Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Independent wangelivuta coast 2 coast mpk kunduchi,tegetana daraja hilo linatoka wapi kwenda wapi vile
Ndiyo manake au wapige mbiziKama hutaki kulipia daraja la Kigamboni zunguka kongowe au kijichi.
Watu tunalipia kila siku lakini watu wa mpiji majohe ndio wanalalamika!Ndiyo manake au wapige mbizi
Watu wanataka burebure tu
Ova
HahahaWatu tunalipia kila siku lakini watu wa mpiji majohe ndio wanalalamika!
Actually ndicho nilichotegemea kusikia but ukisema ni mkopo nafuu ambao utalipwa na serikali ni sawa na kusema serikali pia ingeweza kuilipa NSSF ili wananchi wake watumie daraja bure.Kweli kabisa ila tuwe wakweli zaidi, ni fedha ya msaada za wafadhili toka serikali ya South Korea, yaani Grant Aid.
Lile daraja la Nyerere Kigamboni mi mkopo wa NSSF kwa serikali.
Mkopo inabidi ulipwe.
Au kuwalipa NSSF fedha zote (investment plus profit) kama ambavyo inalipa mikopo mingine..Je Serikali haliwezi linunua hilo daraja kutoka kwa nssf?
Serikali iilipe NSSF kama inavyolipa huo mkopo wa Korea, tatizo liko wapi? Mbona watu wanajenga majumba na kuuza??Kigamboni sio mkopo ni mradi wao nssf,
Huko huko kwa wenzetu kuna huduma nyingi ni bure mfano elimu ya chuo kikuu buree. Mbona hili husemi?Hiyo kawaida hata huko kwa wenzetu kulipia kawaida tu kwa madaraja yaliyoko kwenye miji
Achana na mfano wa madaraja kama ruvu
Ova
Serikali haina hiyo hela kulipia daraja la Nyerere.Actually ndicho nilichotegemea kusikia but ukisema ni mkopo nafuu ambao utalipwa na serikali ni sawa na kusema serikali pia ingeweza kuilipa NSSF ili wananchi wake watumie daraja bure.
Pale kiga tuliambiwa tupige mbiziKama hutaki kulipia daraja la Kigamboni zunguka kongowe au kijichi.
Siyo grant, ni mkopo. Na hilo la NSSF siyo kwamba NSSF wamewekeza. Serikali ilikopa huko. Huku ni kupindishapindisha maneno tu kwa waziri.Kweli kabisa ila tuwe wakweli zaidi, ni fedha ya msaada za wafadhili toka serikali ya South Korea, yaani Grant Aid.
Lile daraja la Nyerere Kigamboni mi mkopo wa NSSF kwa serikali.
Mkopo inabidi ulipwe.
It is a Joint Venture project between the Fund (60%) and Government (40%). Construction started on 1st February 2012. Nyerere Bridge is a 680-meter-long cable suspension bridge that connects the Dar es Salaam ward of Kurasini to the Kigamboni district across the Kurasini creek. It has 2.5 km approach roads.Kigamboni sio mkopo ni mradi wao nssf,
Cha'cow riverDaraja la Chang'ombe kuvuka mto gani?
Unaiwaza Chadema kuliko hata unavyomuwaza mume wako.Chadema watapinga
Kwa fedha za serikali au fedha za wananchi?Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema fedha zilizotumika kujenga daraja la Tanzanite ni mkopo wa masharti nafuu kutoka Korea Kusini ambazo zitalipwa na Serikali ya Tanzania kwa asilimia zote.
Amesema hii ndio sababu ya wananchi wanaotumia daraja hilo kutolipishwa fedha kama inavyofanyika kwenye daraja la Kigamboni.
Mbarawa ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Februari 3, 2022 alipotembelea ujenzi wa daraja la Changombe jijini Dar es Salaam kufuatia kuwepo kwa maswali kwa nini daraja la Kigambo wananchi wanalipishwa tofauti na Tanzanite.
Amesema daraja la Kigambo lilijengwa kutokana na uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) hivyo ni lazima zirudishwe.
MWANANCHI
Serikali haikutoa hela,nssf walitoa zote 100%It is a Joint Venture project between the Fund (60%) and Government (40%). Construction started on 1st February 2012. Nyerere Bridge is a 680-meter-long cable suspension bridge that connects the Dar es Salaam ward of Kurasini to the Kigamboni district across the Kurasini creek. It has 2.5 km approach roads.
Sasa huo mradi kujenga hzpo wameruhusiwa na nani?
Think ahead!