Mbaroni kwa kumkamata, kumshambulia na kusambaza picha za utupu za waliyemfumania

Mbaroni kwa kumkamata, kumshambulia na kusambaza picha za utupu za waliyemfumania

Na huyo kigoli akichepuka unasubiri tena muhula mwingine?
Kabisa unamwaacha anaenda zake salama. Wanawake ni wengi kuliko wanaume kwa nini kumgombania huyo mmoja? Hebu ona shida ambayo mwanamke huyo aliyoisababishia hiyo familia. Ndugu watatu wako ndani kisa mwanamke mmoja tu. Angemuacha haya yote yasingaliwakuta.
 
Siyo kwamba inatakiwa kujitathmini kwanini na wa pili anachepuka?
 
Siyo kwamba inatakiwa kujitathmini kwanini na wa pili anachepuka?
Hapana, usihangaike na tamaa za mwanamke. Mwanamke akiamua anaweza kaa maisha yake yote bila kuingiliwa na mwanaume. Hata wanasaikolojia kama Dr Waminian wanasema: Mwanaume hatulii mpaka atulizwe na mwanamke, ila mwanamke hatulizwi mpaka aamue kutulia mwenyewe.
 
kuna wakati mambo mengine jikujitafutia jela tu....ukifumanikiwa ukafanyiwa ukatili wowote nenda polisi haraka sheria ichukue mkondo wake ili watu wajifunze sasa..

Ukimfumania mkeo au mmeo acha nae tafuta ambaye atakutii na kuwa muaminifu kwako..kumbuka huyo mkeo au mmeo hajabakwa bali ni maamuzi yake kuvua chupi na kuamua kuchepuka kumdhuru uliyemfumania na mkeo au mmeo ni upumbavu na ujinga uliopitiliza aanza na mkeo au mmeo maana yeye ndio mjinga na sio muaminifu...
 
Hiyo video nahitafuta sana siipati
Hawakuwafumania hao wote waliokamatwa ni mwanaume na ndugu zake ndio walifanya kitendo hicho, huyo dada namfahamu vizuri waliaashaachana na huyo mwanaume zaidi ya miezi mitatu, na kila mmoja kuwa na maisha yake, kinachowauma ndugu ni huyo dada alitolewa kijijini walitegemea baada ya kuachwa angeyumba, matokeo yake amezidi kupendeza.

Na akapata mwanaume mwingine akawa anaishi nae, hao ndugu baaa ya kupajua alipokuwa anaishi wakapanga mpango huo wa kumvamia kwenye nyumba aliyokuwa anaishi na mume mpya lengo kumzalilisha na kumkomoa tu .

Waliwavua na nguo na kuwapiga wenyewe acha wakenyee ndoo kwanza akili ziwakae sawa
 
Yani wananchi sijui wakoje , mtu anaingia na kufanya fujo kwa kusingizia kuwa kamfumania alafu wapo tu si mwenyekiti wa mtaa au kitongoji yani watu wanaweza kufanya mauaji alafu watu wapo tu... kitendo cha kupiga , kufunga kamba na kuwatembeza watu njiani wakiwa uchi hii sio sheria , ukimfumania mtu vyombo vya sheria vipo kwanini uchukue maamuzi ya kupiga wakati hauna hayo mamlaka, na sisi wananchi tunaangalia tu lakini tujue kuwa tunaruhusiwa kuingilia kati sio kuangalia na kushangilia tu...
 
kumbe ukimkamata 'mngoni' wako ni bora umu-uwe kabisaa, ukimpa kipigo na kumuacha haya ndiyo yatakayo kukuta!
 
Back
Top Bottom