Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Sikio limezidi kichwaWayne Rooney kashangaa Mbappe anatoa jeuri wapi ya kumletea ujeuri Messi wakati Messi alipokuwa umri huu WA Mbappe alikuwa na Ballon d or nne?...naona Mbappe anazidi kuongeza maadui ..hata Perez alisema huyu Mbappe sio Yule tulikuwa tunamtaka...
Pengine hilo lipo sahihi lakini kwa kitendo alichokifanya Mbappe si sahihi.Nasimama na Boss Mbappe kwenye hili, Neymar na kaka ake Messi kama wanaona PSG hapawafai waondoke waiache PSG salama kwanza wao wawili wamechangia kiasi kikubwa kukoss kombe la uefa msimu uliopita kwa uchezaji wao wa kizembe na wanatakiwa wajue kila timu ina mfalme wake na kwa hapa PSG ni Mbappe
Na huyu dogo ndio by by hata kaa abebe uefa wala ballon d orPengine hilo lipo sahihi lakini kwa kitendo alichokifanya Mbappe si sahihi.
Mwenzako anaweka mpira kwa maandalizi ya kupiga penalty wewe unakuja kuomba kupiga. Afadhali angelikuwa hata bado hajaanza kufanya hivyo!
Neymar kasimamia maamuzi yake ya kupiga unageuza kwa kufura hali ya kuwa penalty ya kwanza ulishapiga.
Kamgonga Messi kwa bahati mbaya unashindwa hata kuonyesha ishara ya kilichotokea ni bahati mbaya? Kwa haya Mbappe aliyoyafanya amekosea! Hayo mengineyo siyajui.
Unashindwa kuelewa kuwa mbappe ana medali yaWayne Rooney kashangaa Mbappe anatoa jeuri wapi ya kumletea ujeuri Messi wakati Messi alipokuwa umri huu WA Mbappe alikuwa na Ballon d or nne?...naona Mbappe anazidi kuongeza maadui ..hata Perez alisema huyu Mbappe sio Yule tulikuwa tunamtaka...
Uefa huwezi jua, maana bado ni mdogo, kuhusu ballondor ni matakwa ya wapiga kura, muhimu makombe na tuzo zisizohitaji kuraNa huyu dogo ndio by by hata kaa abebe uefa wala ballon d or
Huwezi kuwa bora kama.huna ushirikiano mzuri na watu. Unadhani messi au neymer wakiamua kutokumpasia mpira atafungaje .? Inshort ingekua mm ndio messi na neymer from now hali assist yangu napiga mwenyewe kila mtu ashinde zake. Dawa ya kiburi ni jeuriUefa huwezi jua, maana bado ni mdogo, kuhusu ballondor ni matakwa ya wapiga kura, muhimu makombe na tuzo zisizohitaji kura
Ana world cup messi hana Kiufupi dogo anajua kuwa yeye psg ni muhimu kuliko messi so yeye account hizo ballon d or anatamba kwa umuhimu wake na thamani anavyopewa psg same to messi kwenye kipindi chake barca alivyokuwa anasumbua wenzie na kwa umuhimu wake akiwa camp nuo
Haters mpabe yeye kachangia nini?Nasimama na Boss Mbappe kwenye hili, Neymar na kaka ake Messi kama wanaona PSG hapawafai waondoke waiache PSG salama kwanza wao wawili wamechangia kiasi kikubwa kukoss kombe la uefa msimu uliopita kwa uchezaji wao wa kizembe na wanatakiwa wajue kila timu ina mfalme wake na kwa hapa PSG ni Mbappe
Unadhan Messi au Ronaldo wangekuwa n world cup wangekuwa wanacheza mpka sasahv!?World Cup si tuzo binafsi ya mtu mmoja,hata Geroud naye ana World Cup kumbuka.
Sina nyongeza🙌Hata Giroud ana world cup...Kwa hiyo ni zaidi ya Messi na CR7?
Messi mtu poa sana sidhani kama atalichukua hili swala kwa muda mrefu, tatizo lipo kwa Neymar na Mbape Wana utoto mwingi sana hawa watuPengine hilo lipo sahihi lakini kwa kitendo alichokifanya Mbappe si sahihi.
Mwenzako anaweka mpira kwa maandalizi ya kupiga penalty wewe unakuja kuomba kupiga. Afadhali angelikuwa hata bado hajaanza kufanya hivyo!
Neymar kasimamia maamuzi yake ya kupiga unageuza kwa kufura hali ya kuwa penalty ya kwanza ulishapiga.
Kamgonga Messi kwa bahati mbaya unashindwa hata kuonyesha ishara ya kilichotokea ni bahati mbaya? Kwa haya Mbappe aliyoyafanya amekosea! Hayo mengineyo siyajui.
Ndio ni bora kuliko hao woteMkitumia kigezo cha ballon dor kusema mchezaji flani ni bora, kwahyo mnataka kuniambia Messi ni bora kuliko Ronaldinho, Maladona, Ronaldo dilma, Pelle, galincha, Zidane!?