Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

Salute kwa Messi
FB_IMG_1658071938125.jpg
 
"Akili mtu wangu" unamaanisha nini? Au unamaamisha aliye chukua medali ya kombe la dunia ni bora kuliko mwenye Ballon dor.

Pamoja Ballon dor kuwa na siasa zake lkn haindoi kwamba Messi ni mchezaji wa kipekee hana mfano wa kumfananisha nae.

Hata kwa sasa ukisema uchambue uwezo alio nao sasa Messi na Mbape bado Mbape hamfikii Messi labda alicho mzidi ni mbio tu.
Tena Mbio Za Umri Tu
 
Mtu mweusi hata aende wap watabakia walikuwa na watakuwa na watumwa tu bwana mdgo anadhara sana
 
Wayne Rooney kashangaa Mbappe anatoa jeuri wapi ya kumletea ujeuri Messi wakati Messi alipokuwa umri huu WA Mbappe alikuwa na Ballon d or nne?...naona Mbappe anazidi kuongeza maadui ..hata Perez alisema huyu Mbappe sio Yule tulikuwa tunamtaka...
Tatizo sisi tuliozoea kushinda njaa, tukipata fedha za kutosha lazima tuanze nyodo hadi ulimwengu utushikishe adabu ndio tunakuwa wanyenyekevu.
Kwahiyo, huenda Kwasababu analipwa fedha ndefu kuliko Messi.
 
Pengine hilo lipo sahihi lakini kwa kitendo alichokifanya Mbappe si sahihi.

Mwenzako anaweka mpira kwa maandalizi ya kupiga penalty wewe unakuja kuomba kupiga. Afadhali angelikuwa hata bado hajaanza kufanya hivyo!

Neymar kasimamia maamuzi yake ya kupiga unageuza kwa kufura hali ya kuwa penalty ya kwanza ulishapiga.

Kamgonga Messi kwa bahati mbaya unashindwa hata kuonyesha ishara ya kilichotokea ni bahati mbaya? Kwa haya Mbappe aliyoyafanya amekosea! Hayo mengineyo siyajui.
Kama timu ilishamchagua Mbappe kama mpiga penalty haijalishi hata kama angekuwa kakosa tatu kwenye mechi moja ya 4 ni lazima apige yeye labda aamue kumruhusu mwengne apige na ndio utaratibu wa kila timu na Neymar analijua hilo so amefanya kwa makusudi kumuudhi boss wake,Mbappe
 
Back
Top Bottom