Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mimi tuHiyo video nahitafuta sana siipati
Ndo hiyo ila naitafutaNdo ile clip iliyowekwa humu jamaa wakitoa kibano kwa njemba iliyofumaniwa na mke wa mtu? halafu huyo njemba kafunguliwa hadi biashara na mke wa huyo mzee wa nzengo.....polisi waachane na kesi za kujitakia kama hizi, huyo njemba alijua kabisa huyo ni mke wa mtu na aliwataja majina, mama Brian na baba Brian kwa hiyo alikuwa amejipanga kwa lolote litakalotokea, kifupi alijilipua......sioni mantiki ya kuwasumbua hao wafumaniaji kwa kutoa kibano heavy.....ingekuwa ni sheria ya wayahudi hapo ni kupigwa mawe hadi kufa. Wanaume tufikirie mara mbili mbili kabla hatujaamua kuingia kwenye himaya ya mwanaume mwenzio, nafikiri hata kwa wanyama kama Simba tunaishuhudia hii......kwa wale ambao hawakuambiwa ukweli inaweza kuwa tofauti, maana mtu anaweza kujitetea kwamba alikuwa hajui.
Iliwekwa kwenye uzi mmoja hivi majuzi....Ndo hiyo ila naitafuta
Linkhiyo video kama una tumia Twitter inazagaa tu huko aitaji hata koneksheni
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Ipo kwenye page yenye jina lipi huko Twitter ?hiyo video kama una tumia Twitter inazagaa tu huko aitaji hata koneksheni
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Iandike ili tupate mwanga mkuuNiaibu kuandika hapa....😅😅😅
Kongowe ipo wilaya ya Temeke, ingawa nyingine ipo wilaya ya KibahaJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu sita kwa tuhuma za kuwashambulia na kuwarekodi video za utupu watu wawili wanaodaiwa kufumaniwa na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii.
Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Jumanne Muliro amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Singiba Buchadi (42) ambaye ni fundi umeme na mfanyabiashara Dephina Buchadi (42).
Kamanda Muliro amewataja wengine kuwa ni Doratea Mathayo (39), Wilbard Teobard (55), Albert Buchadi (30), Valenzi Silvester (40).
Amesema kuwa watuhumiwa hao wote ni wakazi wa Kongowe Wilaya ya Mkuranga.
“Vitendo vya kikatili walivyovifanya watuhumiwa hawa ni pamoja na kutoa adhabu wakati wao si mahakimu wala majaji, vitendo hivi havikubaliki kisheria katika nchi inayofuata mfumo wa utawala wa sheria na kwa sababu hizo watafikishwa mahakamani haraka iwezekanavyo,”alisema Muliro.
Mama anajitetea eti walishaachana toka mwezi wa pili namshangaa sana huyo mama kama waliachana na alikua mumewe kwann hakushirikisha ndugu..Ndo ile clip iliyowekwa humu jamaa wakitoa kibano kwa njemba iliyofumaniwa na mke wa mtu? halafu huyo njemba kafunguliwa hadi biashara na mke wa huyo mzee wa nzengo.....polisi waachane na kesi za kujitakia kama hizi, huyo njemba alijua kabisa huyo ni mke wa mtu na aliwataja majina, mama Brian na baba Brian kwa hiyo alikuwa amejipanga kwa lolote litakalotokea, kifupi alijilipua......sioni mantiki ya kuwasumbua hao wafumaniaji kwa kutoa kibano heavy.....ingekuwa ni sheria ya wayahudi hapo ni kupigwa mawe hadi kufa. Wanaume tufikirie mara mbili mbili kabla hatujaamua kuingia kwenye himaya ya mwanaume mwenzio, nafikiri hata kwa wanyama kama Simba tunaishuhudia hii......kwa wale ambao hawakuambiwa ukweli inaweza kuwa tofauti, maana mtu anaweza kujitetea kwamba alikuwa hajui.
Kwa hiyo mmeshaanza kuteteana? Unzinzi wake umeleta shida kwa ndugu wengine wa mumewe. Hapo ndo inabidi wanaume tuwe makini, mwanamke akianza kuchepuka huyo siyo wa kwako tena. Muache aende zake wewe subiria mhura wa wanafunzi kuhitimu masomo nenda kachague kigoli mmoja weka ndani.Mwenye video anitumie PM jamani. Yaani nimeona tu mahojiano ya waliopigwa. Inasikitisha dada wa watu aliumizwa sana.Halafu anaonekana ni mpambanaji huyu dada. Hope sasa ataishi na watoto wake wawili.
Iandike ili tupate mwanga mkuu
Na huyo kigoli akichepuka unasubiri tena muhula mwingine?Kwa hiyo mmeshaanza kuteteana? Unzinzi wake umeleta shida kwa ndugu wengine wa mumewe. Hapo ndo inabidi wanaume tuwe makini, mwanamke akianza kuchepuka huyo siyo wa kwako tena. Muache aende zake wewe subiria mhura wa wanafunzi kuhitimu masomo nenda kachague kigoli mmoja weka ndani.