Tanzanite haliwezi kuwekwa tozo kwasababu alizosema waziri. Tanzanite ni kama old selander au Jangwani bridge tu.Hahaha
Hawajazoea wanataka bwerere
Hata kwa wenzetu huko...mfano daraja la sanfransico miakaa nenda rudi watu wanalipia
Madaraja mengi yaliyopo kwenye miji inalipiwa
Hata hili tanzanite wanavutiwa pumzi tu
Watawekew toll
Ova
Maendeleo hayana Chama wala VyamaChadema watapinga
ujinga mtupuWaziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema fedha zilizotumika kujenga daraja la Tanzanite ni mkopo wa masharti nafuu kutoka Korea Kusini ambazo zitalipwa na Serikali ya Tanzania kwa asilimia zote.
Amesema hii ndio sababu ya wananchi wanaotumia daraja hilo kutolipishwa fedha kama inavyofanyika kwenye daraja la Kigamboni.
Mbarawa ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Februari 3, 2022 alipotembelea ujenzi wa daraja la Changombe jijini Dar es Salaam kufuatia kuwepo kwa maswali kwa nini daraja la Kigambo wananchi wanalipishwa tofauti na Tanzanite.
Amesema daraja la Kigambo lilijengwa kutokana na uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) hivyo ni lazima zirudishwe.
MWANANCHI
Waambie haoooAcheni kujitoa akili. Daraja la Kigamboni limejengwa kwa michango ya wafanayakazi tu (nssf) lazima hela zao zirudi. Tanzanite limejengwa kwa kodi za wananchi kwanini lilipiwe?!
Halafu kuwa na adabu sio wote wakaao Kigamboni ni walalahoi!
Si walisema Mzee anakopa hela kimyakimya kuendeleza miradi?
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema fedha zilizotumika kujenga daraja la Tanzanite ni mkopo wa masharti nafuu kutoka Korea Kusini ambazo zitalipwa na Serikali ya Tanzania kwa asilimia zote. Amesema hii ndio sababu ya wananchi wanaotumia daraja hilo kutolipishwa fedha kama inavyofanyika kwenye daraja la Kigamboni.
Mbarawa ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Februari 3, 2022 alipotembelea ujenzi wa daraja la Changombe jijini Dar es Salaam kufuatia kuwepo kwa maswali kwa nini daraja la Kigambo wananchi wanalipishwa tofauti na Tanzanite.
Amesema daraja la Kigambo lilijengwa kutokana na uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) hivyo ni lazima zirudishwe.
MWANANCHI
Ule ni mradi wa NSSF + SerikaliKigamboni sio mkopo ni mradi wao nssf,
Eneo linalokaa wananchi wengi wenye kipatato cha …… wanalipishwa, kwa wakubwa free
Mama yako amekaa na makamu mwenyekiti wa chadema.Chadema watapinga
Hatimaye yametimia.Hahaha
Hawajazoea wanataka bwerere
Hata kwa wenzetu huko...mfano daraja la sanfransico miakaa nenda rudi watu wanalipia
Madaraja mengi yaliyopo kwenye miji inalipiwa
Hata hili tanzanite wanavutiwa pumzi tu
Watawekew toll
Ova
Usimtaje KassimMbona viongozi wengi waongo?