Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

Wakati anachukua hyo balloon dor ya 7 ulisikiliza hotuba yake!? Au umesehau aliwah chukua tuzo ambayo alistahli Iniesta!? Ballon dor kipindi cha messi na Ronaldo ni siasa kati ya matajiri wa Madrid na Barcelona. Kwahyo acha kukurupuka
Nao hao kina zidane wangefanya izo siasa
 
Kumamake asa hao wanamzidi nini messi?

Au kisa wamecheza zamani?

Nyie ndo wehu mnaosemaga pawasa ni bora kuliko msuva au kapombe

Punguwan kabisa
Akili mtu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi naona hao kina pelle,maradona,R9,R10,zidane walikuwa bora kwa nyakati zao.

Messi na cristiano ni wachezaji bora kwa nyakati zote
Rekodi inaonyesha hivyo,hao wawili wamevunja rekodi zote.

Ukija kwa mbape naona anajiharibia tu mwenyewe ilibidi awatumie kaka zake vizuri ku set rekodi zake

Neymar na messi bado wapo juu ..
Umeanza vizur sana sasa hapo kati ulipofanya comparison ndio uliponiacha

Messi na Ronaldo ni best nyakati zao ur right kabisa lakin sasahv ni nyakati za kina Mbappe
 
Umeanza vizur sana sasa hapo kati ulipofanya comparison ndio uliponiacha

Messi na Ronaldo ni best nyakati zao ur right kabisa lakin sasahv ni nyakati za kina Mbappe
Mbape ana kipi cha maana ,hebu nipe starts za neymar na messi kwa msimu huu tu
 
Ana world cup messi hana Kiufupi dogo anajua kuwa yeye psg ni muhimu kuliko messi so yeye account hizo ballon d or anatamba kwa umuhimu wake na thamani anavyopewa psg same to messi kwenye kipindi chake barca alivyokuwa anasumbua wenzie na kwa umuhimu wake akiwa camp nuo
Ongezea na hii, Olivier Giroud ana World Cup Messi Hana.
 
Mkitumia kigezo cha ballon dor kusema mchezaji flani ni bora, kwahyo mnataka kuniambia Messi ni bora kuliko Ronaldinho, Maladona, Ronaldo dilma, Pelle, galincha, Zidane!?
aisee hata kuandika majina tu ya wachezaji shida sasa hoja ndo utaweza? Rudi kwanza darasa la tatu ujifunze kuandika
 
Mbape yupo sawa kama anayo mamlaka awatimue wote mesi na neymar mechi ya champions league dhidi ya madrid mbape alikuwa anapambana mwenyewe kuipambania PSG ushindi wale ma mwinyi na vitambi vyao wanatembea tu kukaba hawakabi wakipewa mpira wana poteza wamekuja pale kufuata hela tu maana washachukua vitu muhimu kwenye soka tuko pamoja mbape.
 
Ndio wangekuwa wanacheza kwani still bado thamani yao ni kubwa sokoni, kuna club kibao zina wahitaji na wana deliver wanapopewa nafasi.

Wewe unazungumzia medali ambayo hata Geroud anayo, zungumzia uwezo binafsi na IQ ya mchezaji. Ndioo utopojua Mbape bado mchanga hata Henry bado hajamkaribia,hizo level za Ronaldo na Messi sijui kama atakuja kuzikaribia.
anamfananisha dogo na watu wanaoshikilia rekodi za dunia ,magoli ,assists ,na tuzo mbalimbali bado rekodi za kwenye timu zao walizocheza.,mbali na medali ya world cup ana nini kingine
 
Ana world cup messi hana Kiufupi dogo anajua kuwa yeye psg ni muhimu kuliko messi so yeye account hizo ballon d or anatamba kwa umuhimu wake na thamani anavyopewa psg same to messi kwenye kipindi chake barca alivyokuwa anasumbua wenzie na kwa umuhimu wake akiwa camp nuo
Jamaa anawatesa sana kwa chuki zenu 😂😂
 

Attachments

  • Screenshot_20220819-132217_Facebook.jpg
    Screenshot_20220819-132217_Facebook.jpg
    222.4 KB · Views: 5
Back
Top Bottom