Maombi ya Agano la Kale hayo Mungu wa Mbinguni hashughuliki nayo!Ukiisikilza hiyi crip, ni vema ccm itatute upatanishi naye. maana maombi hayo si ya mchezo
Nimo humu kitambo kabla yako, nikitoa muhtasari nitamaliza bando pia, vema jionee mwenyewe mwanzo mwisho bila mimi kuongeza chochote ndugu yanguMtoa mada umejiunga lini au umetokea wapi?.
Tumekubaliana humu, ukiweka video toa na maelezo ya kile kilichomo au kinachoongelewa kwa muhtasari.
Siyo kila mtu ana_bundle la kuangalia sinema.
Kumbe mungu anachagua maombi ? ni lazima upitie kwenye agano jipya ?Maombi ya Agano la Kale hayo Mungu wa Mbinguni hashughuliki nayo!
CCM ilipofikia haina mtu wa kuiambia jambo, ina macho na masikio!msije sema hamkuambiwa...
Agano la Kale ni HadithiKumbe mungu anachagua maombi ? ni lazima upitie kwenye agano jipya ?
Unazingua mkuu 😂😂😂😂Agano la Kale ni Hadithi
Agano Jipya Kufa ni Faida Kuishi ni Kristo!