Mbarawa: Daraja la Tanzanite halilipiwi kwa sababu limejengwa kwa fedha za Serikali

Watu tunalipia kila siku lakini watu wa mpiji majohe ndio wanalalamika!
Hahaha

Hawajazoea wanataka bwerere

Hata kwa wenzetu huko...mfano daraja la sanfransico miakaa nenda rudi watu wanalipia
Madaraja mengi yaliyopo kwenye miji inalipiwa
Hata hili tanzanite wanavutiwa pumzi tu
Watawekew toll

Ova
 
Kweli kabisa ila tuwe wakweli zaidi, ni fedha ya msaada za wafadhili toka serikali ya South Korea, yaani Grant Aid.

Lile daraja la Nyerere Kigamboni mi mkopo wa NSSF kwa serikali.
Mkopo inabidi ulipwe.
Actually ndicho nilichotegemea kusikia but ukisema ni mkopo nafuu ambao utalipwa na serikali ni sawa na kusema serikali pia ingeweza kuilipa NSSF ili wananchi wake watumie daraja bure.
 
Hiyo kawaida hata huko kwa wenzetu kulipia kawaida tu kwa madaraja yaliyoko kwenye miji
Achana na mfano wa madaraja kama ruvu

Ova
Huko huko kwa wenzetu kuna huduma nyingi ni bure mfano elimu ya chuo kikuu buree. Mbona hili husemi?
 
Actually ndicho nilichotegemea kusikia but ukisema ni mkopo nafuu ambao utalipwa na serikali ni sawa na kusema serikali pia ingeweza kuilipa NSSF ili wananchi wake watumie daraja bure.
Serikali haina hiyo hela kulipia daraja la Nyerere.
Si hela ndogo.
 
Kweli kabisa ila tuwe wakweli zaidi, ni fedha ya msaada za wafadhili toka serikali ya South Korea, yaani Grant Aid.

Lile daraja la Nyerere Kigamboni mi mkopo wa NSSF kwa serikali.
Mkopo inabidi ulipwe.
Siyo grant, ni mkopo. Na hilo la NSSF siyo kwamba NSSF wamewekeza. Serikali ilikopa huko. Huku ni kupindishapindisha maneno tu kwa waziri.
 
Kigamboni sio mkopo ni mradi wao nssf,
It is a Joint Venture project between the Fund (60%) and Government (40%). Construction started on 1st February 2012. Nyerere Bridge is a 680-meter-long cable suspension bridge that connects the Dar es Salaam ward of Kurasini to the Kigamboni district across the Kurasini creek. It has 2.5 km approach roads.

Sasa huo mradi kujenga hzpo wameruhusiwa na nani?
Think ahead!
 
Dawa ni kulisagia kunguni libomoke tuone hiyo bure watapitia wapi???🤬🤬🤬🤬
 
Kwa fedha za serikali au fedha za wananchi?
 
Serikali haikutoa hela,nssf walitoa zote 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…