Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Huyu dogo juzijuzi tu hapa si walimpandishia mshahara?Nasimama na boss mbape
Si walimpa mamlaka ya kuwafanyia chochote klabuni hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dogo juzijuzi tu hapa si walimpandishia mshahara?Nasimama na boss mbape
Ata kabla ya mechi dogo alianza kutembea kibabe uwanjani mpaka anawapush kaka zakeMbapee,..ya pili Neema kalazmisha kupiga na aka score...ndo ugomv ukaanzia hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawezi! Hana kipaji hicho cha kusumbua zaidi ya mbio!Na huyu dogo ndio by by hata kaa abebe uefa wala ballon d or
Una uliza maswali gani ya kitoto? Hizo ballon 7 kura alipigiwa na Zidane, Ronaldinho, na wababe wote unao wajua wa mpira. Utakufa Tz bila kutoa hata 1.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkitumia kigezo cha ballon dor kusema mchezaji flani ni bora, kwahyo mnataka kuniambia Messi ni bora kuliko Ronaldinho, Maladona, Ronaldo dilma, Pelle, galincha, Zidane!?
Hiyo ni ya timu,leta individual ana nn?Unashindwa kuelewa kuwa mbappe ana medali ya
kombe la dunia ambalo messi hana.
Messi Yuko pale hadi WC ipite ikishapita anasepa zake marekani kumalizia soka lakeMkataba mpya aliyopewa ni kama wamempa mkataba wa kuwa mtoto wa boss jamaa hata akimchukia kocha inatakiwa kocha asepe, sasa Neymar na Messi wajiangalie akienda kushtaki kwa baba yake na kazi inaishia hapohapo
Ngoja WC ipite watasepa wamuachie timu lakeNasimama na Boss Mbappe kwenye hili, Neymar na kaka ake Messi kama wanaona PSG hapawafai waondoke waiache PSG salama kwanza wao wawili wamechangia kiasi kikubwa kukoss kombe la uefa msimu uliopita kwa uchezaji wao wa kizembe na wanatakiwa wajue kila timu ina mfalme wake na kwa hapa PSG ni Mbappe
Hata kimpembe au Pogba wanazo hata Kante anayo hata rock junior anayo ila hao wote sio GOATUnashindwa kuelewa kuwa mbappe ana medali ya
kombe la dunia ambalo messi hana.
Ndio wangekuwa wanacheza kwani still bado thamani yao ni kubwa sokoni, kuna club kibao zina wahitaji na wana deliver wanapopewa nafasi.Unadhan Messi au Ronaldo wangekuwa n world cup wangekuwa wanacheza mpka sasahv!?
Anapaswa ajue MESSI ana jeshi kubwa nyuma yake.Nimeona hata YouTube na mitandao mingine watu wengi wanamsagia kunguni Mbappe kwenye sakata hili.
Ubora wako na perfomance yako uwanjani ndo vinakuna hivyo mzee, siyo wapiga kura pekeeUefa huwezi jua, maana bado ni mdogo, kuhusu ballondor ni matakwa ya wapiga kura, muhimu makombe na tuzo zisizohitaji kura
Labda Pelle pkee anaemzid Messi kwny hiyo list yako,waliobak wte hakuna anaekaribia ubora wa MessiMkitumia kigezo cha ballon dor kusema mchezaji flani ni bora, kwahyo mnataka kuniambia Messi ni bora kuliko Ronaldinho, Maladona, Ronaldo dilma, Pelle, galincha, Zidane!?
Wakati anachukua hyo balloon dor ya 7 ulisikiliza hotuba yake!? Au umesehau aliwah chukua tuzo ambayo alistahli Iniesta!? Ballon dor kipindi cha messi na Ronaldo ni siasa kati ya matajiri wa Madrid na Barcelona. Kwahyo acha kukurupukaUna uliza maswali gani ya kitoto? Hizo ballon 7 kura alipigiwa na Zidane, Ronaldinho, na wababe wote unao wajua wa mpira. Utakufa Tz bila kutoa hata 1.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Subir baada ya WC kupita kama utawaona hv unadhani kuwa n WC ni status ndogo!?Ndio wangekuwa wanacheza kwani still bado thamani yao ni kubwa sokoni, kuna club kibao zina wahitaji na wana deliver wanapopewa nafasi.
Wewe unazungumzia medali ambayo hata Geroud anayo, zungumzia uwezo binafsi na IQ ya mchezaji. Ndioo utopojua Mbape bado mchanga hata Henry bado hajamkaribia,hizo level za Ronaldo na Messi sijui kama atakuja kuzikaribia.
Messi aliyowazid wote hao ni Ballon dor lakin kwa mbungi[emoji23][emoji23][emoji23]labda kama ulikuwa unafatilia isidingo n sio hao miambaLabda Pelle pkee anaemzid Messi kwny hiyo list yako,waliobak wte hakuna anaekaribia ubora wa Messi
"Akili mtu wangu" unamaanisha nini? Au unamaamisha aliye chukua medali ya kombe la dunia ni bora kuliko mwenye Ballon dor.Subir baada ya WC kupita kama utawaona hv unadhani kuwa n WC ni status ndogo!?
Dream ya kila mchezaji unayemuona ni kuchukua WC, wakina Ronaldo walionekana ni hatar zaidi kutokana n idadi na performance katika WC
Umeshajiuliza kwanini miaka 13 tuzo ya Ballon dor ipo Barcelona n Madrid, sometimes ilitakiwa iende Bayern!? Akili mtu wangu
Hizi ni ishara kuwa vijana hawawez uongozi,tuendelee kuongozwa na wazee tuMbappe ameongezeka jeuri baada ya kupewa mkataba mpya na PSG unaomfanya achukue karibia £ 1 million kwa wiki ukijumlisha na picha za matangazo yake, pamoja na umri wake unamfanya ashindwe kujisimamia.
Mimi naona hao kina pelle,maradona,R9,R10,zidane walikuwa bora kwa nyakati zao.Labda Pelle pkee anaemzid Messi kwny hiyo list yako,waliobak wte hakuna anaekaribia ubora wa Messi
Kumamake asa hao wanamzidi nini messi?Mkitumia kigezo cha ballon dor kusema mchezaji flani ni bora, kwahyo mnataka kuniambia Messi ni bora kuliko Ronaldinho, Maladona, Ronaldo dilma, Pelle, galincha, Zidane!?