa Jamii forums.

..Pia inasemekana Magufuli alikuwa muoga wa kusafiri kwa ndege kutokana na matatizo yake ya moyo na pace maker aliyokuwa amewekewa.

..Kwa hiyo suala la kuwa na maradhi ya moyo nadhani hatupaswi kulibishania.

..Kuhusu COVID hoja yake inaanzia na tukio la kwenda kukaa Chato kwa muda mrefu baada ya ugonjwa huo kushika kasi.

..Sasa hapo inabidi tujiulize kwanini alikimbilia Chato? Je, Madaktari wake waliamini yuko hatarini dhidi ya COVID kuzidi wengine hivyo inabidi kumtenga?

..Je, Magufuli alifanya makosa kurudi Dsm na kuchanganyikana na watu huku ugonjwa wa COVID ukingali upo?
Mkuu, hata Mzee Mwinyi alikuwa na matatizo ya Moyo, wapo watu wengi sana wana matatizo ya Moyo swma hatujui na hata wanaokufa kwa ugonjwa wa Moyo wengine hawana hata pacemaker wameondoka ghafla.

Halafu tazama mnavyojichanganya ati Magufuli alikuwa mwoga wa ndege wakati kasafiri nchi nyingi za Ulaya na hata Canada kafika! Ile kumkosoa Magufuli sana ni kwa sababu Elimu yake yote kaipatia Tanzania basi walimuona hana Elimu sababu tu hakusoma Ulaya. Yaani aogope ndege kwenda Uingereza kuwekewa pacemaker,.haya hiyo wanayosema alikuwa nayo kaipataje?

Pale Mzena ameuguzwa zaidi ya wiki, wanabadilishana madaktari tu. Mwishowe na timu yake wote wameondoka siku hizo hizo kina Kijazi! yaani Covid Tanzania ilikuwa viongozi timu ya Magufuli tu na kina Maalim Seif kwanugonjwa wakuambikiza kama kwamba wengine wote walikuwa karibu nao walikuwa na Kinga

Kuna taarifa nyingine mkuu wangu CHANGANYA NA ZAKO. Sijali kama nitaeleweka vibaya, niitwe mchochezi lakini nina doubt kubwa juu ya vifo vya Viongozi Tanzania. Hata kule FB nilichamba sana Uongozi wa Magufuli sehemu ambazo sikukubaliana, sikuogopa kusema ukweli wangu, lakini Still namweka kama Kiongozi Bora Tanzania imewahi kumpata kinyume cha mitazamo ya wengi. Ni rais pekee alopendwa Tanzania Bara, Visiwani na Hata Kenya

Na ukiniuliza mimi nitakwambia Magufuli ndio sababu hasa ya Wakenya kuingilia Siasa za Tanzania. Walimpenda sana dhidi ya Kenyatta na alipofariki iliwauma sana na mpaka leo wanatuchamba kwa sababu yake.

Mwenyezi Mungu ailaze roho yake Mahala pema PEPONI - Amin.
 
..Magufuli alikuwa na maradhi ya moyo ya muda mrefu.

..wakati akisoma Masters chuo kikuu cha Dar Es Salaam alichangiwa na wanachuo kwenda Uingereza kupatiwa matibabu.

..tangazo la kuitisha mchango kwa ajili yake wakati yuko chuo kikuu liliwahi kuletwa hapa Jamii forums.

..Pia inasemekana Magufuli alikuwa muoga wa kusafiri kwa ndege kutokana na matatizo yake ya moyo na pace maker aliyokuwa amewekewa.

..Kwa hiyo suala la kuwa na maradhi ya moyo nadhani hatupaswi kulibishania.

..Kuhusu COVID hoja yake inaanzia na tukio la kwenda kukaa Chato kwa muda mrefu baada ya ugonjwa huo kushika kasi.

..Sasa hapo inabidi tujiulize kwanini alikimbilia Chato? Je, Madaktari wake waliamini yuko hatarini dhidi ya COVID kuzidi wengine hivyo inabidi kumtenga?

