Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

Yani ni kweli mkuu kuna mdau huko juu katoa point nzuri sana yani ronaldo na messi ni bola wakastaaf misimu hii ijayo wastaaf kiheshima wanapoelekea ni dhihaka watakuja kustaaf kwa aibu

Yah, but! Messi bado ana kiwango bora kumzidi ronaldo, na hata mchezaji yeyote wa sasa. sema tu ile timu imejaa ubinafsi/utoto. Kila mtu hujiona star pale, na wengine kumbania passes n.k. Lau kama angelikua city wangefaidi sana uwepo wake, yeye ndie playmaker, mtoaji assists, penalt anatoa kwa wenzie bila kinyongo, in short jamaa angelikua anawalisha tu magoli wenzie.
 
Kweli na pep alimtaka aende pale city
 
Luckily Messi n Mbappe wamecheza msimu mmoja pamoja pale ufaransa

Stats zinasema Messi amepitwa Goals pamoja n assist

My point ni kuwa messi alikuwa ni best wakati wake ni sio sasa umri umemtupa mkono tyr
 
Kwani Argentina haikuwa na timu work?, kwa nini haikuchukua worldcup?.

Tena timu zote za Argentina ambazo Messi kachezea ni bora kuliko ile Argentina ya mwaka 1986 ambayo Maradona alifanya vitu vyake, kwa nini Messi asiwe oama Maradona kufanya vitu extra ili timu yake itwae Worldcup?
 
Kama ulielewa nilichomaanisha nilikwambia Lewandowsk si striker wa aina yao ni mtu ambaye yupo juu kuliko hao wote including Mbappe ila hata siku moja Haaland na Jesus hawawezi kuwa juu ya Mbappe iwe ni kwa data uwanjani hata mafanikio tu Mbappe yupo mbali sana
 
Sasa ataflop soon huo ndio uchawi wenyewe kwahiyo unakubali dogo kwa sasa ni Moto maana hata assist unazosemea messi hutengeneza msimu uliopita dogo kaongoza yeye
Kilichobaki ni kama ulivyosema ataflop na kwakua mnamuombea hivyo haya tusubiri sisi kwa sasa tunazungumzia ubora wake tunao uona
 
Mkitumia kigezo cha ballon dor kusema mchezaji flani ni bora, kwahyo mnataka kuniambia Messi ni bora kuliko Ronaldinho, Maladona, Ronaldo dilma, Pelle, galincha, Zidane!?
Messi ni bora zaidi ya hawa wote wewe ni ambie nini hasa ambacho hao unao wataja wanamzidi messi?
 
Kwani Argentina haikuwa na timu work?, kwa nini haikuchukua worldcup?.

Unajua maana ya team work? Au umeamua tu kuanzisha ligi!

Argentina ya sasa angalau wameonyesha nidhamu kwa maana wamejituma wakabeba makombe mawili ndani ya msimu mmoja, ingelikua ndio ile ya akina higuain, marcos rojo unadhani wangebeba!!

Ndio maana nikasema hata uwe fundi wa namna gani lakini kama teammates wakiamua kutojituma/kutompa ushirikiano Mchezaji wao unadhani watachukua!!


Refer PSG, ndio utapata jibu! Kwanini hafungi magoli mengi!! Umeona kuna maelewano mule!!
 
Nmeangalia mechi ya jana kati ya Montpellier na PSG jamaa wako happy wanapeana pass wana shangilia pamoja mambo mengine media zinayakuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…