Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

Mkataba mpya aliyopewa ni kama wamempa mkataba wa kuwa mtoto wa boss jamaa hata akimchukia kocha inatakiwa kocha asepe, sasa Neymar na Messi wajiangalie akienda kushtaki kwa baba yake na kazi inaishia hapohapo
 
Nasimama na Boss Mbappe kwenye hili, Neymar na kaka ake Messi kama wanaona PSG hapawafai waondoke waiache PSG salama kwanza wao wawili wamechangia kiasi kikubwa kukoss kombe la uefa msimu uliopita kwa uchezaji wao wa kizembe na wanatakiwa wajue kila timu ina mfalme wake na kwa hapa PSG ni Mbappe
 
Pengine hilo lipo sahihi lakini kwa kitendo alichokifanya Mbappe si sahihi.

Mwenzako anaweka mpira kwa maandalizi ya kupiga penalty wewe unakuja kuomba kupiga. Afadhali angelikuwa hata bado hajaanza kufanya hivyo!

Neymar kasimamia maamuzi yake ya kupiga unageuza kwa kufura hali ya kuwa penalty ya kwanza ulishapiga.

Kamgonga Messi kwa bahati mbaya unashindwa hata kuonyesha ishara ya kilichotokea ni bahati mbaya? Kwa haya Mbappe aliyoyafanya amekosea! Hayo mengineyo siyajui.
 
Na huyu dogo ndio by by hata kaa abebe uefa wala ballon d or
 
Uefa huwezi jua, maana bado ni mdogo, kuhusu ballondor ni matakwa ya wapiga kura, muhimu makombe na tuzo zisizohitaji kura
Huwezi kuwa bora kama.huna ushirikiano mzuri na watu. Unadhani messi au neymer wakiamua kutokumpasia mpira atafungaje .? Inshort ingekua mm ndio messi na neymer from now hali assist yangu napiga mwenyewe kila mtu ashinde zake. Dawa ya kiburi ni jeuri
 
Ana world cup messi hana Kiufupi dogo anajua kuwa yeye psg ni muhimu kuliko messi so yeye account hizo ballon d or anatamba kwa umuhimu wake na thamani anavyopewa psg same to messi kwenye kipindi chake barca alivyokuwa anasumbua wenzie na kwa umuhimu wake akiwa camp nuo

World Cup medal si tuzo binafsi ya mtu mmoja,hata Geroud naye ana medali ya World Cup kumbuka.
 
Nasimama na Boss Mbappe kwenye hili, Neymar na kaka ake Messi kama wanaona PSG hapawafai waondoke waiache PSG salama kwanza wao wawili wamechangia kiasi kikubwa kukoss kombe la uefa msimu uliopita kwa uchezaji wao wa kizembe na wanatakiwa wajue kila timu ina mfalme wake na kwa hapa PSG ni Mbappe
Haters mpabe yeye kachangia nini?
 
Pengine hilo lipo sahihi lakini kwa kitendo alichokifanya Mbappe si sahihi.

Mwenzako anaweka mpira kwa maandalizi ya kupiga penalty wewe unakuja kuomba kupiga. Afadhali angelikuwa hata bado hajaanza kufanya hivyo!

Neymar kasimamia maamuzi yake ya kupiga unageuza kwa kufura hali ya kuwa penalty ya kwanza ulishapiga.

Kamgonga Messi kwa bahati mbaya unashindwa hata kuonyesha ishara ya kilichotokea ni bahati mbaya? Kwa haya Mbappe aliyoyafanya amekosea! Hayo mengineyo siyajui.
Messi mtu poa sana sidhani kama atalichukua hili swala kwa muda mrefu, tatizo lipo kwa Neymar na Mbape Wana utoto mwingi sana hawa watu
 
Back
Top Bottom