..Je, Magufuli alifanya makosa kurudi Dsm na kuchanganyikana na watu huku ugonjwa wa COVID ukingali upo?
Safari ya Magufuli kuhamia Chato, jamani jamani Mama yake mzazi mahututi hospital mlitaka ashinde Dar au Dodoma kufanya nini? halafu haikuwa muda mrefu hivyo, pengine alikuwa likizo

Zaidi ya hapo hata Mwalimu alikuwa na Utaratibu wake kwenda kwao Kupumzika kama ilivyo kwa viongozi wengi wa Ulaya. Mawaziri walikuwa wanasafiri kwenda Butiama kumuona. Kwa nini mnazusha habari ambazo hazina ushahidi ili kutuaminisha nini?

Angalia mnavyojenga hoja zenu. Yaani Covid iwe Tanzania nzima isifike Chato kwa sababu gani? Hao Madaktari au Uchwara! Nani alosema Chato ni salama kuliko Dar au Dodoma?

Tena nikwambie kitu, mtu wa kwanza mimi kumsikia akisema Magufuli hatunae tena ni Tundu Lissu, alipata wapi taarifa hizo kama sii Mhuni. Yaani mtu yuko Ulaya anayajua ya Tanzania kuliko wenyeji?

Siku za nyuma Magufuli akiwa Chato, Lissu alikuwa anahoji Magufuli kwa nini kurudi Dar anajificha Chato! Anaogopa nini yaani wakamvuta mpaka akaja Dar. Ndio hakuondoka tena. Very suspicious events happened.
 
Nashangaa mnabadilisha kauli zangu kwa tafsiri zenu wenyewe kupotosha maneno yangu. Kwa nini lakini?
Hatujadbailisha, umesema wewe! soma hapa chini
So, Kuhusu Tundu Lissu, nawaachia nyie ninkama Yesu alosurubiwa, akaamka siku ya 3, na kweli mimi siwezi kubali hata sindano ya tako! Acha risasi. Unachukia burw kuhsu matako ilihali ndio kiungo alichopigwa risasi na moja mpaka leo imekwama pale. Tarizo nini hasa! Nilitakiwa kusema kiungi gani?
Risasi ya Tundu Lissu ipo katika Uti wa mgongo! si kwenye kinyeo kama unvyoaminisha umma
Unachokifanya ni maximu character assassinations! kwamba anatembea na risasi iliyokwama matakoni!
Dah mkuu, tuna mengi ya kujadili...
Nachokataa ni kujaribu kuniaminisba ule ulikuwa mpango wa rais! Nsio nasema kama ingekuwa Usalama, Tundu Lissu aaingesalimika! Unless unataka kulishusha jeshi leti kama ile habari ya ati kuna Wakenya ndio walokuna nchini kuandamana na kufanya vurugu za October 29! Ule ni Uongo haufai kabisa kudhalilisha Majeshi yetu kuhusoana na Usalama wa Nchi.
Mkuu Serikali ilitetea jaribio la Tundu Lissu kwa story tofauti, haikukanusha. Unakubuka Bungeni Mbunge wa Siha Molel alisema ni CHADEMA na imebaki kwenye hansard hadi leo. Unakumbuka serikali ilikuwa inamtafuta dereva wa Lissu ikiwa ni njama za kutaka kumbambikia maneno au kumlazimisha aseme wanayotaka akiwa chini ya ulinzi. Kama hawakuwa wao kwanini walizuia uchunguzi? Kwanini waliondoa Camera? kwanini waliondoa walinzi!
Nachoweza kusema Serikali na Usalama walijia fika kwamba Maandamano yatakuwwpo, ila sidhani kama Usalama walihusika na Mauaji ya Oct. 29. Very un professional ni Wahuni walopiga risasi watu migongoni wakikimbia. Walopiga risasi Wananchi wamekaa vijiweni!
Wahuni wakiwa na Landcruiser! Wahuni wakiwa na SMG! Wahuni wakiwa na Uniform!
SSH alisema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi, na wakati huo alikuwa Amir Jeshi mkuu! kwamba maagizo waliyotoa yalikuwa sahihi. Mkandara Wahuni ni akina nani!nani kiongozi wao?
Kosa kubwa alofanya rais Samia ni kujaribu kujenga hoja ya kuitetea Serikali katika Mauaji yale kama haikuwa mauaji katika kuzuia vurugu! Kwa kauli zile inamweka yeye pabaya zaidi kama ndiye alotoa amri mauaji yale yafanyike. Utabishaje ilihali katamka mwenyewe!
Ndivyo ilikuwa plan, yaani ni kosa kusema wamefanya nini
 
..sidhani kama na sisi tungekuwa tunafanya kejeli tukitumia mifano toka imani yako ungeona ni sawasawa.

