NG'OTIMBEBEDZU
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 1,180
- 595
hakuwa na goli wala assistna Giroud sidhani kama ana hata goli world cup,kama anayo ni goli moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuwa na goli wala assistna Giroud sidhani kama ana hata goli world cup,kama anayo ni goli moja.
Hata Giroud analo[emoji1787][emoji1787]Mbappe atatamba ana kombe la dunia...
Hata Pedro.....Hata Giroud analo[emoji1787][emoji1787]
Tena Mbio Za Umri Tu"Akili mtu wangu" unamaanisha nini? Au unamaamisha aliye chukua medali ya kombe la dunia ni bora kuliko mwenye Ballon dor.
Pamoja Ballon dor kuwa na siasa zake lkn haindoi kwamba Messi ni mchezaji wa kipekee hana mfano wa kumfananisha nae.
Hata kwa sasa ukisema uchambue uwezo alio nao sasa Messi na Mbape bado Mbape hamfikii Messi labda alicho mzidi ni mbio tu.
Hata ipataHata Kama Hana cha kutamba mbele ya Messi..hata Balon d or moja huyo Mbappe hana
hata ballon Dior 2 hachukui
Tatizo sisi tuliozoea kushinda njaa, tukipata fedha za kutosha lazima tuanze nyodo hadi ulimwengu utushikishe adabu ndio tunakuwa wanyenyekevu.Wayne Rooney kashangaa Mbappe anatoa jeuri wapi ya kumletea ujeuri Messi wakati Messi alipokuwa umri huu WA Mbappe alikuwa na Ballon d or nne?...naona Mbappe anazidi kuongeza maadui ..hata Perez alisema huyu Mbappe sio Yule tulikuwa tunamtaka...
Hapa unavuka mipaka sasaSalute kwa MessiView attachment 2328653
hana lolote ,ni mbio tu halafu mashuti mengi anapaisha kama Ndemla, kufunga anafunga lakini unakuta mashuti ya kupaisha kama kumi.
Aisee! Ulivyomtaja Pedro nimemkumbuka mchezaji mmoja wa Italia wanamuona kama Pele wao jina limenitoka sijui anaitwa nani?! Yule jamaa ni fundi wa mpira vibaya!Hata Pedro.....
Medali alipewa kila mchejazi hata ambaye hajacheza . Tuzo ipi kubwa binafsi aliyonayeUnashindwa kuelewa kuwa mbappe ana medali ya
kombe la dunia ambalo messi hana.
Ndiyo messi ni Bora kuliko hao wote uliowatajaMkitumia kigezo cha ballon dor kusema mchezaji flani ni bora, kwahyo mnataka kuniambia Messi ni bora kuliko Ronaldinho, Maladona, Ronaldo dilma, Pelle, galincha, Zidane!?
Ndo ujue we Bado mdogoMessi aache udikteta akalee wajukuu sasa,tangu nazaliwa messi messi
Kama timu ilishamchagua Mbappe kama mpiga penalty haijalishi hata kama angekuwa kakosa tatu kwenye mechi moja ya 4 ni lazima apige yeye labda aamue kumruhusu mwengne apige na ndio utaratibu wa kila timu na Neymar analijua hilo so amefanya kwa makusudi kumuudhi boss wake,MbappePengine hilo lipo sahihi lakini kwa kitendo alichokifanya Mbappe si sahihi.
Mwenzako anaweka mpira kwa maandalizi ya kupiga penalty wewe unakuja kuomba kupiga. Afadhali angelikuwa hata bado hajaanza kufanya hivyo!
Neymar kasimamia maamuzi yake ya kupiga unageuza kwa kufura hali ya kuwa penalty ya kwanza ulishapiga.
Kamgonga Messi kwa bahati mbaya unashindwa hata kuonyesha ishara ya kilichotokea ni bahati mbaya? Kwa haya Mbappe aliyoyafanya amekosea! Hayo mengineyo siyajui.