..wewe umeshasema Tundu Lissu ni mtu wa hovyo, sasa kwanini umtaje ktk sentensi moja na Manabii toka ktk imani za wengine?

..Mimi nadhani ulichofanya sio sawasawa. Kuna mifano mingi sana ya jinsi, wafuasi, na mashabiki, wa Tundu Lissu wanavyoenenda, ambayo ungeweza kuitumia bila kwenda kwenye kejeli za kiimani.

..Tujisahihishe.

..Tubadilike.
Sijui kwanini Mkandara hana ''culture sensitivity'' . mwanzo wa mjadala alisema SSH anashambuliwa kwa suala la Muungano kutokana na DINI yake! nilimtembeza kuanzia Jumbe hadi OMO leo, ikaisha
Akatoa mfano wa Yesu akinijibu , sikurudia bandiko lake. Naona anaendelea tu

Mkuu Mkandara respect watu na imani zao hata kama ni tofauti. The fact kwamba Imani yako inakuruhusu kukosoana that is not applicable across the board. Ukivuka mpaka kuna decorum zake. Niwatake radhi walikwazika ! sisi ni adults na veteran hapa mnapaswa kujifunza mema, tukighafilika ni ubinadamu, mtusamehe

Pili, Magufuli alikuwa na pace maker ushahidi upo katika gazeti akiombewa na chuo msaada wa matatibu.
COVID ilipoanza, Madaktari walimshauri aondoke Dar es Salaam. Baada ya miezi kadhaa akaamua kurudi tena akifanya mikutano kuanzia Mwanza, Tabora, Pwani hadi Dar es Saalaa. COVID na Pace maker ina complicate sana matibabu, watu wa Afya watanielewa!

Tazama picha ya Magufuli akimwaga John Kijazi, utaona alikuwa amejawa na hofu sana. Ni obvious alishambiwa kwamba pace maker yake inamfanya vulnerable zaidi na pale alikuwa anatafakari ikiwa hivi itakuwaje! nadhani alikuwa sahihi

Tatu, suala la Tundu Lissu, tumekuuliza hivi Wahuni wana nguvu kukiko Serikali? You just dance around

Nne, kuhusu Muungano tumekuuliza pia serikali 2 inapunguza vipi gharama kwa Mtanganyika?
Na kama Tume zaidi ya 10 zilikataa unadhani kudharau maoni ya Tume na Wananchi ni sahihi!

Tano, tumekuuliza kwanini kuna Taasisi mbadala Zanzibar, na hizi zilizopo za JMT ni za nani na kwanini!

Nadhani tuna mengi ya maana kuliko kuzungumzia risasi ilivyobana kinyeo cha Lissu kwa mujibu wako, na Yesu anavyohusishwa na hili au lile bila sababu!
 
Mkuu Mkandara hoja hii usiwaulize Watanganyika!Waulize Wazanzibar ndio wenye agenda ya Tanganyika irudi.

Rasimu ya Warioba: Wazanzibar walitaka Serikali 3(S3) au Muungano wa Mkataba. Hawakuta S2 su S1

Ushahidi ni Kitabu cha Aboud Jumbe na kilichomwondoa madarakani ni serikali 3 akisisitiza Tanganyika irudi.

Maalim Seif akaibeba agenda akisema ili Muungano uwe wa haki na sawa Tanganyika irudi ''HAKI SAWA''.

OMO na kina Jussa wanataka serikali ya Tanganyika irud kimya chao ni kuvmbiwa na vibuyu vya asali na ving'ora . Nyerere alitukanwa LANAATULLAH, unajua hili Mkandara, ndio msingi wa watu kukuambia una UNAFIKI.

Unajuwa wazi wanaoitaka Tanganyika ni Wazanzibar wakilaani 'Tanganyika kuvaa koti la Muungano'
Wazanzibar wanadai Tanganyika irudi, wanamtukana Nyerere na Jussa ni shahidi, Mkandara ulikuwa kimya

Leo unaingiza hoja za Udini kana kwamba yameanza jana. Hukumbuki Jumbe aliondolewa na kitu gani, Wariba alisema nini, Maalim alitaka nini, OMO anataka nini! Mamlaka kamili ni uwepo wa S3

Kwamba Wazanzibar wakisema sawa, akisema Mtanganyika ni kosa, unamshaiwishi vipi aliyekuita mnafiki kwamba hakuwa sahihi. Katika '' with all due respect you've double face''

Tanganyika ikirudi itafadika na nini!
Kwa miaka 62 Tanganyika imetoa kila ilicho nacho kulinda Muungano, kelele hazijakoma
Wazanzibar wanachukua uvumilivu wa Tanganyika kama advantage na kuita KERO ambazo nyingi ni upuuzi.

Hivi kuagiza maziwa na kuyaingiza Tanganyika bila kulipia kodi ni Kero!
Kelele za Muungano zinadumaza mijadala yenye maana kwa ujenzi wa Tanganyika.

Raia wanasema Muungano uwepo lakini uwe na mipaka kwa faida ya pande zote na si mbeleko.

Mkuu hapa hakuna ukweli.
Nimekutembeza katika Historia kuanzia Jumbe hadi OMO , wote wanadai Tanganyika.
Tupo hapa Jamvini, rudi miaka 20 nyuma utaona tatizo la Muungano halikuanza na Samia.

Nyerere alikutana na akina Jumbe , Ramadhani Faki na Maalimu.
Mwinyi alikutana na G55, Mkapa akakutana na Mauaji Pemba, JK akakutana na Katiba
Magufuli akapiga marufuku kuzungumzia kwa mkono wa chuma lakini watu walizungumza

Mkuu unapoletewa hoja zikakuzidi unatumbukiza hii karata hatari ya Udini, too low

Mbona hujiulizi kwanini Wazanzibar wapo kimya licha ya miaka mingi ya kuitaka Tanganyika

Udini should never be a line of defence. Unapaswa kujibu hoja as a veteran in this forum.

Hoja ni hizi na ndizo unatakiwa kujikita na kuzifafanua , ni katika mjadala;

1. Je si kweli kwamba waliotaka Tanganyika irudi ni Wazanzibar na ndio waanzilishi wa hoja
2. Je, si kweli kwamba OMO alipoteza cheo cha AG Zanzibar kwa hoja ya Serikali tatu Bunge la Katiba
3. Je, si kweli kwamba matatizo ya Muungano yalianza wakati wa Nyerere?
3b. Je, si kweli Wazanzibar walimtukana Mwalim na kumlaani kwa LAANATULLAH kwasababu ya Muungano
4. Je si kweli kwamba Samia akiwa Bunge la Katiba aliyakuta matatizo hayo!
5. Je, si kweli kwamba kauli za kibaguzi kama za akina Sada Mkuya na H. Mwinyi zinachochea mgawanyiko!
6Je, si kweli kwamba kila Taasisi ya JMT ina mbadala wake Zanzibar na kuzua maswali kuhusu Muungano
7. Je si kweli kwamba ndani ya Tanzania Zanzibar inapewa ''special treatment' kuliko eneo jingine!
8. Je, si kweli kwamba Zanzibar haina mchango katika kuendesha Muungano lakini inadai zaidi kila siku
9. Je, si kweli kwamba uwepo wa ZanID umelenga kuwatenga Watanganyika na fursa za Zanzibar
10. Je, si kweli kwamba Zanzibar inapewa 9% kutoka 4.5% ya pato la Tanganyika !
11. Je, si kweli kwamba kuna nafasi za upendeleo kwasababu ya Uzanzibar ndani ya JMT
12. Je, si kweli kwamba mjadala wa G55 ulianza wakati wa Mwinyi (mzanzibar) na aliyeuzima ni Nyerere (Mtanganyika ) na kwamba hakuna udini wala Utaifa bali hoja

Orodha inaendelea

Nawaalika Wakongwe watuthibitishie kama mijadala ya Muungano haikuanza 2006 hapa JF

JokaKuu Pascal Mayalla Mzee Mwanakijiji Mwalimu Gagnija Rev.Kishoka Maxence Melo Nyani Ngabu Kiranga
Well said, Nguruvi3
 
Back
Top Bottom